Mbeya long time kitambo

Namfahamu huyo mama na alikuwa na matusi na jeuri, wakati fulani aliwahi kununua roli aina ya Jiafong au Faw hivi basi alikuwa analisimamisha mbele ya wanaume na kuanza kuwatambia kwa kejeli na dharau

Sent from my HUAWEI Y300-0100 using JamiiForums mobile app
nakumbuka miaka ya 1994 nimesoma na mtoto wake wa kike Angel r.I.p,sinde primary na akina Jimmy mafufu kipindi hicho akiitwa Monday Mwaisabila

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
nakumbuka miaka ya 1994 nimesoma na mtoto wake wa kike Angel r.I.p,sinde primary na akina Jimmy mafufu kipindi hicho akiitwa Monday Mwaisabila

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Duh enzi za wakina mande hizo

Sent from my SM-G900F using JamiiForums mobile app
 
Hivi yule Yesu na Shetani pale Mwanjewa wapo kweli wale ndio wakuwa wababe wa mby

Sent from my SM-G900F using JamiiForums mobile app
 
Mbwiga guest house and bar isanga,prison kichaa anarusha mawe hatari,bora shoes,yule mhindi mnene sana pale sisimba.mwanjelwa,njelii.remmy,noriega wa meta sec soka,mwarabu sangu sec.dah mby 1985-1992

Sent from my TECNO-N6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom