KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,569
- 21,077
Mzee MwaipajaKuna jamaa white hivi rafikiye Mkakile alikuwa anaishi Jacaranda baba yake alikuwa anavaa kaptura tu akiitwa "makaptura"
Mzee MwaipajaKuna jamaa white hivi rafikiye Mkakile alikuwa anaishi Jacaranda baba yake alikuwa anavaa kaptura tu akiitwa "makaptura"
Yuko wapi?daah kitambo sanaaa!! dr. Kasimbazi saiz kachakaa,kawa kama mwehu,pombe zimeshamuharibu
Humu wengi mtafahamianaKumbe wewe ni wa Mbeya.....ndio maana Kuna ugoloka fulani
Mbeya kwa uchawi na makanisa hakujamboPia kulikuwa na huyu jamaa Banyambala Kaka, alikuwa na coaster za kyela, mwanzoni miaka ya 2000 alikuwa anaendesha mke wake coaster moja hv. Pia kulikuwa na magari ya Buffalo alikuwa anamiliki mama Jane, huyu mama alisifika sana kwa uchawi na hata kifo chake kilikuwa cha kutatanisha.
Hii si kumbukumbu.Makanisa yapo mpaka Somalia.Uchawi upo mpaka UlayaMbeya kwa uchawi na makanisa hakujambo
Kuna mtu aliniambia dr. Kasimbazi alikufa, dr. Hamisi yule surgeon pia aliniambia amekufadaah kitambo sanaaa!! dr. Kasimbazi saiz kachakaa,kawa kama mwehu,pombe zimeshamuharibu
JAMAA ALIKUWA FAIR SANA🙂🙂Kulikuwa na pusher wa bangi huko Nonde. Ukitaka kuvuta bangi kwake utavuta bure hata gunia. Take away ndio unalipia. Jamaa alikuwa anaitwa Mswanga na alikuwa na stock ya kutosha kuvutisha vijana wote wa Mbeya kwa miaka minne bila kutetereka
Upendo wa AgapeJAMAA ALIKUWA FAIR SANA🙂🙂
Eluka yuko mwanzaKulikuwa na nyumba Nonde jirani na kwa kina Ramsey Thomas (Eluka). Nyumba iliandikwa KA GHETTO KA MASTER. Ukipita hapo jioni unakuta jamaa ananyongewa bangi na mkewe. Kisha wanakaa na kuanza kuvuta wote
Bujibuji mbona una habari za mbeya za kufa mtu?saluti mkuuKulikuwa na mlokole mmoja ana mgahawa alikuwa anaitwa Mtemi, akamuaga mkewe kuwa anaenda kuhubiri vijijini. Akakutwa Lupa Way guest house kafa na kondom yake. Ilikuwa inasemekana alikuwa amelala na Vera wa George wa Soko-Matola mtaa wa Tanu
Yaa...ilomba village kwa nyumaHaha mkuu we ni wa mwakibete ama?
Hahahahaa mponda macho ya pakaMwalimu kanjoka na msangalufu, na mwalimu mponda siwezi kuwasahau hao waalimu enzi hizo.. Sijui wapo sahizi nakumbuka enzi hizo shule ya msingi sinde ukichelewa asubuhi usiombee umkute mwal. Kanjoka kafika utachezea Bakora duuh!! Mbeya yangu Taam kweli
Hiyo gari ya Memba hadi leo ipo?View attachment 537329
Bila shaka wengi wenu humu mnalikumbuka hili gari
Mkuu baunsa bade alifariki?+watoto wa isanga enzi hizo wakorofi mpira ukiisha sokoine watayemkuta mbele yao yeyote alikua halali yao DJ BBG shimoni RIP mwaibade baunsa