Inkoskaz
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 6,360
- 2,389
- Thread starter
- #161
[06/10, 09:43] +255 767 488 622: Nimesikia ni Mbeya Day sec iko Mbeya mjini. Inasemwa semwa sehemu nyingi
[06/10, 09:43] Richard Kasesela: Nimeongea na MZEE wangu pale mbeya day ameniambia walikuwa walimu wa field na anadai mwanafunzi n mvuta bangi lakin naomba mamlaka husika ziwafuatilie hao popote walipo kwan majina yao yapo Kwa MKUU wa shule kama kumbukumbu ya walimu waliofanya field. Copy and paste grp la Mbeya