Mbappe sasa ndiye mfungaji bora wa muda wote Ufaransa

Mbappe sasa ndiye mfungaji bora wa muda wote Ufaransa

In reality hii world cup edition ilimpasa kupumzika miaka 41 kwenye football ni mingi mno, creativity inaweza kuwepo ila body strength and adaptation ikawa poor kabisa, akili inataka mwili unakataa
Pendu ni mbishi sana.
 
Dah huyu jamaa anaandika historia mapema sana.

Baada ya mechi ya jana dhidi ya Senegal, Kylian Mbappe amekuwa rasmi mfungaji bora wa muda wote wa timu ya taifa ya France baada ya kufikisha mabao 58 na kumpita Olivier Giroud aliyekuwa na mabao 57.

Mbappe alipiga mabao mawili kwenye ushindi wa 3-1 dhidi ya Senegal na kuweka jina lake juu kabisa kwenye historia ya France akiwa na miaka 27 tu 🔥

Cha kuogopesha zaidi:
-Ana miaka 27 tu
-Tayari ana World Cup
-Tayari ana mabao 14 World Cup

Na bado ana miaka mingi ya kucheza mbele yake.


Kwa speed hii kuna records nyingi sana zinaweza kuanguka mikononi mwa huyu jamaa. Watu walikuwa wanadhani record ya Giroud itadumu sana, lakini Mbappe kaifanya ionekane kawaida kabisa 🔥

Huyu sio normal player tena, huyu ni G.O.A.T kabisa pale Ufaransa na duniani kwa ujumla 🔥
Eti ni goat😄 mapenzi bwana. Akipata ballon de ore au uefa sijui itakuaje! Sio goat tena ni nani?
 
Back
Top Bottom