Cybercrime
JF-Expert Member
- Feb 14, 2014
- 3,246
- 1,113
Ukombozi mpya unakaribia stay tuned
CHADEMA wamechoka, ACT watawashinda kwa kura 2015 wasipoangalia, CCM itashinda kwa kishindo ikifuatiwa na CUF au NCCR
Ukombozi mpya unakaribia stay tuned
MKUU lakini madhara ya kumpiga chini ZITTO si mmeanza kuyaona? ARFI, SHIBUDA, LETICIA, MWIGAMBA, KITILA, watu kama hawa mtawapata wapi tena Tanzania hii? CHADEMA inabaki na MABWANA wawili na watwana wao kama akina LEMA, MNYIKA na LISSU.Kila siku mnapiga sarakasi za Zitto, Zitto...Zitto aliisha pigwa chini "He is Just a Looser".Tafuteni namna nyingine ya kumuuza sio hii ya kila siku ya kumuhusisha na CDM.Topic ya Zitto CDm iliishafungwa.Nendeni nae huko kwenu ACT na CCM ndiko atawafaa.
Kwani Chadema ikifa si ndio raha ya CCM ? Mbona mnalia wa CCM kifo cha Chadema ?
Wewe CCM tangu lini ukawa mshauri wa Chadema? arafu unasema unao ufafanuzi! Unamfafanulia nani? Kawashauri Magamba wenzio wajadili Maoni ya Wananchi kwenye Bunge la KatibaDemokrasia maanake yake ni pana na ndefu. kama alivosema bwn ABRAHAM LINCOLIN.
NIRUDI kwenye mada nimeona namm kwa kuona umuhimu wa jambo hili nami nilitolee ufafanuzi. kuna tatizo limezuka ndani ya chadema ambapo kila ukitolewa upungufu wa either mh MBOWE au DK SLAA haufanyiwi kazi na kinachotokea ni kuitwa msaliti, mzandiki,ume nu nuliwa, umetumwa nk
KIMSINGI chadema kilikua chama mbadala kwa taifa enzi ya MH ZITO KABWE MH SLAA wakati wakiwa bungeni watu waliona umuhimu wa upinzani kwan hoja zilizotolewa bungeni zilikua nzito na serkali hata kama haikutaka ilibidi kufanyiwa kazi.
CHADEMA ilikuwa kisima cha demokrasia ambapo demokrasia na uhuru wa maoni wa ulipewa nafasi na chama kikawa na afya.
Bahati mbaya ni kuwa wakati ukombozi wa taifa ukikaribia wakapewa dhamana viongozi wakuu hawa MBOWE NA SLAA baada ya uchaguzi wa 2010 wakajawa na jeuri, kiburi, ubabe, na kumkandamiza yoyote ambae angetoa maoni tofauti na wao wanavofikiri,wakavunja msingi wa demokrasia, msingi wa demokraisia ukiuvunja huwezi tena kuwa credible.
Huwezi kufukuza kila unaetofautiana nae hata marekani OBAMA ALIFANYA KAZI NA HILARY CLINTON INGAWA WALIKUA WANATOFAUTIANA SANA KIMTAZAMO.
HIO NDIO DEMOKRASIA YA KWELI. NIONAVO KWA MWENENDO HUU WA VIONGOZI HAWA WATAINGAMIZA CHADEMA .
JIFUNZE HATA KWA MJINGA IKIWA ANA HOJA.
MKUU lakini madhara ya kumpiga chini ZITTO si mmeanza kuyaona? ARFI, SHIBUDA, LETICIA, MWIGAMBA, KITILA, watu kama hawa mtawapata wapi tena Tanzania hii? CHADEMA inabaki na MABWANA wawili na watwana wao kama akina LEMA, MNYIKA na LISSU.