Mbowe ashikiliwa Central Police

Mbowe ashikiliwa Central Police

May be ni vice versa! kwa nn hakutokea mahakamani??

Baadhi ya wazungumzaji tumeenda mbele mno kiasi cha kuvuka mipaka. Kusema haki wa wilaya ametoa amri kwa kutaka sifa na kwamba ni ujinga mtupu ni kauli inayoashiria uvunjaji wa sheria na dhalau kwa mfumo mzima wa mahakama. Tuepuke lugha kama hii. Bora hata kama kauri kama hii ingetolewa na Mbowe mwenyewe aliyeathirika na mari na mwenye siri ya ukweli wa mambo, Huyu mheshimiwa hakimu alichofanya ni kilichomo kwenye sheria. Yeye ni chombo cha sheria na anaamua kwa mujibu wa sheria. Hafanyi hivyo kwa kumuudhi mtu wala kumuathiri mtu japo matokeo yake ni kumuudhi na kumuathiri mtu. Tumuache mh. Mbowe kama anaona ameonewa na hakimu binafsi au na serikali au na mahakama achukue hatua za kisheria zinazostahili.
 
Back
Top Bottom