Mbowe na Slaa wake wameshindwa uongozi

Mbowe na Slaa wake wameshindwa uongozi

Ifike mahala vijana wa chadema wakubali kama Dr slaa kaporomoka kisiasa Kwa kikubwa sana.....kinachoendelea ni mahaba ya hawa waliochoka ....vijana mna mahaba na Dr na yeye ameshabaki scraper hajiwez tena
 
Teh! teh! teh!
Mtu ana haki ya kueleza hisia zake. Yericko naye kafanya hivyo. Kuna tofauti kubwa kati ya hisia na ukweli.
 
Aisee hii nchi ina watu wa ajabu sana, Nimeshangaa sana kuona hadi Yericko Nyerere kwenye bandiko lake anasema Eti Dr.Slaa kaporomoka kisiasa, dah! Hii dunia kweli kuna watu na viatu hivi karne kumbe bado kuna watu hawaoni impact ya huyu mzee kwenye harakati adhimu za mageuzi ya nchi hii hadi sasa?
Yericko ni ACT yupo Chadema kuiba siri ni mtu wa Mwigamba.
 
Ifike mahala vijana wa chadema wakubali kama Dr slaa kaporomoka kisiasa Kwa kikubwa sana.....kinachoendelea ni mahaba ya hawa waliochoka ....vijana mna mahaba na Dr na yeye ameshabaki scraper hajiwez tena

kweli kabisa
 
Chadema imeporomoka sana kwa kipindi kifupi cha miezi mitatu iliyopita. Chadema ya leo sio ile ya mwezi wa tano au wa nne. Wanachama wake wamepoteza matumaini na hawajiamini tena wala hawana ujasiri wa kuvaa sare na alama za chama hicho kama ilivyokuwa hapo nyuma.

mbaya zaidi ni wabunge kadhaa wa chadema kupinga wazi wazi misimamo ya chama.. Nitatoa mifano hai
1. Mh Said arf mbunge wa mpanda kati na aliyekuwa makam mwenyekiti kuunga mkono bajeti ya serikali ya mwaka 2014/2015.
2.mh leticia nyerere mbunge wa viti maalum kuhudhuria vikao vya bunge la katiba tofauti na msimamo wa chama hicho.
3.wanachama na viongozi wa ngazi mbalimbali kujiuzulu uongozi na uanachama.mf katibu wa chadema mkoa wa tabora,mwenyekiti na uongozi mzima wa mkoa wa kigoma, nk.

kwa matukio haya machache, ni ishara za wazi za mbowe na slaa kufika ukomo wa uwezo wa kiuongozi na kifikra.

my take: wanachadema wakikosa demokrasia ndani ya chadema wataitafuta nje ya hapo.
Duh..kumbe ni wao, nilidhani ni wake zao. Weka heading vizuri
 
Mods mahaba mazito mmeamua kuunganisha uzi wangu bila sababu hakuna maana tena endeleeni kutumika, endeleeni na huu uzi wenu nimewaachia.
 
Mods mahaba mazito mmeamua kuunganisha uzi wangu bila sababu hakuna maana tena endeleeni kutumika, endeleeni na huu wenu nimewaachia.

wameharibu huu uzi makusudi..ajabu sana
 
Chadema imeporomoka sana kwa kipindi kifupi cha miezi mitatu iliyopita. Chadema ya leo sio ile ya mwezi wa tano au wa nne. Wanachama wake wamepoteza matumaini na hawajiamini tena wala hawana ujasiri wa kuvaa sare na alama za chama hicho kama ilivyokuwa hapo nyuma.

mbaya zaidi ni wabunge kadhaa wa chadema kupinga wazi wazi misimamo ya chama.. Nitatoa mifano hai
1. Mh Said arf mbunge wa mpanda kati na aliyekuwa makam mwenyekiti kuunga mkono bajeti ya serikali ya mwaka 2014/2015.
2.mh leticia nyerere mbunge wa viti maalum kuhudhuria vikao vya bunge la katiba tofauti na msimamo wa chama hicho.
3.wanachama na viongozi wa ngazi mbalimbali kujiuzulu uongozi na uanachama.mf katibu wa chadema mkoa wa tabora,mwenyekiti na uongozi mzima wa mkoa wa kigoma, nk.

kwa matukio haya machache, ni ishara za wazi za mbowe na slaa kufika ukomo wa uwezo wa kiuongozi na kifikra.

my take: wanachadema wakikosa demokrasia ndani ya chadema wataitafuta nje ya hapo.

Vipi? Zitto atahamia kweli ACT? Mbona naambiwa CCM wamempa kadi?
 
Wanaukumbi.

Muda mwingi tumekuwa tukiwafahamisha watanzania kuwa Dr.W.Slaa muda wake umekwisha kisiasa ni wakati wa kukaa pembeni na kuwaachia vijana ndani ya Chadema wakijenge chama chao kimsingi Dr.Slaa ameporomoka kisiasa kila kukicha watu walitushambulia sana na kutukejeli, lakini ukweli hata ndani ya Chadema kwenyewe kuna baadhi ya pro-Chadema wameliona hilo na wameliweka wazi humu JF mbele ya jamii na kushauri sasa Mbowe na Dr.Slaa wafanye nini ndani ya chama.

Ukiangalia kiundani kwa sasa ndani ya Chadema kuna kuna mgogoro wa ndani kwa ndani ambao viongozi wao hawayasemi.

Ni ukweli mkuu na ushahidi huu hapa chini

https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=705101
 
Misukule kuna kipindi huwa inaamka ikisikia tu jina dr slaa na mbowe basi moooto unawachoma sasa viongozi wetu sie cdm haya nyie wa mtaa wa saba ccm inahuu mitoto mingine ya kiume siku hizi mmekuwa wambea kama watoto wa kike siku tutawavika kanga tujue moja .

Mdaa huu wenzako wanaosha K we upo jf kubishana na wanaume
 
Misukule kuna kipindi huwa inaamka ikisikia tu jina dr slaa na mbowe basi moooto unawachoma sasa viongozi wetu sie cdm haya nyie wa mtaa wa saba ccm inahuu mitoto mingine ya kiume siku hizi mmekuwa wambea kama watoto wa kike siku tutawavika kanga tujue moja .

Dada hebu kula busu la nguvu kwanza kutoka kwa bosi wako

Halafu unambie huyo jamaa anakutizama wewe? Au sister wako?
 
Attachments

  • 1407810255375.jpg
    1407810255375.jpg
    26.5 KB · Views: 66
Chadema imeporomoka sana kwa kipindi kifupi cha miezi mitatu iliyopita. Chadema ya leo sio ile ya mwezi wa tano au wa nne. Wanachama wake wamepoteza matumaini na hawajiamini tena wala hawana ujasiri wa kuvaa sare na alama za chama hicho kama ilivyokuwa hapo nyuma.

mbaya zaidi ni wabunge kadhaa wa chadema kupinga wazi wazi misimamo ya chama.. Nitatoa mifano hai
1. Mh Said arf mbunge wa mpanda kati na aliyekuwa makam mwenyekiti kuunga mkono bajeti ya serikali ya mwaka 2014/2015.
2.mh leticia nyerere mbunge wa viti maalum kuhudhuria vikao vya bunge la katiba tofauti na msimamo wa chama hicho.
3.wanachama na viongozi wa ngazi mbalimbali kujiuzulu uongozi na uanachama.mf katibu wa chadema mkoa wa tabora,mwenyekiti na uongozi mzima wa mkoa wa kigoma, nk.

kwa matukio haya machache, ni ishara za wazi za mbowe na slaa kufika ukomo wa uwezo wa kiuongozi na kifikra.

my take: wanachadema wakikosa demokrasia ndani ya chadema wataitafuta nje ya hapo.

Intarahamwe Mkome Kuishauri CHADEMA na Iwe Mwisho baada ya post yangu
 
una mavi wewe. Hao wanachama ulikaa nao wakakuambia wamechoka?
 
yericko ameanza kujitambua sasa, amechoka kufanywa msukule, hongera yericko kwa kusema ukweli, slaa ameporomoka sana kisiasa,,

Kama Umaarufu Umeshuka,kwa Nini Daily Kumuanzishia Sred? Kila Siku Buk Saba Mnamuota Na Kumuanzishia Sred Huku Mkifarijiana Kuwa Umaarufu Umeshuka,hivi Mpo Timamu Kweli?
 
Back
Top Bottom