Mbappe sasa ndiye mfungaji bora wa muda wote Ufaransa

Mbappe sasa ndiye mfungaji bora wa muda wote Ufaransa

Kwenye hili kombe FIFA imeweka sheria mpya kwamba wachezaji hawatakiwi kuziba mdomo wanapoongea.

Hii ni baada ya kilichotokea kwenye game ya Madrid na Benfica ambapo dogo Prestian ilisemekana alimtolea Vini maneno ya kibaguzi.

View attachment 3612108

FIFA wakaweka zuio kuwa sheria hiyo itaanza ramsi kutumika kwenye kombe la dunia, na mchezaji atayekutwa kwenye tukio hilo atapewa straight red card.
View attachment 3612115
Na jana Miguel Almiron alikutwa kwenye hilo tukio na akawa mchezaji wa kwanza kupewa kadi nyekundu kwa kosa hilo.

View attachment 3612107
Lakini mechi ya juzi aliyocheza Argentina, Messi pia aliziba mdomo lakini hakuna adhabu yeyote aliyopewa.
View attachment 3612110
Hii inazidi kuongeza wasiwasi kuwa kuna sheria haiwagusi kabisa baadhi ya wachezaji ambao wanasemwa kuwa ni vipenzi wa FIFA.

Na hii inakuja baada ya matukio kadhaa ikiwemo lile tukio la Messi kumkanyaga mchezaji wa Algeria bila refa kumpa hata kadi ya njano.View attachment 3612111View attachment 3612112View attachment 3612113
Messi Hana record chafu za kucheza wachezaji wenzake rafu kwahiyo hili tukio ni mara chache ujitokeza ndio maana inakuwa ngumu kuhukumiwa tofauti na mchezaji mwenye record chafu so refaree inakuwa kwake rahisi kumkariri mchezaji kama ambavyo red card anazopata Nicolas Jackson ila sio kwamba anabebwa na Fifa kama unavyosema
 
Mbappe ana wigo mpana wa kufika mbali haswa kwenye hii rekodi ya magoli ya WC na timu yake ya taifa...

Si ajabu akaipita rekodi ya Messi kwenye WC hii hii...
 
Mbappe ana wigo mpana wa kufika mbali haswa kwenye hii rekodi ya magoli ya WC na timu yake ya taifa...

Si ajabu akaipita rekodi ya Messi kwenye WC hii hii...
Ni kweli kabisa Mbappe ameanza kuscore akiwa na umri mdogo hii imemsaidia tofauti na Messi ambaye alianza na kutofanya vizuri akiwa na national team level mpaka watu wakawa wanapiga kelele na kuhoji uwezo wake.
 
Nampa sapoti kwa sababu ni Nwafrika mwenzangu. Anawakumbusha ngozi nyeusi sio laana bali ni baraka.

Ndio maana mkongwe na Legend Pele alikuwa anamkubali sana huyo dogo na kudiriki kumpa nafasi mbele ya wazungu CR7 na Messi.

He is the best.
 
Kwenye hili kombe FIFA imeweka sheria mpya kwamba wachezaji hawatakiwi kuziba mdomo wanapoongea.

Hii ni baada ya kilichotokea kwenye game ya Madrid na Benfica ambapo dogo Prestian ilisemekana alimtolea Vini maneno ya kibaguzi.

View attachment 3612108

FIFA wakaweka zuio kuwa sheria hiyo itaanza ramsi kutumika kwenye kombe la dunia, na mchezaji atayekutwa kwenye tukio hilo atapewa straight red card.
View attachment 3612115
Na jana Miguel Almiron alikutwa kwenye hilo tukio na akawa mchezaji wa kwanza kupewa kadi nyekundu kwa kosa hilo.

View attachment 3612107
Lakini mechi ya juzi aliyocheza Argentina, Messi pia aliziba mdomo lakini hakuna adhabu yeyote aliyopewa.
View attachment 3612110
Hii inazidi kuongeza wasiwasi kuwa kuna sheria haiwagusi kabisa baadhi ya wachezaji ambao wanasemwa kuwa ni vipenzi wa FIFA.

Na hii inakuja baada ya matukio kadhaa ikiwemo lile tukio la Messi kumkanyaga mchezaji wa Algeria bila refa kumpa hata kadi ya njano.View attachment 3612111View attachment 3612112View attachment 3612113
Messi ameziba mdomo akiwa anaongea na wachezaji wenzake, hiyo siyo kosa
 
Mkuu Mbappe kote Yuko on fire amemaliza msimu wa la Liga akiwa yeye ndio top scorer akifunga magoal 25 lakini pia amekuwa top scorer wa UEFA champions league akiwa na magoal 15 ndani mechi 11 alizocheza.Hiyo nuksi unayoizungumzia ni ipi
Kinachomkwamisha ni kushindwa kushinda taji la UEFA, ila in reality the man is so talented sema tu kwa kuwa ni mweusi
 
Dah huyu jamaa anaandika historia mapema sana.

Baada ya mechi ya jana dhidi ya Senegal, Kylian Mbappe amekuwa rasmi mfungaji bora wa muda wote wa timu ya taifa ya France baada ya kufikisha mabao 58 na kumpita Olivier Giroud aliyekuwa na mabao 57.

Mbappe alipiga mabao mawili kwenye ushindi wa 3-1 dhidi ya Senegal na kuweka jina lake juu kabisa kwenye historia ya France akiwa na miaka 27 tu 🔥

Cha kuogopesha zaidi:
-Ana miaka 27 tu
-Tayari ana World Cup
-Tayari ana mabao 16 World Cup

Na bado ana miaka mingi ya kucheza mbele yake.

Kwa speed hii kuna records nyingi sana zinaweza kuanguka mikononi mwa huyu jamaa. Watu walikuwa wanadhani record ya Giroud itadumu sana, lakini Mbappe kaifanya ionekane kawaida kabisa 🔥

Huyu sio normal player tena, huyu ni G.O.A.T kabisa pale Ufaransa na duniani kwa ujumla 🔥
Wanasema akioa tu , nguvu kwisha!
 
Back
Top Bottom