Mbeya long time kitambo

Mbeya long time kitambo

Niliishi jirani na familia ya Mapugilo pale kiwanja mpaka. True kabisa walikiwa watata hawa ndugu sio michezo. Ila Ibu alifariki ktk tukio la ujambazi nje ya Mbeya.
FB_IMG_1499504408210.jpg

Kwa hiyo, huyo wa pili kutoka kushoto waliosimama unamfahamu?
 
mbeya technical college,chuo kilikuwa kule iyunga kiwanda cha koka kwa juu,jamaa walikuwa wakali sana wa basketball..walikuwa wana uwanja wa mbao wa ndani-indoor marble court
Huo uwanja wa ndani hautumiki tena, ni lecture hall kwa sasa, ila magoli na miundombinu mingine bado ipo. Panaitwa sport hall
 
Kulikuwa na mlokole mmoja ana mgahawa alikuwa anaitwa Mtemi, akamuaga mkewe kuwa anaenda kuhubiri vijijini. Akakutwa Lupa Way guest house kafa na kondom yake. Ilikuwa inasemekana alikuwa amelala na Vera wa George wa Soko-Matola mtaa wa Tanu
Duh, Mkuu ww ni balaa. Hii story ni ya kweli kabisa, Vera, dada zake na mama yao walikuwa km machangu fulani hivi. Na hali Ilikuwa mbaya zaidi baba yao mzee George alipokuwa jela pale gereza la Luanda. Sijui wapo wapi siku hizi?
 
Niliishi jirani na familia ya Mapugilo pale kiwanja mpaka. True kabisa walikiwa watata hawa ndugu sio michezo. Ila Ibu alifariki ktk tukio la ujambazi nje ya Mbeya.
Kwa hiyo kina Kachinga Mpakasi, Elewa, Bright, na watoto wa Mwamtobe Henry (Henule) Dereva wa mabasi ya kwenda DSM unawajua pia
 
Mwakiswalele na kanisa lake la Uamsho walikuwa wanaonekana wanaabudu mashetani na walisadikika wanasali uchi usiku wa manane.
Walipewa jina la kebehi BHASISIMIKISI
 
Kwa hiyo kina Kachinga Mpakasi, Elewa, Bright, na watoto wa Mwamtobe Henry (Henule) Dereva wa mabasi ya kwenda DSM unawajua pia
Daaaah! Mkuu, una kitabu cha kumbu kumbu ya Mbeya? Sina shaka unamkumbuka sa PILOT, alikuwa anafanya kazi Enterprise Cinema!
 
Back
Top Bottom