kibumbu
JF-Expert Member
- Mar 30, 2017
- 1,420
- 3,481
Crazy murder ni mwalimu wa secondary ukereweMtu Mmoja katika hiyo familia ya Issanga Familly Eddy yupo namuona ona Ubungo Terminal
Crazy murder ni mwalimu wa secondary ukereweMtu Mmoja katika hiyo familia ya Issanga Familly Eddy yupo namuona ona Ubungo Terminal
Mkuu karibu sana jijini mbeya imebadirikaMimi naikumbuka Mbeya ya 1975/1977. Reli ya Tazara inazinduliwa 1976 tulipanda train iliyotoka Kapiri Mposhi tukashuka Makambako tukarudi Mbeya kwa gari VW combi. Nilikuwa na viwanja vya golf kabla ya kugeuzwa matumizi ili ujengwe uwanja mkubwa wa michezo. Tulishiriki katika Ujenzi wa Uwanja wa Mapinduzi ( Sokoine) tukitokea Majengo primary school tukishirikiana na wanafunzi wa Sisimba, Mbaya, Azimio hiyo ilikuwa 1976 etc. Mwalimu Mkuu Malengo alikuwa Mwl Mwangomile na Mbaya alikuwa Mwakang'ata.
Nakumbuka kulikuwa na kikundi cha Sanaa kilichoitwa Chamnambe kikiongozwa na Mzee Ryoba. Kulikuwa na shule inaitwa Muungano ilikuwa msituni njia ya Mwanjelwa sijui kama bado ipo. Pia nakumbuka Pareto ya uyole. Those old good days.
Pia nakumbuka 1976 ilitokea ajali kubwa ya basi likiitwa Mwambipile Bus Service ilipinduka huko Mwakaleli ikaua watu wengi sana.
Sijafika Mbeya Tangu Dec. 1977, nasikia imebadilika mno.
Mzee alikuwa kituko sana,ukienda kuomba usajiliwe katika timu yake ukisema unacheza namba tisa biashara imekukata.ha ha haaa Kifwamba Rangers .....ilikuwa timu ya tajiri mmoja mnene enzi hizo.....mara moja moja alikuwa akipewa namba tisa aingie kupiga soka .....ilikuwa vituko....nasikia alikufa huyo mwenye kifwamba
Ilikua nikitoka shule lazima nipite DCT au Mnasi kucheki darhotwire.com ndio ulikua mtandao wa vijanaThen Mmasi baadae
Mh...peter kihakaBujibuji umenikumbusha mbali sana Mkuu umesahau FAT ya isanga ilikua inatengeneza Tiketi feki za uwanjani na Disco nakumbuka kuna siku walitengeneza tiketi za Disco livingstone ikaonekana watu wengi kuliko mauzo ya tiketi zao ikabidi tutolewe wote disco jamaa yule baunsa akawa akimtambua wa isanga,docks au Nonde hata kama ulilipa tiketi harali haurudi ndani..Kambosonic nilimuona mara ya mwisho Cape Town 2003,Rossebank katulia sana huyo Simply nasikia alikua Jozi sijapata kumuona karibuni..isanga kulikua na Brigedia Mwakayugu na ATU JANDE kwa sasa marehemu..maisha ya kibabe utadhani soweto ya south sasa hivi..
Mkuu juzi tu nimeiona ameweka engine ya Toyota hilux "3l" gari bado imesimamaUswahilini kuna mzee Mwamtobe diplomat ana land rover 109 short chassis mbaka juzi kati nimeiona
Ipo mkuu imepaki hapo hapo kama kwenye picha inavyoonekanaHiyo gari ya Memba hadi leo ipo?
Katikati ni Adili
Alikuwepo Dick Nyandindi huyu alikuwa na pukipiki kubwa sana. Ina kelele na alikuwa akiikimbiza sana na ndiyo iliyo muua

Pembeni ni beni mmbando watoto wa uzunguni na hapo ni mount living stone peacock enzi disco la marehemu maangaKatikati ni Adili
Pembeni ni beni mmbando watoto wa uzunguni na hapo ni mount living stone peacock enzi disco la marehemu maanga
alikuwa ana mke mswahili,alikuwa naishi uhindini nyuma ya NMB karibia na soko kuu,jamaa alikuwa mhindi koko!Usimsahau mmiliki wa tukuyu starz team aliyeitwa ....kaka
mbeya technical college,chuo kilikuwa kule iyunga kiwanda cha koka kwa juu,jamaa walikuwa wakali sana wa basketball..walikuwa wana uwanja wa mbao wa ndani-indoor marble courtSamahan mkuu mTC ndo nn