Pohamba inaonekana unajua mengi sana.Matusi ya nini Ndugu,
huu ni Mjadala wa jumla kuna Vitu tunawaeleza Juniors na kuna Vitu tunapata kutoka kwa Wataalam,
kufoji kwake vyeti vya Matibabu ya Mkewe hakufanyi tusijifunze na kutambua role ya Usalama wa Taifa kumdhoofisha Iddi Amin Kabla ya Vita,
Sifa zote za Ushindi wa Vita vya Kagera huwa tunampa General Twalipo na Makamanda wengine na kusahau role ya Usalama wa Taifa chini ya Dkt Hassy Kitine,
Kama kosa la Mtu linaharamisha kusifiwa kwa Mengine Mazuri aliyofanya Basi Hakuna Binadamu anaepaswa kusifiwa kwa kuwa Hakuna Mkamilifu
Napenda kujua usalama wali mdhoofisha vipi Idd amin kabla ya vita
Sent using Jamii Forums mobile app