Mbaya wenu karudi

Mbaya wenu karudi

Nishakwambia historia yako inapatikana kwa wengine...ujitolee historia yako ili ujipakulie minyama??? Hell no

Haya tuambie sasa msimamo wako kwa Seran , unamkubali ama humkubali manake unatuchanganya!
Hizi multiple id's zitatukamata wengi
Unajua nilikua nishaanza kumuelewa kwa id yake ya de gunner.
Kumbe ningekua na wachumba wawili jf bila kujijua de gunner na elevenn
 
Actually ile issue akirudi atawapa mkasa woote. Inshort yeye ndo alisababisha nikala ban. Kuhusu kumkubali Hapana kwa kweli maana kwa tabia zake mimi nikasome.
 
De gunner, Elevenn na IDs zake nyingine 10

Najua kwenye IDs zake zingine 10 hutoboi hapo hamna hamna una wachumba kama watatu wanne humo
 
Nilisha pata mwongozooo

Your username was last changed on Jul 18, 2026 at 7:45 PM. You may next change your username on or after Aug 17, 2026.

Ni mpaka hiyo time frame iishe.
nipe na mimi mwongo coz i want to add dr. >doctor nyuma ya jina langu lisomeke kama Dr. Mopak
 
Ni mwendo wa kujitekenya tu na mboga zake 7 za mchongo
Majani ya maboga , nyanya chungu mchanganyiko wa dagaa , bamia , weka na tuviazi mviringo viwili , hapa naona anakaribia mboga saba, akiwa kajiachia sebuleni kwa shemeji yake bro
 
Actually ile issue akirudi atawapa mkasa woote. Inshort yeye ndo alisababisha nikala ban. Kuhusu kumkubali Hapana kwa kweli maana kwa tabia zake mimi nikasome.

Huu msimamo wa kutomkubali inasemekana ni kwa ID hii ya 11

Haya, kwa ID ya Ze 🔫nner uliyokuwa unataniana nae je? Nayo umebadili msimamo?
 
Majani ya maboga , nyanya chungu mchanganyiko wa dagaa , bamia , weka na tuviazi mviringo viwili , hapa naona anakaribia mboga saba, akiwa kajiachia sebuleni kwa shemeji yake bro
Akishiba mboga 7 za mchongo analog in kwa IDs 12 humu kutusumbua
 
Hizi multiple id's zitatukamata wengi
Unajua nilikua nishaanza kumuelewa kwa id yake ya de gunner.
Kumbe ningekua na wachumba wawili jf bila kujijua de gunner na elevenn
De Gunner ndo mimi haswa 11 alikuja na intentions za kufanya revange ambayo haikuzaa matunda na karudi I aliko toka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom