Mbaya wenu karudi

Mbaya wenu karudi

Mlongo I miss you😍

Huyu aliunganishiwa 🆔 alikuwa nazo sijui nne🤣🤣🤣

Moja anajitukana nyingine anajishtaki🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️
I miss you too 😘😘

Kheeeh sasa ikawaje hadi apewe Ban, yaan sakata lilikuaje?
Mbona mabwakuu. 😂😂😂
 
poa boss ila nna ombi moja tu. Ebu tag mods wakueleze on how to change your name coz hilo jina linakaa la kike kike na kimtazamo wewe ni gent. Pambana u change da name da babilon rastas
Nilisha pata mwongozooo

Your username was last changed on Jul 18, 2026 at 7:45 PM. You may next change your username on or after Aug 17, 2026.

Ni mpaka hiyo time frame iishe.
 
Incident ipi ilimpelekea huyu akala ban kwa ID aliyotaja?

Anayejua anipe ABC tafadhali nilikuwa jela nimetoka leo 😁
Ni kwamba haka kajamaa kana masifa sana , si unajua tena sisi wamatumbi hatupendi mtu alete ngebe juu yetu, sasa kalivyo unganishiwa I'd zake kwa matusi ya rejareja wanahizaya tuliruka kama swala kwa vifijo na nderemo
 
Incident ipi ilimpelekea huyu akala ban kwa ID aliyotaja?

Anayejua anipe ABC tafadhali nilikuwa jela nimetoka leo 😁
Watu na kupenda kufokonyoa mafaili hamjambo tu. Hakuna ABC hapo hahahaha
 
Ni kwamba haka kajamaa kana masifa sana , si unajua tena sisi wamatumbi hatupendi mtu alete ngebe juu yetu, sasa kalivyo unganishiwa I'd zake kwa matusi ya rejareja wanahizaya tuliruka kama swala kwa vifijo na nderemo
Hahahahaha

Mkuu wamatumbi nipo na nyie bega kwa bega nimerudi kwa hewa tena
 
Ni kwamba haka kajamaa kana masifa sana , si unajua tena sisi wamatumbi hatupendi mtu alete ngebe juu yetu, sasa kalivyo unganishiwa I'd zake kwa matusi ya rejareja wanahizaya tuliruka kama swala kwa vifijo na nderemo

Kumbe ni kajamaa,halafu kana sifa?

Enwei, kamepata alichostahili ubaya ubwela kmmmk
 
Kajamaa fulani tu , kanajifanya mboga saba , kalifikiri sisi wamatumbi tunachekesha
Daah hili ni jiwe limerushwa hewani kabisa...

Wamatumbi mnachekesha kweli na sio uongo. Mahitaji kupewa daily dose of wake up call
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom