MBEYA: Walimu warekodiwa Video, wakimfanyia unyama Mwanafunzi

MBEYA: Walimu warekodiwa Video, wakimfanyia unyama Mwanafunzi

Kazi ya ualimu ilikuwa zamani maana watoto walifundishwa adabu kuanzia home,akienda shule ataelekezwa mambo madogo madogo tu,ila kwa sasa hii kazi ya ualimu ni bora tu uwe mkulima,utakuwa na amani sana. Kuliko hii kazi,maana kila RAIA ni msemaji wa mwalimu, in short mwalimu hapendeki mtaani,anadharaulika sana. Anatukanwa sana kuanzia RAIA hadi wanafunzi wenyewe. Mungu wape maono tofauti Walimu,pengine wafanye shughuli zingine tu kuliko hii ya kuwatoa ujinga watoto ambao hata wazazi wao wanaweza kufanya hivo
 
Kwa taarifa kutoka chanzo cha uhakika ni kwamba tukio hilo ni kweli limetokea Mbeya Day Sec
Kulikuwa na ubishani kati ya Mwalimu wa field na mwanafunzi hali iliyopelekea kushikana na hatimae mwanafunzi kumjeruhi mwalimu mdomoni kwa ngumi
Hali hiyo ilipelekea walimu wengine wa field kumbeba mzobemzobe mwanafunzi huyo na kumpleka chumba cha Staff na kumsulubu
Hakukuwapo walimu wenyeji na hao walimu wenyewe walijirekodi na kurusha tukio mitandaoni kama vile kuonyesha kitendo chao cha kukomeshea
Walimu hao walimaliza field Ijumaa na kurejea makwao
Pole kwa walimu wa Mbeya Sec shule yenu imechafuliwa

My take
Kazi Nzuri sana walimu wa Field
Hakika mkuu
 
Nadhan kuna umuhim wa hawa walimu kupimwa akili kabla ya kupewa kazi vinginevyo watoto wetu watajifunza ukatili wa kutisha kwa baadae
 
Ndugu zangu Mimi ni mzazi.

Leo nimeumia sana nilipoiona video fulani inayosambaa kwa kasi katika mitandao ya kijamii, ikiwaonesha wanadamu wenye roho za kihayawani wakimshamburia mwanafunzi mmoja!

Uwiiiiiiiiiiiiii.
Naomba serikali yetu itusaidie kwani watu wa namna hii watatuulia watoto wetu!
 
Hunielewi naona ndugu..... Mimi nachohuzunika ni kipigo hapa haijalishi aina ya kosa. Mwanafunzi akiwa jeuri fukuza kwa mbali na mueleze mzazi wake wanini shuleni kama anakiburi?? Tatizo hapo ni hiyo aina ya adhabu iliyotolewa kwangu ndio tatizo. Mbona sie kipindi tunasoma ilikuwa ukisikia tu kaite mzazi wako ujue balaa na ukizidisha jeuri unapewa onyo wiki 2-3 home kajifunze adabu na heshima ukirudi ukiendelea na tabia mbaya UNAFUKUZWA
Yaan Mwanafunzi aje akushike tako ama ziwa tena Hadharani wewe wala hu react ????
 
ndio effect za jeshi izo
Sema negative effects za jeshi najua una maana JKT, usiishie tu kusema effects kwa sababu kuna positive effects pia za jeshi (JKT). Hata hivyo mimi binafsi naona ni ujuha wa hao walimu tu na si suala la kuhusisha jeshi hapo. Jeshi yaani JKT haijaanza leo, watu wengi tumepita huko nadhani labda hata wewe, lakini siyo wote wenye tabia kama hizo. Hawa walimu hawana ethics za ualimu kabisa, nadhani ndo hawa wanakwenda kusoma ualimu kwa sababu tu points za course zingine zimegoma.
 
Huyu mwalimu na wenzake ........napenda kuamini kwamba wanajua fika what goes around comes around.....wajiandae tu ...... Mungu ni Mwema kila wakati.
 
Wengi wanakurupuka tuuu,na ndo maana mitoto ya siku hizi haina adabu,unakakuta kabinti ka shule kanaongea na simu mambo ya kingonongonooo,na kamekaa kingonongono tuuu kisa hawa walezi wanaocomment humu.Vivulana vinajifanya vitemiiii na kuwadharau walimu kisa baba yake ana ka passo na pick up.kama ni mimi nakunyoosha kama nyoka na niliwahi fanya hivo kwa dogo mmoja hivi shule moja Mbez huko.Alipoleta ujuaji nilimfukuzisha shule jumla,Sipendagi ujinga mieee

Wewe zimo kweli..!? Au ni jipu..!? So unaonea wivu passo ya baba ake..!? Kwani unakuta darasa zima liko ivyo unavyosema..!? Na hivi hakuna adhabu nyingine ndio iyo tu..!? Kwa uzoefu wangu walimu wote waliokua wanasifika kwa kugawa adhabu za namna hii shuleni walikuaga na hali ngumu sana za maisha.. na based on your comment hapa inaonesha hata pikipiki huna... nyie ndio wale walimu mnaotoa adhabu kwa wanafunzi na kuwachukia kisa wanaletwa na gari kali na kuchukuliwa na gari kali kurudishwa home... mfano wenu mnaitwa NDI NDI NDI
 
Sasa umefika wakati wanafunzi kuchukua Visu vikali zaidi mashuleni.
 
Naomba wizara iwafukuze kazi waalimu hawa wa mbeya day secondary
This is too much
 
Huyu mwalimu na wenzake ........napenda kuamini kwamba wanajua fika what goes around comes around.....wajiandae tu ...... Mungu ni Mwema kila wakati.
Umeona kuna watoto wa walimu wapo shule za kata,labda walimu wa msingi
 
ce6625316f77e66c4cc28d31b7f9bad1.jpg
 
Back
Top Bottom