LUBEDE
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 4,322
- 6,694
na mpambe wa mponjoli alikuwa sugu 2 proudMalakasuka alijaaliwa watoto ZAIDI ya buku. Ila Master of the game was Mponjoli
na mpambe wa mponjoli alikuwa sugu 2 proudMalakasuka alijaaliwa watoto ZAIDI ya buku. Ila Master of the game was Mponjoli
Sugu hakuwa mpambe wale ni marafiki since Mponjoli hana kituna mpambe wa mponjoli alikuwa sugu 2 proud
Mtc hawakuwa wakorofi, iyunga technical ndio walikuwa manundaMi si wa mbeya ila nilisoma mbeya, Bujii umewasahau na MTC ? Wale wanachuo wakorofi?
umemsahau dogo alikuwa anaitwa CHILE,dogo ndio alileta fashion ya AFRO kwa sisi wa uzunguni huku na kina adili,dogo alikuwa ana afro za kufa mtu,watu walikuwa wanamshangaa kinyama pale centre kwenye kikapu...Kama unamfahmu biz bab ....hushindwi kumfahau rass jeff kapita....sisi ndio tulikuwa tuna run Mby wakati huo.....chapa sana vibao akina adili ....na kina leni makaya...long long time....
bujibuji nimefuatilia kwa makini maelezo yako,nahisi lazima umeishi maeneo ya sokomatola,dogo mbuna unamfahamu,alikuwa mkorofi sana pale kiwanja ngoma..Sugu hakuwa mpambe wale ni marafiki since Mponjoli hana kitu
huyu mshua alikuwa ana benzi kama 10 hivi kazipaki uwanjani kwake kule block T,nyuma ya ile shule ya watoto watukutu mtaa wa kina kiggykulikua na Tapeli wa southafrica anaitwa Ali na Ali alikua na magari makali sana
Nakafahamu hako katotobujibuji nimefuatilia kwa makini maelezo yako,nahisi lazima umeishi maeneo ya sokomatola,dogo mbuna unamfahamu,alikuwa mkorofi sana pale kiwanja ngoma..
Alivuta kitamboHivi jombi bado yupo hai
hapo ndio ilikuwa internet cafe ya kwanza mbeya,tulikuwa tunaona ufahari kwenda kuuza suraIlikua nikitoka shule lazima nipite DCT au Mnasi kucheki darhotwire.com ndio ulikua mtandao wa vijana
Duh, muhenga!Yes Mkuu, nawakumbuka sana hasa mwl Ndowa coz ndo alinifundisha std 1 enzi hizo ndo naanza kusoma A, E, I, O hadi U mwaka 1987!!!Nawakumbuka pia walimu wengine km Kilumbi, Mbega, Kaaya, Bwire, Kasiba, Yarabi, Mwasyoke, Mgase, Manase duh kwa uchache!
Wapi kama mby karibu mby broHongera kwa kuusifia mkoa wako
Huyo ntepa kanisa lake liko wapi?Bisso Ntepa ni mlokole tena, ana kanisa lake hapo Dar. Nilikuwa naye hapa mbeya last week.
TabataHuyo ntepa kanisa lake liko wapi?
Ww inaonesha darasan ulikuwa wa chabo sana, hebu soma heading vizur .Hayo mambo yalishapita nchi isha badirika mkoa ushapiga hatua sana wa wap wwnimefatilia kwa ukaribu uzi huu. naona maneno yaliyotawala zaidi ni haya: bob (marley), ganja, ubabe, jombi, kukaba, kubaka, vitisho, utemi, uchawi, doksi, pusha, magendo, kanitandika, kipigo, rushwa, machata etc. duuh. bado tuna kazi kubwa ya kukomboa taifa hili.
Ndio hii bhqnji logistic ya sasa?Kanji Lalji, Dhandho na Bhanji ndio ma transporters wazito wa kipindi hicho!
