Dume la Mende
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 423
- 66
Hakuna aliye juu ya mahakama. Tusiwe vipofu wa sheria. Mbowe ni mtanzania kama wengine wote,, anapokiuka amri ya mahakama, sheria inachukua mkondo kama kawaida. Yeye ni nani aidharau mahakama? Mbowe yuko salama, na kila kitu kitafanyika kufuata sheria, wewe unayewashauri wenzako, utajikuta peke yako mahakamani. Watanzania si mbumbumbu wa sheria siku hizi.ameidharu mahakama acheni ifanye kazi yake....msiingilie kabisa utajikuta mwenyewe mahakamani...