Mbeya long time kitambo

Mbeya long time kitambo

Namfahamu huyo mama na alikuwa na matusi na jeuri, wakati fulani aliwahi kununua roli aina ya Jiafong au Faw hivi basi alikuwa analisimamisha mbele ya wanaume na kuanza kuwatambia kwa kejeli na dharau

Sent from my HUAWEI Y300-0100 using JamiiForums mobile app
Mama monica costa zake tumepanda sana enzi tupo igawilo. Konda yeye mwenyewe sasa wewe habari nauli imepungua atakupa mitusi na makofi ikibidi

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
 
Tummoghele tummoghelr bujibuji

Sent from my GT-N7000 using JamiiForums mobile app
 
Aliuza nyumba baada ya kuingizwa kwenye biashara ya hela za zamani (rupia),kwa sasa amepanga jirani na mzazi wangu na ni marafiki sana.Nina picha yake lakini si busara kuiweka hapa
Inaumiza kwa kweli
 
Michael Simwaba alikuwa ana kiingereza kizuri kuliko mwalimu yeyote yule Mbeya. Fimbo zake zilikuwa kali sana hasa akikuchapa na mfyulisi. Simwaba kwao ni Majengo.
Mnzava alikuwa na binti yake akiitwa Penieli na walikuwa wakikaa kwenye vikota vya Meta shuleni.
Mnzava alikuwa mwalimu mzuri sana wa chemistry.
Unoko wake ulimfanya awe maarufu Mby nzima
Simwaba mdogo kanifundisha Geography, wakina Simwaba wapo walimu wawili kwenye familia yao kuna kipindi wote walikua Meta

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
Daaa kipindi kile mgomo wa bajaji ilikua ni msako kinoma nakumbuka baadhi ya dereva wa bajaji walio kua wanabeba abilia bajaji zao zilipinduliwa af unachezea kichapo na mitus juu

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom