MBEYA: Walimu warekodiwa Video, wakimfanyia unyama Mwanafunzi

MBEYA: Walimu warekodiwa Video, wakimfanyia unyama Mwanafunzi

Una uhakika anaechapwa ni mwanafunzi? Je kama ni kibaka aliyeamua kuvaa uniform tu, usikimbilie kujaji na kutoa hukumu moja kwa moja kwa waalimu bila kujua kwa kina, anaechapwa ni nani? Amekosa nini, waliomchapa ni akina Nani?
 
Miaka ile nasoma adhabu kama hiyo ilikuwa jambo la kawaida sana, kwa kizazi cha sasa hao walimu hawataeleweka mahala popote na kwa namna yyt ile. Mtoto kama kashindikana aachiwe mzazi wake tu, sio kutumia miguvu miiingi ambayo hata haisaidii. Watakumbana na mkono wa sheria hiv punde tu tushatrac location tumeipata
Hiyo shule uliyosoma wewe kipindi cha miaka hiyo ni shule gani haswa yenye kupiga mwanafunzi kama unapiga kibaka?? Maana sie adhabu zilikuwa fimbo za mikononi wasichana, wavulana makalioni hiyo ya ngumi na vibao kama hizo hapana sikuwahi isikia aisee
 
kiukweli kwa kipigo hichi ingekuwa mi ni mwanafunzi ngemtafta mmoja mmoja.... maisha hayaishii shuleni kuna mtaa pia
 
Huyo si mwanafunzi
Kavaa uniform kama mwanafunzi .
Ana lengo maalum la kuivamia hiyo shule.sasa imebumbuluka na wakamkamata.
Wewe kama mzazi sidhani kama utafurahia mwanao kulaghaiwa kimapenzi na wahuni wanao jifanya wanafunzi
 
Hunielewi naona ndugu..... Mimi nachohuzunika ni kipigo hapa haijalishi aina ya kosa. Mwanafunzi akiwa jeuri fukuza kwa mbali na mueleze mzazi wake wanini shuleni kama anakiburi?? Tatizo hapo ni hiyo aina ya adhabu iliyotolewa kwangu ndio tatizo. Mbona sie kipindi tunasoma ilikuwa ukisikia tu kaite mzazi wako ujue balaa na ukizidisha jeuri unapewa onyo wiki 2-3 home kajifunze adabu na heshima ukirudi ukiendelea na tabia mbaya UNAFUKUZWA
Nani amekuambia mwanafunzi anafukuzwa kirahisi tu.
 
Nimeona kwa Mange instagram ni walimu wa mbeya day secondary, acha wafikishwe kituo cha polisi halafu mahakamani wakajibu kama ni muhalifu au mwanafunzi na kwa nini wajichukulie sheria mkononi.

Umwar?
 
Una uhakika anaechapwa ni mwanafunzi? Je kama ni kibaka aliyeamua kuvaa uniform tu, usikimbilie kujaji na kutoa hukumu moja kwa moja kwa waalimu bila kujua kwa kina, anaechapwa ni nani? Amekosa nini, waliomchapa ni akina Nani?
Hata kama ni kosa la namna gani kama mwalimu ambae ni mlezi huwezi fanya ujinga huu, usinitibue na uharo wako tokaaa kwenda zako na hao wauni wenzio
 
Miaka ile nasoma adhabu kama hiyo ilikuwa jambo la kawaida sana, kwa kizazi cha sasa hao walimu hawataeleweka mahala popote na kwa namna yyt ile. Mtoto kama kashindikana aachiwe mzazi wake tu, sio kutumia miguvu miiingi ambayo hata haisaidii. Watakumbana na mkono wa sheria hiv punde tu tushatrac location tumeipata
Hata mwaka juzi wakati nafundisha sekondari adhabu kama hii ilikuwa kawaida sana
 
q
Huyo si mwanafunzi
Kavaa uniform kama mwanafunzi .
Ana lengo maalum la kuivamia hiyo shule.sasa imebumbuluka na wakamkamata.
Wewe kama mzazi sidhani kama utafurahia mwanao kulaghaiwa kimapenzi na wahuni wanao jifanya wanafunzi
We ni nani unayetetea walimu na kulazimisha mwanafunzi aonekane feki, una siri gani na tukio hili
 
what if huyo wanaye mpiga ameingia hapo shule kwa nia ya kufanya jinai huku amevaa mavazi ya wanafunzi
Kuna sheria ya makosa ya jinai hivyo wanatakiwa wampeleke sehemu inayohusika, walichokifanya hao walimu pamoja na kwamba kuna watu wanakiunga mkono si kitendo kizuri kutokana na aina ya kipondo unless kama jamaa alikuwa analeta madhara hivyo walimu walikuwa wanamtuliza (assuming ameingia kwa nia ovu). Kimsingi hata kutoa adhabu ya kupiga ni taalama pia ndio maana enzi za mwalimu pamoja na kwamba viboko ilikuwa rukhsa but ilikuwa kuna sehemu maalumu za kupiga (kwenye makalio au mikononi)
 
Back
Top Bottom