Mbappe sasa ndiye mfungaji bora wa muda wote Ufaransa

Mbappe sasa ndiye mfungaji bora wa muda wote Ufaransa

Shida sio kwamba ni mweusi ni vile alianza kuwika kipindi cha era ya Messi na Ronaldo kuanzia Sasa ndio kipindi chake maana era ya Messi na Ronaldo ndio inaisha
Hata akijiestablish ila hawezi kusifiwa na kukuzwa na media kama Messi, Messi anaongelewa sana lakini ni mchezaji wa kawaida sana kuna talent nyingi nzuri kushinda Messi lakini hazijazungumziwa kwa ukubwa huo, unajua kila mtu ana maoni yake kuhusu ubora wa mtu fulani lakini Messi ni mchezaji wa kawaida sana
 
Messi sio overrated hizo sifa anazopewa anastahili.Mchezaji kuwa Bora hatukupimi kwa kufunga pekee ni pamoja na sanaa yako ya uchezaji ndio unakuweka utofauti wako na wengine ndicho ambacho Messi anacho ana offer vitu vingi uwanjani anaweza akawa playmaker, winger same time akawa forward kwenye hiyo hiyo mechi moja akafunga magoal na akatengeneza nafasi nyingi za goals na pass anazopiga Mbappe hawezi kufanya, namna anavyo kusanya kijiji Mbappe hawezi kufanya na kwake ni Kawaida kufanya hivyo karibia kila mechi.Pamoja na nafasi nyingi anazocheza uwanjani na still anakuwa na number kubwa za goal na Assist yaani ni most goal scorer and assists sio kitu rahisi kwa mchezaji kufanya ndio maana Kutokana na upekee huo akapewa cheo cha ufalme
Kwenye sanaa ya mpira mimi naweza nikasema Vini Jr na Neymar wako more talented kuliko jamaa kwenye sanaa ya mpira na kingine kwa kuwa kwa career yake kubwa alicheza Barcelona tu, akaja timkia PSG ambako hakufanya vizuri kabla ya kutimkia Marekani ningependa angalau kama angeweza kucheza kwenye ligi kubwa tatu ulaya, hakuzurura sana career yake yote aliishia Barcelona ambako ligi na staili ya uchezaji inaruhusu kufunga magoli mengi tofauti kama labda angeenda kucheza uingereza au uitalia
 
Ronaldo anakejeliwa kwa vitu ambavyo wachezaji wengine kama Messi wakivifanya wanasifiwa.

Chukulia tu mfano wa jina la "Penaldo" kama umelisikia hili jina bila kujua uhalisia wake, unaweza kudhani Career ya Ronaldo kwenye magoli imejengwa kwa penati.

Lakini tukirudi nyuma kabisa wakati wa Prime ya Ronaldo tutaona kuwa hakuanza kama mpigaji mzuri wa penalti.

Mwanzoni wa prime yake, penalti ilikuwa ni moja ya udhaifu wake.

2008 kwenye Fainali ya UEFA dhidi ya Chelsea katika penati shoot out alikosa penalti.


Tangia hapo jamaa alikuwa anatukanwa na kudhihakiwa kuwa hajui kupiga penalti na kwa muda huo hakuna aliyemuita Penaldo.

Alichokifanya jamaa ni kuchukua madhaifu yake kama sehemu ya changamoto na kuanza kuyafanyia kazi.

Baada ya ku-improve kwenye yale madhaifu yake, hakupewa heshima wala kusifiwa badala yake wakamuita "Penaldo"

Mwaka July 2024 kwenye mechi kati ya Portugal na Slovenia. Ronaldo alikosa Penalti.

Guess what?

Channel ya BBC Sport iliweka caption kwenye tv yenye maneno yanayosomeka "Misstiano Penaldo"


Chuki imekuwa kubwa zaidi hadi pale unapotambua kuwa Messi ndiye mchezaji anayeshikilia rekodi kwa kuwa na magoli mengi ya penalti kwenye World Cup history, Champions League history, na La Liga history.
FB_IMG_1782047399583.jpg

Lakini bado neno Penaldo linaendelea kutumika kwa kum refer Ronaldo.

Ronaldo amekuwa akidhihakiwa kwa kukosa penalti, after being improved kwenye upigaji wa penalti, na hata kuwa namba moja kwenye idadi ya mabao mengi.

Hii ndio sababu tunasema hakujawahi kuwa na standard sawa.

The G.O.AT without fraud
FB_IMG_1782227719158.jpg
 
Wewe umeharibu kwa kusema Fifa inambeba Messi kwenye maamuzi wakati ni suala la referees
Sasa refarii wanapangwa na nani?

Mfano nikikupa scenario ya assistant refa (Pau Norbert) aliyewahi kufungiwa wiki mbili
1782231474230.png

Kutokana na tuhuma za kuipendelea Barcelona kwenye mechi za El Classico utasemaje?
1782231346860.png


Unaelewa kwamba uchunguzi ulio mtia hatiani Pau Norbert ulibaini kwamba refa huyo alifanya mazungumzo na wachezaji wa Barcelona kabla ya game?
1782231592843.png

Nikikuambia refa huyo huyo mwenye hizo skendo alipewa mechi ya nusu Fainali kati ya Argentina na Netherlands?
1782232326177.png


Unayakumbuka yale matukio tata yaliyotokea kwenye ile mechi?

Lemme remind you

Messi aliwaonyeshea benchi la ufundi ishara ya kejeli. Hakuna adhabu alipewa
1782232456127.png


Alishika mpira kwa mkono. Hakuna adhabu alipewa
1782232513840.png


Unajua kwasababu gani?

Kwasababu marefa wanamuogopa

Ngoja nikukumbushe mwaka 2019 Argentina nacheza na Chile. Messi anapewa kadi nyekundu kwa kumsukuma


Unaweza kuona hilo tukio la kadi nyekundu lilivyokuwa sio zito kufanana na matukio mengine ambayo ni makubwa na hakukuwa na kadi wala onyo kama hapo juu nilivyokuoneshea.

Refa aliyechezesha mechi ya Nerherlands alijaribu kumuonya kwa kadi ya njano Messi. Kilichofuata Messi alilalamika kuhusu huyo refa.

Kesho yake tu kulivyokucha
1782234095583.png



Hii ndio inawapa homa baadhi ya marefa, kama unavyosema kuwa marefa ndio wanaofanya makosa basi kumbuka wakifanya mambo kwa usahihi lakini katika namna ambayo itaenda kumuathiri Messi basi FIFA wata deal na wao.
 
Goli la GOT natakiwa nipost mimi

Akipost mwingine nadai copyright

Isingekuwa server za JF kuyumba, ningekuwa napost right on time hizi highlights
 
 
 
Katika maisha yangu napenda sana mtu mwenye juhudi na bidii katika kile anachokifanya, na kwenye football CR7 ni mmojawapo ana juhudi na nidhamu ya hali ya juu mpaka kufikia hapa alipo haikuwa kazi rahisi, anastahili heshima katika uga wa football
Hata Mbappe pia anastahili heshima migo ndio maana tupo hapa tunampa heshima yake.
 
Ronaldo haimbwi sana kama andunje, andunje anaimbwa sana na kingine Ronaldo ana ufalme wake UEFA champions league ila haongelewi sana kama huyu andunje, na pia bahati mbaya kwake hakutokea katika ile traditional football powerhouse kama Messi especially kwenye timu ya taifa
Unataka heshima kwa Ronaldo wakati wewe Messi humpi heshima🤣🤣🤣

Ronaldo ana nini huko UEFA ambacho Messi hana?
 
Tatizo la Portugal ni kukosa umoja wa kumpambania mtu wao kama team ya Argentina kwa Messi. Ronaldo inabidi ajiongeze kufuata mipira na kuongeza kasi ya ushamburiaji.
Hata wafanyaje hawezi kuwa juu pale.🤣
 
Katika maisha yangu napenda sana mtu mwenye juhudi na bidii katika kile anachokifanya, na kwenye football CR7 ni mmojawapo ana juhudi na nidhamu ya hali ya juu mpaka kufikia hapa alipo haikuwa kazi rahisi, anastahili heshima katika uga wa football
Hilo suala la kumuona Ronaldo hana kipaji huwa nashangaa eti ana juhudi kubwa kipaji Hana huwa mnapima Nini? Na Nini maana ya kipaji?
 
Hata akijiestablish ila hawezi kusifiwa na kukuzwa na media kama Messi, Messi anaongelewa sana lakini ni mchezaji wa kawaida sana kuna talent nyingi nzuri kushinda Messi lakini hazijazungumziwa kwa ukubwa huo, unajua kila mtu ana maoni yake kuhusu ubora wa mtu fulani lakini Messi ni mchezaji wa kawaida sana
Mkuu ebu kuwa na heshima Messi ana goals 906 assist 408 kwenye mechi 1151 alizocheza na ana jumla ya Mataji 48 huo ukawaida uko wapi hapo? Nitajie mchezaji unaomjua wewe ana takwimu Bora kuliko yeye ili tudhibitishe huo ukawaida unazungumzia
 
Mkuu ebu kuwa na heshima Messi ana goals 906 assist 408 kwenye mechi 1151 alizocheza na ana jumla ya Mataji 48 huo ukawaida uko wapi hapo? Nitajie mchezaji unaomjua wewe ana takwimu Bora kuliko yeye ili tudhibitishe huo ukawaida unazungumzia
Kwangu mimi CR7 ndio GOAT, mchezaji bora wa muda wote hata kama hana world cup bado, sijali hizo takwimu kwanza amezipata kwa ligi ambayo ipo open na lolote linawezekana, hajacheza ligi za kibabe kama Uingereza au Italia, hizo Record za mabao hata mbappe akikaa Madrid mda mrefu anaweza kuzifikia
 
Kwangu mimi CR7 ndio GOAT, mchezaji bora wa muda wote hata kama hana world cup bado, sijali hizo takwimu kwanza amezipata kwa ligi ambayo ipo open na lolote linawezekana, hajacheza ligi za kibabe kama Uingereza au Italia, hizo Record za mabao hata mbappe akikaa Madrid mda mrefu anaweza kuzifikia
Issue sio kukaa sana issue ni consistency wachezaji wengi wanaishia miaka 30 mpira unawakataa
 
Back
Top Bottom