MBEYA: Walimu warekodiwa Video, wakimfanyia unyama Mwanafunzi

MBEYA: Walimu warekodiwa Video, wakimfanyia unyama Mwanafunzi

Ni mjinga na mwenye akili za kimmbwa ndo anaeweza kuona binadamu mwingine akinyanyaswa akaamua kukaa kimya ili baadae waende mahakamani. Huna tofauti na nyumbu. Mwenzao analiwa yenyewe yamebung'aa
Lakin pia nakushauri pitia na sababu iliyo pelekea hali hiyo kutokea uking'ang'ana na hiyo uliyo ibeba kichwani hakuna la maana utakalo changia zaidi ya matusimatusi na kejeli
 
1476052075809.png
haya barua ya ticha frank towards us
 
Kila kitu kina sababu ni mjinga pekee anaye thani jambo hutokea bila sababu mwalimu ni tittle but she/he is a human being , ndio maana hata wewe umeshundwa kuzuia jazba zako ukaamua kuita wenzio mbwaa na hii ni tafsiri kuwa laiti wewe ndiye ungekuwa mwalimu wa mbeya day basi unge mchinja kabisa kijana yule maana hata wewe pia huna staha na una mihemko zaid ya wale walio fanya tukio mbeya
Nimekuelewa
 
Umefuatilia vizuri kama ni Walimu wa field kutoka UDSM basi ni wale waliopata division one ndio wanachaguliwa kwenye Ualimu.
Aisee!!! Imeanza lini kwa watu wenye Division one form six kuchagua Education hapo UDSM? Kwa sisi tuliosoma miaka ya nyuma kidogo, mtu akishindwa course kama Engineering, Law, MD, BCom nk ndo utakuta anasoma BSc Ed au BA ed au BSc Gen nk. Kumbe sasa Div ONE mtu mfano apate point 3, 4, 5, 6 nk anachagua Education moja kwa moja!!! Hii ni sawa kama ualimu grade A (nadhani sasa wameondoa) mtu Form FOUR apate Div One say Points 7, 8, 9, aache kwenda Form V akasome certificate ya ualimu grade A. Kama ni hivyo sasa mapinduzi ya Elimu Tanzania yanakuja. Maana tumekua tunalalamika miaka yote kwamba kwanini wale wanaopata alama za chini ndo wanakua walimu? Ukiondoa kwa level za Lecturers maana wao hubakizwa wale waliofanya vizuri.
 
Huu ndio mwisho wenu, ndugu zenu wa Mbeya Day wamebumbulisha dili. Now, endeleeni kupiga watoto wa watu muuone kitakachowakuta ... fimbo ni matakaoni tu vinginevyo mzazi aitwe au mwanafunzi asimamishwe.

Kwa taarifa yako, mwanangu anasoma shule unayofundisha na nimesha mwambia mkimgusa ukoo mzima tunakuja kukinukisha.
Heee,nani kakwambia mimi nafundisha? Mimi ni noma wewe ,huyo mwanao ningekuwa namfundisha akaleta nyoko na wewe ukaja na nyoko zako nawatia vitasa wote baba na mtoto mnaondoka mnalia.
 
Wewe stupid teacher Tu.. Hayo ya kupka poda na umalaya hayakuhusu.. Kaz yako Ina mipaka.
hata awe mjeri vipi kumpga hvo haikubarik.. Afu unajisifu eti ooh mm nlikua nafanya hvyo so what?? Bahat yako unatumia Id fake . Njoo na real name yako uone boya ww.. Mtt ukimshndwa muache akahangaike na wazaz wake sio kumpga hvo
Wee mpaka poda,ni pm halafu nikupe hata namba ya simu ,labda utaambulia kukaa zwaaa,ki neeeeembe weeee
 
q

We ni nani unayetetea walimu na kulazimisha mwanafunzi aonekane feki, una siri gani na tukio hili
Wewe ni mtako tuuu,mm maisha yangu wewe unasubiri,nyumbu wewe. Kama unataka nitafute kitaa nikutie vitasa,mm nafuga vingwendu kama wewe.msengerema wee
 
Wewe zimo kweli..!? Au ni jipu..!? So unaonea wivu passo ya baba ake..!? Kwani unakuta darasa zima liko ivyo unavyosema..!? Na hivi hakuna adhabu nyingine ndio iyo tu..!? Kwa uzoefu wangu walimu wote waliokua wanasifika kwa kugawa adhabu za namna hii shuleni walikuaga na hali ngumu sana za maisha.. na based on your comment hapa inaonesha hata pikipiki huna... nyie ndio wale walimu mnaotoa adhabu kwa wanafunzi na kuwachukia kisa wanaletwa na gari kali na kuchukuliwa na gari kali kurudishwa home... mfano wenu mnaitwa NDI NDI NDI
Kaka nina nyumba mbili Dar,na drive,na wife wangu anadrive watoto wangu wanasoma English medium kaaa vp npm uje home ishangae na roho yako,,,,,nagonga bia tarehe moja hadi tarehe moja.Akili tuuuuu.
 
Ww ndo hukufundisha wafaulu mana naww utakuwa ni zero au foo .
Kwani akinyoa vizuri ndo angefaulu jamani.
Ww fundisha kwani hapo wamekuja kufunzwa maadili.
Kama amaadili angepelekwa jeshini ila hapo ww fundisha dogo awe dokta au engineer na wanasiasa wakubwa pia wanasheria ndo kazi yenu mliyopewa ila sio kuwanyoosha ili upate faida gani sasa.au naww ndo ulipna weakness hizo za kutopigwa ndo unadhani haukufaulu
Wee ***** mm nina division one na Gpa ya 4.0 udsm,acha umburula weeee
 
Kwani mwenzangu tangu uanze kuto...mbwa uliconceive mimba ngapi na umefanikiwa kunyonyesha watoto wangapi,seems like unaujua sana uchungu wa mtoto punga wewe,peleka ushoga wako kwa mamako

Haihitaji kuwa mwanamke kujua thamani ya utu.
Binadamu yoyote mwenye akili timamu analifahamu hili na ndilo linamtofautisha na mnyama wa porini.
Lakini kwa bahati mbaya sana wewe hili ni gumu sana kwako kuelewa, HUNA AKILI KABISA WEWE.
Majibu yako tu yanathibitisha hitirafu kubwa mno kwenye Ubongo wako.

Haya sasa kusema mimi nashika mimba, natombwa, punga na shoga hayadhuru hata kidogo.
Kinachodhuru ni wewe kuwaingiza wazazi wasio na hatia kwenye mjadala wangu mimi na wewe.
UJINGA WAKO NI LAZIMA UMETOKANA NA LAANA YA KUTOHESHIMU WAZAZI.
Majibu yako tu yanathibitisha hitirafu kubwa mno kwenye makuzi yako kama mwanamke.

Ushauri wangu wa mwisho kwako, STUPIDITY IS NOT SEXY AT ALL.
Siku hizi WANAWAKE NA MAENDELEO; wenzako wanawekeza kwenye Elimu na ujasiriamali.
Acha kuwekeza muda wako kwenye Ujinga, nakuahidi hata comments zako zitabadilika.
Naomba nikutakie USIKU MWEMA NA JUMATATU NJEMA.
Vaya Con Dios, muchacha....

Hili gazeti lako ungewapelekea bwana zako bila shaka wangekutolea na mahari ili uwazalie na kuwalelea vizuri watoto wao unaonekana unajua sana malezi mrembo
 
Hili gazeti lako ungewapelekea bwana zako bila shaka wangekutolea na mahari ili uwazalie na kuwalelea vizuri watoto wao unaonekana unajua sana malezi mrembo
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
Aisee!!! Imeanza lini kwa watu wenye Division one form six kuchagua Education hapo UDSM? Kwa sisi tuliosoma miaka ya nyuma kidogo, mtu akishindwa course kama Engineering, Law, MD, BCom nk ndo utakuta anasoma BSc Ed au BA ed au BSc Gen nk. Kumbe sasa Div ONE mtu mfano apate point 3, 4, 5, 6 nk anachagua Education moja kwa moja!!! Hii ni sawa kama ualimu grade A (nadhani sasa wameondoa) mtu Form FOUR apate Div One say Points 7, 8, 9, aache kwenda Form V akasome certificate ya ualimu grade A. Kama ni hivyo sasa mapinduzi ya Elimu Tanzania yanakuja. Maana tumekua tunalalamika miaka yote kwamba kwanini wale wanaopata alama za chini ndo wanakua walimu? Ukiondoa kwa level za Lecturers maana wao hubakizwa wale waliofanya vizuri.
Ndio hivyo mkuu kwa UDSM programme ya BAEd wanachaguliwa wenye division one tu ni miaka kadhaa imepita.

Kwa miaka iliyopita kuna watu wengi walisoma Ualimu wakiwa na division one ila ni upotoshaji tu,hizo programme zingine watu watatosha wote mkuu,watu wanafuata ajira kama ulikuwa hujui.

Pia kwa ngazi ya cheti wanachukuliwa division 1-3 kwa vyuo vyote.
 
Back
Top Bottom