CCM wanapima upepo kuona what if viongozi wa CDM wakikamatwa. Bad tactic ni sawa na kuonja sumu kwa kuilmba, kesi yoyote ile ni lazima ionekane kuwa ni ya haki. Huu ni uonevu ambao mwisho wa siku unawaongezea CDM nguvu zaidi badala ya kuwamaliza. Suppose viongozi hawa wa CDM mmoja anakuwa anaumwa halafu itokee amefia mikononi mwa polisi je wananchi na wanachama wa CDM watawaelewa?, si ndiyo mwanza wa wananchi kuanza kujenga nyoyo za visasi na ikitokea huko nani atapona?, nchi zenye viongozi makini huwa hawawakamati viongozi popular na kuwaweka chini ya ulinzi bali huwa wanawaweka chini ya ulinzi majumbani mwao kwa kiashirio kilekile kuwa binaadamu has inherently biological risk, and can be termed as a risk investment at any time may go burst (die), and if that happen custodian will be to blame. Kumzuia mtu kama Mbowe ni risky kubwa sana kwa jeshi la polisi na usalama wa nchi, Mbowe anawafuasi na mashabiki ambao hawatawaelewa ninyi polisi endapo atawafia mikononi mwenu. Wakiamua kujichukulia sheria mikononi kwa kuanya hivyo kwa kila kiongozi wa CCM Polisi mtaweza toa ulinzi kwa viongozi wote wa CCM ?
Jeshi la polisi sasa huu ni wakati wa kufanya kazi kisomi siyo kufuata matakwa ya wanasiasa kina kikwete ambao network zinakatikatika na kupoteza uwezo wa kufanya governance risks kabla ya maamuzi yao. Ninawaambia hakika Kama muheshimiwa Mbowe atafia mikononi mwemu kwa njia yoyote ile hamtakuwa na la kujitetea zaidi ya kuingia mitaani kuuwa wafuasi wenye hasira.