Ndugu wana bodi habari !!Naomba niende kwenye mada moja kwa moja.Tulishuhudi wakati wa awamu ya tano,wataalamu wengi wa mashirika makubwa,walipotenguliwa utumishi wao,walipata uteuzi huko nje kwenye jumuia za kimataifa.
Mfano mtoto wa Malechela alikuwa bosi wa NIMUR.Alipotenguliwa tu ,alipata post huko nje ya nchi.Lakini huyu ndugu yetu Prof Assad hakupata dili kama hilo.Je, hana uwezo? Na kwa sasa inaonekana anasaka uteuzi kwa mama.
Analalamika hovyo huko mitaani.