MBAPPÉ Apokea GOLDEN BOOT yake ya 16🏆

MBAPPÉ Apokea GOLDEN BOOT yake ya 16🏆

Mr Journalist

Member
Joined
Aug 16, 2025
Posts
35
Reaction score
73
Kylian Mbappé amekabidhiwa tuzo ya mfungaji bora wa UEFA Champions League 2025/26 baada ya kufunga mabao 15.


Kwa Mbappé, hii ni Golden Boot ya 16 katika career yake.

🥇WORLD CUP
🥇 Champions League
🥇 La Liga
🥇 Ligue 1
🥇 Coupe de France
🥇 Nations League Finals

16 Golden Boots. Na bado hajamaliza.

1001326827.jpeg


Unadhani Golden Boot ya 17 itakuwa ya nani?
 
Labda mie ndio sielewi, Champions league ni kombe Gani hilo? Make umeandika Uzi huu kwa maana kuja kuulizwa kuhusu hilo Kombe
 
Na Jana kafungua ukurasa tayari japo kakosa magoli mengi sana alipaswa kupata hat trick ila kipa wa inter namuona akija barnebeu
 
Back
Top Bottom