ipogolo
JF-Expert Member
- Aug 15, 2011
- 6,280
- 5,989
Tafuta kesi ya uhaini. Imo humu.Mkuu mwenye hii link atuwekee,napenda sana story za hivi.
Tafuta kesi ya uhaini. Imo humu.Mkuu mwenye hii link atuwekee,napenda sana story za hivi.
Kweli Mkuu,usije ukadakwa maana kuna mtu humu aliandika mambo fulani hivi siku kadhaa nyuma tangu aandike uzi huo hajaonekana online tena mpaka leo na nasikia kuna mtu yuko mahala kwa ishu hizo, i hope sio yeye.
Nilinzisha uzi kumzungumzia kidogo, ukafutwa. Ila wewe si mwenzao hawawezi kukudaka kwa sababu unajua mipaka.
......Hassy Kitine alikua na urafiki wa karibu sana wa Balozi wa Misri nchini Tanzania pale ubalozini tulimwita Kambale.Pohamba,
..Mzee Kitine alipata kuelezea kuhusu nini haswa kilitokea ktk "kashfa" anayotuhumiwa kununua benzi.
..kwa ujumla alieleza kwamba Mwalimu hakumtimua ktk nafasi ya mkurugenzi mkuu wa tiss.
..Maelezo ya Kitine yapo ktk mahojiano aliyofanya na gazeti la raia mwema.
[emoji1] [emoji1] kumbe mhusika?Hahaha naona unawachora tu kana kwamba hujui chochote!!!!
Mada kama hizi hukosekani mkuu.
Bila kuwasahauAcha tu mkuu, Hapa unganisha doti mwenyewe...
Yaani walioanzisha upinzani nchini ni akina mabere, apson wazee wa system, na mwenzao mzee wa kiraracha ambaye naye anadai alikua mtu wa system, na hawa watu huwa hawastaafu.. Wanapunzika tu..kama anavysema Pohamba
Yaani tunachezeshwa ngoma, mpigaji ni yule yule ila anatubadilishia midundo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni Waislam mkuuAsante. Kuna mtoto wake nimesoma naye nikawa nashangaa mbona ana jina la kiarabu tofauti na baba yake.
Ni Waislam mkuuAsante. Kuna mtoto wake nimesoma naye nikawa nashangaa mbona ana jina la kiarabu tofauti na baba yake.
......Hassy Kitine alikua na urafiki wa karibu sana wa Balozi wa Misri nchini Tanzania pale ubalozini tulimwita Kambale.
kwa kipindi hicho sikuwahi kujua HK alikua ni nani
Nilichojua ni kua ubalozini kuna
maafisa ambao ni maofisa wa usalama.
Asante MkuuTafuta kesi ya uhaini. Imo humu.
Tafuta kesi ya uhaini. Imo humu.
Mahiga kazeeka sana,angeomba astaafu tu,yaani uso mzito vile..
Anyway kuna wale national hero ukiambiwa hata wewe unakubali,
watu kama
msuguri,walden,mayunga, etc,
hawa wengine hamna kitu,
sniper anaweza vipi kupick target kwenye magari mawili yakienda oppossite
direction.maana hiyo hata vijana wa SAD hawawezi
Mtaje mkuu nani uyo?Msimsahau pia mtu mmoja aliyejulikana kwa jina moja tena kwa herufi moja M
Huyu jamaa watu wa miaka ya 64 watamkumbuka vizuri saaana, mtu pekee ambaye hakujulikana wala kuonekana katika muonekano wa kawaida na mtu pekee alie wachagua akina Hassy kipindi hicho. Na aliaminika mnooo na mzee nyerere, mambo yake yalikuwa zaidi ya tunavomjua wengine
Hata hivyo ndie aliekuwa ansaidia kutoa taarifa kutoka kila mahari na kuzifikisha mahali husika kisha vijana kama akina hassy wanazifanyia kazi.
Wengi walimuita masikio ya tembo kwa uwezo wake wa kupata udaku na habari nyeti.
Kila wenzie wakileta habari kwake yeye ilikuwa kama mechi ya marudio iliyochezwa jana.
Cha kushangaza baadae alikuja kutofautiana na wenzake mwaka 86 akidai anataka kupumzika
Umenikumbusha movie moja majamaa wa TISS yao wana bifu kisa demu mmoja
Duh!! ORENGA pia alikuwa jasusi au mwanaharakati wa kawaida tu mkuu?..YES.
..ni James Orengo aliyeongoza jopo la mawakili waliokuwa wakitetea chama cha Raila Odinga.
..Orengo ni mhenga ktk harakati za demokrasia za Kenya. Amekuwa ktk harakati hizo kwa zaidi ya miaka 40.
..na ndiye huyohuyo ambaye alikimbilia Tz wakati wa utawala wa Raisi Moi, lakini akasombwa na vyombo vyetu vya usalama yeye na wahaini[Ochuka & Okumu] waliokuwa wakitafutwa Kenya na kukabidhiwa kwa serikali yao.
..kulikuwa na zoezi la kubadilishana wahaini. Kenya walitukabidhi wahaini waliohusika na jaribio la kumpindua Mwalimu Nyerere.
NB:
..Hezekiah Ochuka na Pancras Oteyo Okumu walikuwa maofisa wa ngazi za chini wa jeshi la anga la Kenya.Walishtakiwa ktk mahakama ya kijeshi na kuhukumiwa kunyongwa.
..inumbula jikeera beya , ..tuulanzi tusisile bee
[emoji1] [emoji1] mkuu watu wanakujua ila kama kweli toa dondoo za uko mkuu.Muongo huyo
Mambo mengine ni kuyaacha kabla hujapata kichaa ....Acha tu mkuu, Hapa unganisha doti mwenyewe...
Yaani walioanzisha upinzani nchini ni akina mabere, apson wazee wa system, na mwenzao mzee wa kiraracha ambaye naye anadai alikua mtu wa system, na hawa watu huwa hawastaafu.. Wanapunzika tu..kama anavysema Pohamba
Yaani tunachezeshwa ngoma, mpigaji ni yule yule ila anatubadilishia midundo
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh!! ORENGA pia alikuwa jasusi au mwanaharakati wa kawaida tu mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app