MBEYA: Walimu warekodiwa Video, wakimfanyia unyama Mwanafunzi

Halaf eti Magufuli anatamani kuzima mitandao ya kijamii ili u.s.h.e.n.z.i kama huu usijulikane?
 
Vipigo kama hivi vikomeshwe kabisa mashuleni na ninaamini vinatokea maeneo mengi. Hawa wamenaswa na simu aibu imetoka nje watashuhulikiwa. Chamsingi sikuhizi kisimu kinachoweza kuchukua video kitu kibaya kinatendeka nikunasa tu na kurusha mitandaoni ili ilazimishe wahusika fulani kufanya kazi zao mana hii ingetokea bila kusambazwa hii video sidhani kama ingeshuhulisha watu fulani. Moja ya faida ya mtandao.
 
Nilijisikia Kichefuchefu, kuona Masokwe waliodhaniwa Ni waalimu wampiga Mwanafunzi Kama Mbwa! Lakini Nilichefuka zaidi Nilipoona Polisi wakilaani Kitendo Kile na Kusema Ni cha Kinyama.
Mimi Naona Vitendo hivi vya Uonezi na Udhalilishaji, Na Matumizi haramu ya Nguvu vinatakiwa Visafishwe kuanzia POLISI.

Nashangaa Mbona Polisi wakifanya Unyama wa aina Ileile au wa Kuzidi, Kwanini hatuoni wakuu wa Mikoa na Mawaziri wakihaha Kuwaadhibu Kama ilivyokuwa kwa hawa waalimu? Au Ni kwa Kuwa wao huwa Mara zote wanatekeleza Maagizo kutoka kwa, "waalimu walio Juu?"

Listen to This Video, Are these CCM Dogs any different from the, "Rogue teachers"
 
Dah aisee, ndo shida ya watu wenye single digits IQ wakiwa in a position of power or authority, wao wanachojua kutumia ni force tu!
 
Nilijisikia Kichefuchefu, kuona Masokwe waliodhaniwa Ni waalimu wampiga Mwanafunzi Kama Mbwa! Lakini Nilichefuka zaidi Nilipoona Polisi wakilaani Kitendo Kile na Kusema Ni cha Kinyama.
Mimi Naona Vitendo hivi vya Uonezi na Udhalilishaji, Na Matumizi haramu ya Nguvu vinatakiwa Visafishwe kuanzia POLISI.

Nashangaa Mbona Polisi wakifanya Unyama wa aina Ileile au wa Kuzidi, Kwanini hatuoni wakuu wa Mikoa na Mawaziri wakihaha Kuwaadhibu Kama ilivyokuwa kwa hawa waalimu? Au Ni kwa Kuwa wao huwa Mara zote wanatekeleza Maagizo kutoka kwa, "waalimu walio Juu?"

Hii ni hatari sana nao pia wanatakiwa wakamatwe mara moja
 
Nilijisikia Kichefuchefu, kuona Masokwe waliodhaniwa Ni waalimu wampiga Mwanafunzi Kama Mbwa! Lakini Nilichefuka zaidi Nilipoona Polisi wakilaani Kitendo Kile na Kusema Ni cha Kinyama.
Mimi Naona Vitendo hivi vya Uonezi na Udhalilishaji, Na Matumizi haramu ya Nguvu vinatakiwa Visafishwe kuanzia POLISI.

Nashangaa Mbona Polisi wakifanya Unyama wa aina Ileile au wa Kuzidi, Kwanini hatuoni wakuu wa Mikoa na Mawaziri wakihaha Kuwaadhibu Kama ilivyokuwa kwa hawa waalimu? Au Ni kwa Kuwa wao huwa Mara zote wanatekeleza Maagizo kutoka kwa, "waalimu walio Juu?"

wafukuzwe kazi mara moja na washtakiwe kama wale walimu wa mbeya waliomchapa denti
 
Unyama wanaofanyiwa wananchi pia ni mbaya. Tofauti ni kwamba waalimu walitumwa kufundisha na askari walitumwa kupiga .
 
Nilijisikia Kichefuchefu, kuona Masokwe waliodhaniwa Ni waalimu wampiga Mwanafunzi Kama Mbwa! Lakini Nilichefuka zaidi Nilipoona Polisi wakilaani Kitendo Kile na Kusema Ni cha Kinyama.
Mimi Naona Vitendo hivi vya Uonezi na Udhalilishaji, Na Matumizi haramu ya Nguvu vinatakiwa Visafishwe kuanzia POLISI.

Nashangaa Mbona Polisi wakifanya Unyama wa aina Ileile au wa Kuzidi, Kwanini hatuoni wakuu wa Mikoa na Mawaziri wakihaha Kuwaadhibu Kama ilivyokuwa kwa hawa waalimu? Au Ni kwa Kuwa wao huwa Mara zote wanatekeleza Maagizo kutoka kwa, "waalimu walio Juu?"

walimu wamefanywa kama mpira wa kona. Ndio maana siku hizi hata wale waliokimbia umande yaani hawakusoma wanadharau walimu
 
Angalia wajibu wa mtu husika na nan mafunzo yake
Police hawajafundshwa kupga hivyoo... Kuna taratbu za kumkamataa mtu sio kwa kupiga hvyoo, ushaona askari wa ulaya wakipga hivyo wakat wa kutuliza ghasia??
 
Hivi hawa polisi hapa si wamevunja sheria waziwazi kabisa, kwa kufanya ukatili ambao ni kinyume kabisa na maadili yao kama maofisa usalama? Hapa kuna polisi zaidi ya watano (askari kanzu na wenye uniform) wakimchangia mtuhumiwa mmoja ambaye hana hana silaa na wala haonekani kutumia nguvu juu ya hao polisi, yani yuko defenceless kabisa... lakini wanamuangusha chini kwa mateke na kuanza kumpiga kwa marungu akiwa amelala chini na hapo hapo wakimshurutisha apande kwenye karandika, lakini ni kwamba akijaribu tu kuinuka kuelekea kwenye karandika anarushiwa tena mateke anaanguka chini!!. Ni kwanini wasimdhibiti tu na kumfunga pingu na kumuingiza kwenye gari? Kweli polisi zaidi ya watano wanashindwa kumdhibiti mtu mmoja na kumfunga pingu?

Hivi hii thread mbona imeunganishwa hapa... mbona hai-make sense?! Sawa, tuna-discuss unyama wa polisi 'as opposed to' unyama wa waalimu, lakini hii ya polisi si ingebaki yenyewe tu... au labda mleta hii post ya polisi labda ungesubiri mpaka upepo wa tukio la waalimu wakatili uishe kwanza ndio ulete hii post ya polisi, labda wasingeiunganisha...ili kuendana na tradition yetu watanzania ya kushadadia na kuzungumzia matukio tu separately kama yalivyo....
 
Kuna Mamoderator Washenzi sana Jamii Forums, Wanapounganisha Mada wanakuwa na Nia Chafu ya Kuzima Hoja! Lengo Langu Lilikuwa Kuonyesha Unyama Upande wa Polisi ambao kwa Waalimu waliwashukia Lakini wao na wanaowatuma wanadhani wana uhalali wa Kufanya yaleyale na mabaya zaidi. Nimefikia wakati natafakari Kama JF ni Wafagizi wa CCM, Nifikiri Niiachane na Kupoteza Muda wangu hapa.
 
Pole Mokili Fumulauhi, basi ndugu yangu usikasirike vumilia tu
 
Ubaya Ni Kuwa Mimi Naishi Kwa Raha USA, Na Wakati Mwingine Nasafiri Duniani kwa Raha zangu, Lakini Tangu Utoto Najisikia Huzuni ya Kufa Nikiona Mtu akionewa, Maisha ya Mtu Ni Mafupi sana, Kwanini Unamvuruga Mwanadamu Mwingine na Kuyafanya Maisha yake kuwa hasara, Huzuni na Mateso? Is it really necessary? Inaniuma sana, sana Niseme Ukweli, Hata Chama Kingine Kingelikuwepo Madarakani wakawafanyia CCM Unyama huu, Ningeumia Vilevile. Kutesa Mwanadamu Mwingine kwa Makusudi, Ni dhambi Kubwa Kuliko zote Ni tangazo la Dharau, na Chuki juu ya Mungu mwenyewe!
 
Back
Top Bottom