Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 11,372
- 17,920
Kweli wewe ni nyau ...RC hana kazi za kufanya, ni sawa na yule DC wa tunduru aliyekwenda kufumania.
USA na wenzie wa Europe wangekuwa na viongozi kama hawa sidhani kama wangefika huko Mars au kutengeneza drones na haya masmart phone.
RC na DC mjifunze kudeal na mambo makubwa makubwa yanayoleta tija kwenye ustawi wa jamii kwa kutumia akili zenu kubuni mambo tofauti tofauti.
Kila jambo kubwa huanzia na dogo.
A journey of thousands of miles begins with a single step.
Mbuyu ulianzia kuota mmea mdogo kama mchicha.
Usidharau kitu kidogo au jambo dogo.