Mbowe ashikiliwa Central Police

Mbowe ashikiliwa Central Police

Revolutionists, let us concentrate on a new constitution to wipe out the vampire (CCM).
And the world is watching.
 
Laana, sawa!! Lakini tulaani pia kitendo cha Mbowe kutokutekeleza amri halali ya mahakama inayomtaka afike mahakamani yeye au atume mwakilishi. Kutokufika mahakamani pasipo taarifa zozote ni ukiukaji wa sheria za mahakama na hivyo alistahili kukamatwa. Hayo ni ya mahakama wala si CCM tena. Na jeshi la polisi linatekeleza amri halali ya mahakama.
Kwa upande wa pili tunapolaani kukamatwa kwa Zito, pia tulaani kitendo cha Zito kuendesha mkutano baada ya muda halali unaokubalika kisheria kuongoza mikutano. Hawa watu wanapigania utawala wa sheria na uwajibikaji, wao wenyewe ndo wa kwanza kuzikiuka hizo sheria wanazotaka ziongoze nchi.
Ni vizuri tusiwe malimbukeni, tuende mahakamani kuwawekea dhamana makamanda wetu, lakini pia tukubali ukweli kwamba wamekosea. Na kama wamekosea wanastahili adhabu sawasawa na Mtanzania mwingine yeyote. Lets not be so much biased. Wangekuwa wamekamatwa wa CCM mngesema wameonewa au mngelaani hivyohivyo?
 
Mkuu hayo ni maelezo yake na huyo jamaa ni diwani wa CDM nadhani ni uchungu umepitiliza, kimsingi hawa jamaa wakitoka jela bungeni kutachimbika. Kamanda Lema alipohojiwa na radio 5 Arusha aiseee ameponda mpaka nikahisi labda Lema anataka kuwa mhaini siku zijazo! Maana ameponda kuwa hamuugopi JK na serikali kuendesha nchi kwa kutumia mtindo huu wa jeshi la polisi ni dalili ya kuona hali inakwenda mrama.

Yaani leo Serikali ya ccm ineniharibia siku kabisa
 
mbowe kuwa kafara kuwezesha ubabe/umungu mtu wa mahakama ukome wananchi wanaziogopa mahakama wakati ni eneo la wao kudai haki kisa usumbufu unaenda mahakamani unakaa siku nzima ukijua kesi ni ya kutajwa na kuahirishwa , hakimu anakupa ruhusa usije mahakamani hlf anataka mdhamini wk afike siku ya kesi kumkumbusha na ukiritimba mwingine mwingi usio na tija kwa taifa
 
Bwana Mheshimiwa, toka nje ujisalimishe unahitajika kituoni kwa kosa la kuidharau mahakama! Nyumba yako sio jengo la bunge wala ofisi ya bunge hivyo haina kinga - toka nje ujisalimishe kwa mujibu wa amri ya mahakama!

Kwikwikwi!!!!sina mbavu jamani!
 
Duh! Ubabe wa dola unaonekana kwa kuwakandamiza Chadema. Hii ni hatari. Chuki ya wananchi kwa CCM itaongezeka mara dufu.
 
Hapo kwenye red: Magamba wathubutu kumuweka ndani kama 2015 haitakiwa instant coffee!

Kwani Mbowe na Slaa wanatofauti gani? tatizo lenu munaongea sana, mlisema jamaa ana kinga na kutia wow nyingi bravo Lissu nk. Sasa wamemkamata na wemtia ndani, maajabu bado munaoongeaaa na 2015 itafika mtaongeaa na kura watazichakachua mtasema 2020 napo ikifika watazichakachua, life goes on and on....
 
Kwa maoni yangu, linapokuja suala la kutii na kuheshimu sheria ushabiki wa kisiasa tuweke pembeni maana utiii wa sheria ndio msingi wa utawala wa sheria, demokrasia na amani. Mheshimiwa Mbowe kama alivyo Mh Doctor Slaa walifikishwa katika chombo cha sheria kwa tuhuma na kwa kuzingatia taratibui za kisheria. Wakapewa dhamana bila usumbufu wowote. Wakavunja masharti ya dhamana kwa kutohudhuria mahakamanai. Mh DR Slaa na Mh. Lema kwa kujuwa matokeo ya kukiuka masharti ya dhamana wakajisalimisha wenyewe mahakamani na kutoa sababu ya kutohudhuria. MH. MBOWE yeye akaamua kukiuka masharti ya dhamana kwa mara nyingine. Kama kwamba haitoshi akaanza kulumbana na mahakama kwa kutumia majukwaa ya kisiasa na vyombo vya habari. Kali hali kama hiyo jeshi la polisi lisingemkamata tungelielewa vipi? Hiyo si ingekuwa kudhalilisha mfumo mzima wa sheria na uhuru wa mahakama?

Kama MH. MBOWE angekuwa na utetezi kwamba yuko bungeni au ana kinga, angepaswa kujisalimisha mahakamani na kutoa utetezi huo badala ya kulumbana na mahakama katika vyombo vya habari. Pia angeweza kushauriana na wanasheria wake kuona uwezekano wa kupinga amri hiyo katika mahakama kuu kama aliona hakimu mhusika alishawishiwa na serikali.

Picha tunayoipata wananchi ni mbaya sana. Kama waheshimiwa wabunge ambao wenyewe wanaheshimika kwaajili ya kazi yao ya utunzi wa sheria wanakuwa wa kwanza kuzarau sheriia sisi walala hoi itakuwaje?

Magamba Typical!
Hapa wewe unaona ni sheria inafuatwa au ni udharirishaji tu wa wa wapinzani ? UNA AKILI AU MATOPE? Kwa akili yako fupi na wenzako Mbowe anaweza kutofika mahakamani kwa makusidi, mbona amekuwa ikihudhuria toka kesi ianze na kuahirishwa kila mara ili kuwapotezea muda tu?

kwa akili yako fupi unadhani kesi hii ni ya kweli au ni kujaribu kuficha makosa ya uuaji ya polisi.
Damu ya mtu haipotei hivi hivi, polisi waliua na wataendelea kuua maana damu ya watu wale inaendelea kuwasumbua mpaka watakapokili makosa yao na kutubu mbele ya wafiwa.

Nani asiyejua kuwa kesi zote tunazoziona ni politically motivated?
Kuna sheria gani inavunjwa kama watanzania wote wako salama hata kama chadema wakifanya maandamano kila siku na kila mahali?

Endeleeni kuwanyanyasa Chadema lakini mateso yenu yatakuwa makubwa kuliko mnayowafanyia wenzenu maana mnapanda kisasi.

Walikuwepo akina mbaraka,waliokuwa na utawala imara na hata nchi ilikuwa imetulia, leo wako wapi bwana?

kama wananchi wamewachoka ni better ukakubali ukakaa pemebeni wengine wakajaribu kuliko kung'ang'ania wakati nchi imewashinda!

Mtalazimisha kuitawala Tanzania lakini hamwezi kuwatawala watanzania!

Mungu ibariki Chadema
Mungu wabariki viongozi wa chadema
Mungu wabariki watanzania wenye uchungu na nchi yetu

Amen.
 
CCm,CCm aaah Chama cha mafisadi,angalieni huko mnapoelekea ni sehemu wengi wanasubiri kwa hamu.Yaani mbunge wenu anapanga njama za kumuua mwenzake anabembelezwa kuripoti polisi,watetezi wetu wanaomba ruhusa mnawageuka na kuwadhalilisha kiasi hiki?CDM no turning back real MEN!!!!!!!
 
Hongera sana CCM! Big up guys. Bado Lissu na Mdee,Mnyika. Ila hakika mnajichimbia kaburi lenu tena lenye kina kirefu sana, mtajuuuuta kumkamata hiyo sauti ya umma:majani7:
 
wana Jf ni mda wa vitendo siyo kutumia mda mwingi kwenye kiboard, mimi n nasubiri tamko la chama kama ni kuingia barabara kwenda kumtoa yule nyang'au
 
Acha kufikiria kwa makalio!shirikisha ubongo japo kidogo, au ubongo umeazimwa kwenda Rukwa?
 
Magamba Typical!
Hapa wewe unaona ni sheria inafuatwa au ni udharirishaji tu wa wa wapinzani ? UNA AKILI AU MATOPE? Kwa akili yako fupi na wenzako Mbowe anaweza kutofika mahakamani kwa makusidi, mbona amekuwa ikihudhuria toka kesi ianze na kuahirishwa kila mara ili kuwapotezea muda tu?

kwa akili yako fupi unadhani kesi hii ni ya kweli au ni kujaribu kuficha makosa ya uuaji ya polisi.
Damu ya mtu haipotei hivi hivi, polisi waliua na wataendelea kuua maana damu ya watu wale inaendelea kuwasumbua mpaka watakapokili makosa yao na kutubu mbele ya wafiwa.

Nani asiyejua kuwa kesi zote tunazoziona ni politically motivated?
Kuna sheria gani inavunjwa kama watanzania wote wako salama hata kama chadema wakifanya maandamano kila siku na kila mahali?

Endeleeni kuwanyanyasa Chadema lakini mateso yenu yatakuwa makubwa kuliko mnayowafanyia wenzenu maana mnapanda kisasi.

Walikuwepo akina mbaraka,waliokuwa na utawala imara na hata nchi ilikuwa imetulia, leo wako wapi bwana?

kama wananchi wamewachoka ni better ukakubali ukakaa pemebeni wengine wakajaribu kuliko kung'ang'ania wakati nchi imewashinda!

Mtalazimisha kuitawala Tanzania lakini hamwezi kuwatawala watanzania!

Mungu ibariki Chadema
Mungu wabariki viongozi wa chadema
Mungu wabariki watanzania wenye uchungu na nchi yetu

Amen.

Asante mkuu: Halafu hiyo kesi ya msingi inayomkabili Mbowe na wenzake ni ushuzi mtupu! Imeshaingiliwa na Waziri Mkuu Pinda pale alipotoa 'hukumu' Bungeni kuwa akina Mbowe na wenzake wana makosa ya kusababisha vurugu na vifo. Hivi katika nchi hii, Waziri Mkuu akishasema hivyo, hakimu gani atafanya fyoko wa kumpinga na kutoa hukumu tofauti?

The whole thing is shit! Typical of African governments -- kote ni hivi hivi tu -- mafisadi hawashikwi, nchi zinadidimia kiuchumi hadi zisaidiwe kutoka kwa mabwana zetu wa zamani -- na kazi kubwa serikali zilizopo madarakani zinafanya ni kuinyonga demokrasia!
 
Kwa maoni yangu, linapokuja suala la kutii na kuheshimu sheria ushabiki wa kisiasa tuweke pembeni maana utiii wa sheria ndio msingi wa utawala wa sheria, demokrasia na amani. Mheshimiwa Mbowe kama alivyo Mh Doctor Slaa walifikishwa katika chombo cha sheria kwa tuhuma na kwa kuzingatia taratibui za kisheria. Wakapewa dhamana bila usumbufu wowote. Wakavunja masharti ya dhamana kwa kutohudhuria mahakamanai. Mh DR Slaa na Mh. Lema kwa kujuwa matokeo ya kukiuka masharti ya dhamana wakajisalimisha wenyewe mahakamani na kutoa sababu ya kutohudhuria. MH. MBOWE yeye akaamua kukiuka masharti ya dhamana kwa mara nyingine. Kama kwamba haitoshi akaanza kulumbana na mahakama kwa kutumia majukwaa ya kisiasa na vyombo vya habari. Kali hali kama hiyo jeshi la polisi lisingemkamata tungelielewa vipi? Hiyo si ingekuwa kudhalilisha mfumo mzima wa sheria na uhuru wa mahakama?

Kama MH. MBOWE angekuwa na utetezi kwamba yuko bungeni au ana kinga, angepaswa kujisalimisha mahakamani na kutoa utetezi huo badala ya kulumbana na mahakama katika vyombo vya habari. Pia angeweza kushauriana na wanasheria wake kuona uwezekano wa kupinga amri hiyo katika mahakama kuu kama aliona hakimu mhusika alishawishiwa na serikali.

Picha tunayoipata wananchi ni mbaya sana. Kama waheshimiwa wabunge ambao wenyewe wanaheshimika kwaajili ya kazi yao ya utunzi wa sheria wanakuwa wa kwanza kuzarau sheriia sisi walala hoi itakuwaje?

Magamba Typical!
Hapa wewe unaona ni sheria inafuatwa au ni udharirishaji tu wa wa wapinzani ? UNA AKILI AU MATOPE? Kwa akili yako fupi na wenzako Mbowe anaweza kutofika mahakamani kwa makusidi, mbona amekuwa ikihudhuria toka kesi ianze na kuahirishwa kila mara ili kuwapotezea muda tu?

kwa akili yako fupi unadhani kesi hii ni ya kweli au ni kujaribu kuficha makosa ya uuaji ya polisi.
Damu ya mtu haipotei hivi hivi, polisi waliua na wataendelea kuua maana damu ya watu wale inaendelea kuwasumbua mpaka watakapokili makosa yao na kutubu mbele ya wafiwa.

Nani asiyejua kuwa kesi zote tunazoziona ni politically motivated?
Kuna sheria gani inavunjwa kama watanzania wote wako salama hata kama chadema wakifanya maandamano kila siku na kila mahali?

Endeleeni kuwanyanyasa Chadema lakini mateso yenu yatakuwa makubwa kuliko mnayowafanyia wenzenu maana mnapanda kisasi.

Walikuwepo akina mbaraka,waliokuwa na utawala imara na hata nchi ilikuwa imetulia, leo wako wapi bwana?

kama wananchi wamewachoka ni better ukakubali ukakaa pemebeni wengine wakajaribu kuliko kung'ang'ania wakati nchi imewashinda!

Mtalazimisha kuitawala Tanzania lakini hamwezi kuwatawala watanzania!

Mungu ibariki Chadema
Mungu wabariki viongozi wa chadema
Mungu wabariki watanzania wenye uchungu na nchi yetu

Amen.
 
Kila kitu duniani huwa kina mwisho wake na hata uonevu huwa una mwisho kwa Mheshimiwa Freeman Mbowe kukamatwa nadhani sasa serikali inavuka mipaka na imekosea maana mbowe siyo kibaka na aache kuhudhuria mahakamani kama muhuni vile alitoa taarifa kupitia wanasheria lakini mahakama imeng'ang'ania kumkamata na wamefanya hivyo kwa utashi wao wenyewe bila kujali vurugu na athari zilizoko na ambazo zitajitokeza wakati hata tarime hapajapoa!

Ni hivi Jeshi la polisi pamoja na wambea wengine pamoja wanojiita wana intelligencia magamba watakuwa wamepata habari na kuweka ulinzi mahakamani na polisi arusha utadhani wanalinda gaidi! Tunajikusanya na kila mtu na rafiki zake tutakutana j3 mahakamani na vyombo vya dola mmezoea kuonea watu safari hii tutajiandaa na tunawasubiri kwa hamu halafu tutajua hii nchi ni ya wananchi au ya baadhi ya makundi ya watu wachache.

Kwa wakazi wa arusha kila aliyesikia habari hii amjulishe na mwenzake tukutane mahakamani jumatatu.mahakamani na tuhakikishe kuwa Mbowe anatolewa na kuachiwa huru maana yeye ni mwanasiasa tena mtanzania wa halali hata angekwenda ulaya bado angerudi tu tanzania kujibu tuhuma zinazomkabili hapakuwa na sababu ya kumwandama kama jambazi mpigania haki za wanyonge.

Tumechoka na polisi wameua watu Arusha na tarime na walimkamata Tundu Lissu na leo wamemkamata Zitto kwa madai ya kuzidisha muda wa mkutano na sasa mwenyekiti Mbowe!

Am lost control on this! Subira haina thamani tena kwangu.
 
ameidharu mahakama acheni ifanye kazi yake....msiingilie kabisa utajikuta mwenyewe mahakamani...
 
Kama kawaida Asante kwa taarifa,Kama kawaida yetu wenye roho ngumu Arusha hiyo j3 mahakamani tutatimba vilivyo
 
Back
Top Bottom