APEFACE
JF-Expert Member
- Oct 1, 2016
- 5,048
- 8,628
Ukitokea chinji kama unaenda Maendeleo mkono wa Kushoto ndo kulikuwa na Makyela,kipindi cha tam tamu hapo watu wamekufa sana kwa ngoma, upande wa pili hapa kulikuwa na mzee mmoja anaitwa Mwakitalima alikuwa anafuga ng'ombe, dereva wa zamani sana . Hii barabara wasafwa kibao wanapita na mapunda yao wanapoenda machinjioni kuuza viazi na mkaa.Kilabu cha Mwakyela pale Nonde , Kilabu cha Maendeleo kule Ghana juu , Kwa Mwalalika mashine.