Huko juu kasema Chief Godlove ni wewe 😂😂Hata huyo seran yupo na anachangia hapa kumlalamikia mleta mada,
Acha niishie hapa.
Sijawahi kuwa na tabia hizoo.
Coz mimi ndio nilimgundua kua hiyo ni ID yake,Huko juu kasema Chief Godlove ni wewe 😂😂
Unajuaje id's za mtu mmoja?Hata huyo seran yupo na anachangia hapa kumlalamikia mleta mada,
Acha niishie hapa.
Hii ni siri ya kambi,Unajuaje id's za mtu mmoja?
Halafu badala waende kwenye ule uzi wa kilimo na ufugaji,wao wanaenda kwenye uzi wa mapenzi.😂😂😂 hivi JF mbona wasukuma wamejaa
Genius kwenye nini?Mimi ni De Gunner. The one and only genius wa jf. Hakuna mwingine
Coz mimi ndio nilimgundua kua hiyo ni ID yake,
Siwezi kua na multiple ID's hata siku moja.
ID yangu ni hii hii ambayo humpokea mtu kama anavyokuja,mimi hua sina unafiki.
Labda kwenye kuchambua mchicha.Genius kwenye nini?
ImagineHalafu badala waende kwenye ule uzi wa kilimo na ufugaji,wao wanaenda kwenye uzi wa mapenzi.
Chief ni 100%Kwa nilivyomsoma, kuna possibility kubwa moja ya IDs zake 12 na ya Chief imo