MBEYA: Walimu warekodiwa Video, wakimfanyia unyama Mwanafunzi

Hii story yako ni ya uwongo na nina uhakika 99% niuwongo! Go to hell to relax!

Watoto wanaomaliza miaka hii ni watoto wadogo sana hawana jeuri hiyo ya kujibu fucken answer kama unavyo taka kutuaminisha hapa!!

Usipende kujitungia story za uwongo na kuziweka public

Huyo dogo alikuwa na haki ya kujitetea na kujieleza!

Walimu mna stress hamjalazimishwa kufundisha zipo kazi nyingine za kufanya

Kwani mlitumwa mfeli??
Imebidi nicheke tu maana sio kwa muhemko huo.
 
Angekuwa mwanangu hakyamungu Tunauana, seriously tena wla siwafichi walimu wenyewe wavaa milegezo hao
 
Huyo mwanafunzi awe mwanangu, wa kaka yangu , au wa dada yangu , Naapa kuwatafuta hao wauaji popote pale nikiwakuta nakula vichwa.
Ama zao ama zangu.
 
hii yote ni serikali ya ccm,hata scorpion kalelewa na ccm.ndo maana hakuna anaejali
 
wazazi wake wamshindwe au wasimshindwe, avute bangi au unga, hiyo si kazi yako mwalimu wewe uko hapo kufundisha tu, hayo mengine muachie mzazi wake, tena mfukuze shule kabisa akahaingaike na waliomleta dunia
Hii story yako ni ya uwongo na nina uhakika 99% niuwongo! Go to hell to relax!

Watoto wanaomaliza miaka hii ni watoto wadogo sana hawana jeuri hiyo ya kujibu fucken answer kama unavyo taka kutuaminisha hapa!!

Usipende kujitungia story za uwongo na kuziweka public

Huyo dogo alikuwa na haki ya kujitetea na kujieleza!

Walimu mna stress hamjalazimishwa kufundisha zipo kazi nyingine za kufanya

Kwani mlitumwa mfeli??
hauko sawa hasa kwenye huo mstari wa chini na inaonekana unaishi kwa kukariri na huna elimu mimi nilikuwa mwalimu mika 15 aliyo pota kabla sija amua kuachana na kada hiyo na nina ufahiri mzuri na minadhani zaidi yako maana kama ungekiwa na ufauru mzuri usinge andika kiwehu kama hivi kwa maana mwalimu huyo huyo ndio kakufanya wewe uweze kuyaandika haya , tumia akili ,tumia busara na hekima maana kwa ulicho andika sidhan kama ulifika hata elimu ya sekomdari,
Siungi mkono kabisa kipigo alicho pewa huyo mtoto maana ni unyama lakini nimekudharau kwa kumdharau mwalimu aliye kupa maarifa yanayo kupa kiburi wewe hujaelimika hata kidogo
 
No no no.

That is unacceptable.

Hiyo ni jinai.

Hao walimu, hususan huyo anayempiga huyo dogo usoni ni wa kufungwa jela kabisa.

Na wana bahati huyo dogo si ndugu yangu la sivyo street justice ingewahusu.
I hear you! Haya ni matukio ambayo, nina amini, yanatokea kilasiku. Watoto wetu kupigwa na kudhalilishwa na baadhi ya walimu wasio na utu. Hawa walio kamatwa, kwa bahati nziri, wamerekodiwa wakifanya hili tendo la kinyama; otherwise, tusinge jua. I wish tunge jua aliye rekodi, ningemtumia zawadi.
 
Hii story yako ni ya uwongo na nina uhakika 99% niuwongo! Go to hell to relax!

Watoto wanaomaliza miaka hii ni watoto wadogo sana hawana jeuri hiyo ya kujibu fucken answer kama unavyo taka kutuaminisha hapa!!

Usipende kujitungia story za uwongo na kuziweka public

Huyo dogo alikuwa na haki ya kujitetea na kujieleza!

Walimu mna stress hamjalazimishwa kufundisha zipo kazi nyingine za kufanya

Kwani mlitumwa mfeli??
sidhani Kama hii response ni kwaajili ya mada mezani.........hili biff kabla
 
Mie mwenyewe nimeshindwa kushangaa, angalau hata angeuliza apate details, ila kanivamia tu, ndio maana nimempuuza.
 
mapovu mnoooo unakuta MTU kama huyu aliwahi fanyiwa kitendo cha kinyama na mwalim enzi hzo akaamua kukumalizia pole sana
 
Hawa vijana hawakujifunza saikolojia? walipaswa kuwaelewa vizuri wanafuzi wao tabia zao ili kuwaongoza vizuri
Walimu wanafundishwa educational psychology so psycholojia ya waalifu. Huyu ni mualifu that's why anaazibiwa na walimu zaidi ya mmoja
 
hauko sawa hasa kwenye huo mstari wa chini na inaonekana unaishi kwa kukariri na huna elimu mimi nilikuwa mwalimu mika 15 aliyo pota kabla sija amua kuachana na kada hiyo na nina ufahiri mzuri na minadhani zaidi yako maana kama ungekiwa na ufauru mzuri usinge andika kiwehu kama hivi kwa maana mwalimu huyo huyo ndio kakufanya wewe uweze kuyaandika haya , tumia akili ,tumia busara na hekima maana kwa ulicho andika sidhan kama ulifika hata elimu ya sekomdari,
Siungi mkono kabisa kipigo alicho pewa huyo mtoto maana ni unyama lakini nimekudharau kwa kumdharau mwalimu aliye kupa maarifa yanayo kupa kiburi wewe hujaelimika hata kidogo
Kwa uandishi wako wewe ni failure tu
 
hauko
sawa hasa kwenye huo mstari wa chini na inaonekana unaishi kwa kukariri na huna elimu mimi nilikuwa mwalimu mika 15 aliyo pota kabla sija amua kuachana na kada hiyo na nina ufahiri mzuri na minadhani zaidi yako maana kama ungekiwa na ufauru mzuri usinge andika kiwehu kama hivi kwa maana mwalimu huyo huyo ndio kakufanya wewe uweze kuyaandika haya , tumia akili ,tumia busara na hekima maana kwa ulicho andika sidhan kama ulifika hata elimu ya sekomdari,
Siungi mkono kabisa kipigo alicho pewa huyo mtoto maana ni unyama lakini nimekudharau kwa kumdharau mwalimu aliye kupa maarifa yanayo kupa kiburi wewe hujaelimika hata kidogo

Mmmh! Sawa Mwalimu wa zamani.

Halafu kuna mtu anasema anatamani malaika wafungie social media. Haya mambwa yanayofanya huu unyama tungeyaonea wapi?

Tunahitaji elimu kubwa zaidi kama taifa. Maendeleo sio ndege na mabarabara tu. Ni pamoja na uelewa na upeo wa kuamua yaliyo na tija.

Pole zake mwanafunzi. Hao waalimu kuna kila sababu wafungwe maisha. Hasa aliekua anapiga kichwa. Huyo ni maisha maana ile ni nusu murder hakyanani.
 
Back
Top Bottom