Mbeya long time kitambo

Mbeya long time kitambo

Kwa upande wa Soka kulukuwa na Hassan Zitto pale Tukuyu Stars,kulikuwa na timu kama Vasta,Town Stars,Rockers United,Roma Boys,Kifwamba,Ngasulwa na pia kulikuwa na refarii anaitwa Mapunda ,alikuwa anasifika sana kwa vipigo.
. Mapunda alikuwa anakaa Ghana
 
.. Kwamba kwamba Ndugai amegeuka 'unit' ya bakora!
International unit ya kuchapa fimbo kwa sababu yeye anachapa watu wazima mpaka wanazimia tena ccm wenzake na hawamfungulii mashtaka wala hawalalamiki, na bado akapewa uspika na ccm
 
Aisee nimekukumbuka ulikuwa rafiki yake kinjekitile ngombalemwilu, ruta na kazi, mimi nilikuwa rafiki wa hamidu na fred
Daaaa! Long time kweli! Kinjeketile (Kinje) alikuwa mtundu sana,tofauti na kaka yake Rutatanekwa (Ruta).
Mwl Mwangomile (Chief) alifariki,kama sikosei mwaka 2012 Feb.Twaweza kuparurana humu,kumbe ni ndugu!
 
nimefatilia kwa ukaribu uzi huu. naona maneno yaliyotawala zaidi ni haya: bob (marley), ganja, ubabe, jombi, kukaba, kubaka, vitisho, utemi, uchawi, doksi, pusha, magendo, kanitandika, kipigo, rushwa, machata etc. duuh. bado tuna kazi kubwa ya kukomboa taifa hili.
 
Kulikuwa na mlokole mmoja ana mgahawa alikuwa anaitwa Mtemi, akamuaga mkewe kuwa anaenda kuhubiri vijijini. Akakutwa Lupa Way guest house kafa na kondom yake. Ilikuwa inasemekana alikuwa amelala na Vera wa George wa Soko-Matola mtaa wa Tanu
 
Daaaa! Long time kweli! Kinjeketile (Kinje) alikuwa mtundu sana,tofauti na kaka yake Rutatanekwa (Ruta).
Mwl Mwangomile (Chief) alifariki,kama sikosei mwaka 2012 Feb.Twaweza kuparurana humu,kumbe ni ndugu!
Aisee kumbe mwango alikufa, nasikia amidu yupo Msumbiji wanasema ni tajiri wa kutisha
 
DCT Karibu na NMB Mbalizi Road ndio sehemu za mwanzo kutoa huduma za computer na Internet! Tumelipia sana kucheza games in the late 1990s!
 
Daaaa! Long time kweli! Kinjeketile (Kinje) alikuwa mtundu sana,tofauti na kaka yake Rutatanekwa (Ruta).
Mwl Mwangomile (Chief) alifariki,kama sikosei mwaka 2012 Feb.Twaweza kuparurana humu,kumbe ni ndugu!
Mkuu kumbe tumesoma shule moja na darasa moja halafu ulikuwa rafiki yangu wa karibu sana, unamkumbuka Joseph ndimbo?, tulikuwa darasa moja na hamidu na amidu
 
Nakumbuka enzi hizo Uncle Ngwisa Mapugilo,alikuwa mbabe hasa Mbeya manispaa walikataza kuchunga n'gombe pale makuburi ya Loleza,yeye akapeleka n'gombe,kuchunga akatumiwa polisi hii issue Nilishuhudia live aliwapiga na akaenda kuchukua shoka kufuata mifugo yake siku kadhaa mbele wakamkamata baada ya kupiga bomu la machozi sokomatola hiyo
Huyu ngwisa kwao ilikua sokomatola karibu na kiwanja mpaka.
 
Back
Top Bottom