Mbeya long time kitambo

Mbeya long time kitambo

Hii nimeipenda sanaa
Duh, Mkuu ww ni balaa. Hii story ni ya kweli kabisa, Vera, dada zake na mama yao walikuwa km machangu fulani hivi. Na hali Ilikuwa mbaya zaidi baba yao mzee George alipokuwa jela pale gereza la Luanda. Sijui wapo wapi siku hizi?
Neema dada yake na Vera aliolewa na waziri wa kitu gani sijui zambia mambo yake yalikuwa safii
Nimekuwepo jf kwa muda mrefu sana, nimetengeza marafiki ambao sasa ni zaidi ya ndugu. Tunatembeleana na kujaliana kwenye shida na raha.
Ukiwa mpole, mnyenyekevu, mvumilivu na Mwenye heshima, kamwe hauta gombana na mtu. Napenda Joseverest na mshana jr wanavyo jibu kwa hekima, hata wakitukanwa hawarejeshi matusi.
Sio kwamba mioyo yao ni mikubwa sana na ni ya chuma isiyo hisi maumivu, la hasha. Wanajua kuwa maisha ni zaidi ya JF. Kuna leo na kesho

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
 
Hii nimeipenda sanaa
Neema dada yake na Vera aliolewa na waziri wa kitu gani sijui zambia mambo yake yalikuwa safii

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
Nobody knows tomorrow.
Walio kuwa wanamdharau sasa wakampigia magoti
 
Nimekuwepo jf kwa muda mrefu sana, nimetengeza marafiki ambao sasa ni zaidi ya ndugu. Tunatembeleana na kujaliana kwenye shida na raha.
Ukiwa mpole, mnyenyekevu, mvumilivu na Mwenye heshima, kamwe hauta gombana na mtu. Napenda Joseverest na mshana jr wanavyo jibu kwa hekima, hata wakitukanwa hawarejeshi matusi.
Sio kwamba mioyo yao ni mikubwa sana na ni ya chuma isiyo hisi maumivu, la hasha. Wanajua kuwa maisha ni zaidi ya JF. Kuna leo na kesho
balimi kwako kaka weekend hii

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Nenda sokomatola mtaa wa kanisa enzi hizo utakutana na Mfike mabugilo "Tyson" mr Tanzania wa kwanza..! Ng'ombe za Mwamtobe!
Baadae wakaja vijana wa uswahilini Matola na "kosa la marehemu hakuvaa kondomu" !! Daah ahsante mtoa post ama kweli Mbeya imelea wengi naamini vijana wa Irambo wako humu plus Joseph kabila.

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo kina Kachinga Mpakasi, Elewa, Bright, na watoto wa Mwamtobe Henry (Henule) Dereva wa mabasi ya kwenda DSM unawajua pia
Muu nawafahamu fika hasa watoto wa Mpakasi ambaye alikuwa mwalimu wa Mbata P/S kama sijakosea. Mwl Mpakasi alikuwa anakaa jirani kabisa na Mama yangu Mdogo mitaa ya Kiwanja Mpaka, I mean nyumba zao zinapakana.
Mpakasi alikuwa na mtoto wake mmoja anaitwa Morris na mwingine Francis na ndo nilikuwa nafahamiana nao. Familia ya Mwamtobe namfahamu hadi huyo Henule but sikuwa na ukaribu nao kama akina Mpakasi. One time nilishawahi kung'atwa na mbwa wa Mpakasi mishale ya saa 2 usiku, nilitoka mbio acha tu nikaingia duka la jirani kupitia juu ya meza inayotenganisha mteja na muuzaji but mbwa wakanidaka mguu mmoja uliokuwa umesalia juu wakati nimetanguliza kichwa chini!Niliishia kupata majeraha ya kung'atwa,nikawahishwa hospitali ya rufaa hapo Mbeya kwa ajili ya tiba.Ilikuwa kama filamu fulani hivi,haaaaaaaa!!!
Bright nishamuona last two months Mafinga nikiwa safarini. Tulikuwa family friends kipindi nipo Mbeya. Mama yake na Mama yangu walikuwa marafiki sana kabla hatujahama kutoka Sokomatola kwenda Sai.
 
Magorofani kwenye Video kwa Mama Tamasha bila kupasahau RTC Club tulikuwa tunatizama recorded World Cup Mexico
Pia na ukumbi wa Enterprise opp. na Ofsi za Posta, full burudani ya filamu.
 
Muu nawafahamu fika hasa watoto wa Mpakasi ambaye alikuwa mwalimu wa Mbata P/S kama sijakosea. Mwl Mpakasi alikuwa anakaa jirani kabisa na Mama yangu Mdogo mitaa ya Kiwanja Mpaka, I mean nyumba zao zinapakana.
Mpakasi alikuwa na mtoto wake mmoja anaitwa Morris na mwingine Francis na ndo nilikuwa nafahamiana nao. Familia ya Mwamtobe namfahamu hadi huyo Henule but sikuwa na ukaribu nao kama akina Mpakasi. One time nilishawahi kung'atwa na mbwa wa Mpakasi mishale ya saa 2 usiku, nilitoka mbio acha tu nikaingia duka la jirani kupitia juu ya meza inayotenganisha mteja na muuzaji but mbwa wakanidaka mguu mmoja uliokuwa umesalia juu wakati nimetanguliza kichwa chini!Niliishia kupata majeraha ya kung'atwa,nikawahishwa hospitali ya rufaa hapo Mbeya kwa ajili ya tiba.Ilikuwa kama filamu fulani hivi,haaaaaaaa!!!
Bright nishamuona last two months Mafinga nikiwa safarini. Tulikuwa family friends kipindi nipo Mbeya. Mama yake na Mama yangu walikuwa marafiki sana kabla hatujahama kutoka Sokomatola kwenda Sai.
Moris alikuwa bingwa wa ku dance
 
Huu ni uzi wa pili nauona kwa wanambeya kuusifia mji wa0

Sent from my SM-G903F using JamiiForums mobile app
 
Walikuwa wanakaa mitaa ya kishua jirani na kwa mehrab,mzee malakasuka alikuwa na kampuni inaitwa GHANA BUILDING CONTRACTORS.Walikuwa na hela na walitugonga sana tu.

Dah so sad kwa kweli

Sent from my SM-G903F using JamiiForums mobile app
 
Kulikuwa na jamaa anaitwa JOELI yeye alikuwa ni professional kwa kuingia uwanjani kwa kuruka ukuta!!!alikuwa kama ana dawa maana hata ulinzi uwe mkali vipi yeye lazima atinge ndani na hakamatwi ng'oo....Kingine ni jinsi ambavyo vijana/watoto wa isanga walivyokuwa wanaanzisha fujo kila baada ya kuisha soka pale sokoine!!!
 
Huku ndio maskani tulikuwa watoto wa uswazi haswaa! Mnuso tukisikia upo Ghana tunao, Jacaranda tunao
Umenikumbusha enzi za ngenge na wali moto mchuzi moto pale Jua kali kwenye 1997.

Sent from my HUAWEI Y300-0100 using JamiiForums mobile app
 
Makunguru zilikuwepo daladala za mama Monica aliziandika"nashangaa gari" rout ni standkuu to uyole
Namfahamu huyo mama na alikuwa na matusi na jeuri, wakati fulani aliwahi kununua roli aina ya Jiafong au Faw hivi basi alikuwa analisimamisha mbele ya wanaume na kuanza kuwatambia kwa kejeli na dharau

Sent from my HUAWEI Y300-0100 using JamiiForums mobile app
 
Chabhabhine hiyo watoto wa isanga wanaanza kazi

Sent from my SM-A710F using JamiiForums mobile app
 
Umenikumbusha sana hawa walisumbua sana walikua wanafanyia machinjioni monde
sheta au mwasimba
kidos
Julius kajoleka
lutengano
huyu mwasimba alisumbua sana mpaka serikari ikamuajili kwaajili ya kutuliza ghasia machinjioni hapo
julius kajoleka alikua mtumishi misuli maalufu tz alishafanikiwa kufika south Africa kwa kutunisha misuri baadae wazungu w alikuja kumtafuta akacheze filamu hollwood baba yake akamkataza akamwambia ukienda huko hutaludi na kweli hakwenda na alikua na uwezo mkubwa wa kula nyama kilo nne mlo mmoja wanawake alikua hadumu nao
Duu, hilo la kutodumu na wanawake linatisha!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom