Hakikwanza
JF-Expert Member
- Dec 11, 2010
- 4,043
- 1,012
Tehe tehe tehe....janja ya nyani kula indi bichi....? mimi kwisha jua....! 48 masaa ni taratibu za kisheria kabisa kuwa asipopelekwa mahakamani basi aachiwe huru...MTU YEYOTE ASHIKILIWAYE NA POLISI na si SHINIKIZO kama walivyoliita....! Shinikizo can be TWO HOURS FROM NOW.... na sio hiyo janja
KWA HIYO KUTOKUHESHIMU MAHAKAMA MNATUFUNDISHA NINI SISI JAMII AMBAO SI VIONGOZI WA KISISA?
hivi we mlevi wa gongo Tanzania kuna mahakama au picha ya mahakama?