Mbaya wenu karudi

Mbaya wenu karudi

Kapuuzi kweli haka kajamaa
Sasa umboga 7 anatuletea ulimwengu wetu wa feki aidiiis? Huyo de gana na 11 wote wapigwe life ban
JF staff ni ndugu zangu na wanajua madini nayo yatema humu ni high quality so hawawezi kuniondoa.
 
Unakumbuka kulikua na id inaitwa Chief godlove? Alikua anatukana watu ni maskini humu yeye ndo tajiri basi ndo huyuhuyu mleta mada
Aaaaah we mtani umezidi sasa 😂😂😂
Hakiamungu kama ni chumvi hii ni ile ya mawe kabisa
 
Alikua na id's 12
Hapa wameunganisha 2, zingine 10 nilimbamba PM kwa mods analia wasiunganishe sababu aibu itakua kubwaaaa
Hahaha 😂😂😂 ila waja hamna jema kabisa. Kweli teleza kidogo uone
 
Tulia kwanza nipate mawili matatu kukuhusu kutoka kwa wadau

Haiwezekani mimi tu ndo nilikuwa sijui kitu kinachoendelea
Hao ni wabaya wangu ni heri ungenuiliza mimi muhusika. Hao watakudanganya tuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom