Mbappe sasa ndiye mfungaji bora wa muda wote Ufaransa

Mbappe sasa ndiye mfungaji bora wa muda wote Ufaransa

Messi Hana record chafu za kucheza wachezaji wenzake rafu kwahiyo hili tukio ni mara chache ujitokeza ndio maana inakuwa ngumu kuhukumiwa tofauti na mchezaji mwenye record chafu so refaree inakuwa kwake rahisi kumkariri mchezaji kama ambavyo red card anazopata Nicolas Jackson ila sio kwamba anabebwa na Fifa kama unavyosema
Sheria haijawekwa kuhukumu wenye rekodi za kufanya makosa.

Sheria imewekwa kwa ajili ya kuhukumu kosa.
 
Mechi 28 za UCL goli 18 mbappe almost Mechi 16 goli 16 nani GOAT wa WC hapo? Na wote washabeba ubingwa hapo mbona mbappe haongelewi kihivyo kama huyo messi
Messi sio overrated hizo sifa anazopewa anastahili.Mchezaji kuwa Bora hatukupimi kwa kufunga pekee ni pamoja na sanaa yako ya uchezaji ndio unakuweka utofauti wako na wengine ndicho ambacho Messi anacho ana offer vitu vingi uwanjani anaweza akawa playmaker, winger same time akawa forward kwenye hiyo hiyo mechi moja akafunga magoal na akatengeneza nafasi nyingi za goals na pass anazopiga Mbappe hawezi kufanya, namna anavyo kusanya kijiji Mbappe hawezi kufanya na kwake ni Kawaida kufanya hivyo karibia kila mechi.Pamoja na nafasi nyingi anazocheza uwanjani na still anakuwa na number kubwa za goal na Assist yaani ni most goal scorer and assists sio kitu rahisi kwa mchezaji kufanya ndio maana Kutokana na upekee huo akapewa cheo cha ufalme
 
Kinachomkwamisha ni kushindwa kushinda taji la UEFA, ila in reality the man is so talented sema tu kwa kuwa ni mweusi
Shida sio kwamba ni mweusi ni vile alianza kuwika kipindi cha era ya Messi na Ronaldo kuanzia Sasa ndio kipindi chake maana era ya Messi na Ronaldo ndio inaisha
 
Sheria haijawekwa kuhukumu wenye rekodi za kufanya makosa.

Sheria imewekwa kwa ajili ya kuhukumu kosa.
Ukiwa ni msafi unakuwa na advantage mkuu hiyo ni kanuni ya kidunia ndio maana hata kwenye family ukiwa na mtoto mchangamungu, mpole na mwingine ni mkorofi, mwizi na siku hiyo ukiona Kuna kitu chako kimeibiwa utaanza kumuhukumu yule mtoto wako mkorofi ingawa inaweza aliyekuibia siku hiyo ni yule mtoto mwema kwa maana hiyo utakuwa umetumia aina ya tabia zao kutoa maamuzi.
 
Unakuwa msafi kwasababu ni msafi au unakuwa msafi kwasababu uchafu wako umepewa jina la usafi?
 
Mwamba naona unataka tubishane wakati hoja yangu ipo clear
Haupo clear kwasababu unajaribu kuficha makosa ya Messi.

Hivi hao wachezaji wengine nao wangekuwa wanalindwa hivyo. Leo hii tungewezaje kuwatambua kama wachezaji wenye rafu?

Unaelewa tukio kama hili Ronaldo alipewa kadi nyekundu lakini kwa Messi haikuwa hivyo?
giphy (20).gif

Unaelewa kwa tukio hili Bernado Silva alipewa kadi ya njano

1782220278643.jpeg

Lakini hii ya Messi ambayo ilistahili kuwa kadi nyekundu haikuwa hata yellow card

1782220350810.jpeg

Unaelewa mechi ya jana kati ya Ubelgiji na Iran, Nathan Ngoy alipewa kadi nyekundu kwa kosa la kumchezea faulo mchezaji wa mwisho aliyekuwa anaenda kufunga gali?

1782220588988.jpeg

Unaelewa scenario kama hii iliyokea World Cup 2022 lakini iliamuliwa tofauti?

Unajua kwanini?

Kwasababu ingetoleaa kadi nyekundu Argentina ingekuwa down kwa mchezaji mmoja dhidi ya France ambayo ilikuwa inaenda kupata mkwaju wa penalti. Hivyo isingekuwa rahisi kwa Argentina kuweza kuchukua ubingwa.

1782220758159.jpeg
 
Hii ni fact

Ila unajua kitachotokea ni nini?

Haitakuwa story. Story huwa story ikiwa kuna jina la Messi
Lazima itakuwa story haujui kwamba Mbappe na yeye ni GOAT wa France kama Ronaldo alivyokuwa GOAT wa Portugal.
 
Lazima itakuwa story haujui kwamba Mbappe na yeye ni GOAT wa France kama Ronaldo alivyokuwa GOAT wa Portugal.
Jana wachezaji watatu wamefunga brace.

Lakini stori kubwa mtandaoni ni Messi na Ronaldo.

Ronaldo hata hausiki, imagine hata on target moja hana lakini bado yupo kwenye headlines.

Haaland nani anamuongelea?

Mbappe je (ukinitoa mimi nani mwingine anaongelea magoli ya Mbappe?)

See?
 
Haupo clear kwasababu unajaribu kuficha makosa ya Messi.

Hivi hao wachezaji wengine nao wangekuwa wanalindwa hivyo. Leo hii tungewezaje kuwatambua kama wachezaji wenye rafu?

Unaelewa tukio kama hili Ronaldo alipewa kadi nyekundu lakini kwa Messi haikuwa hivyo?
View attachment 3613985

Unaelewa kwa tukio hili Bernado Silva alipewa kadi ya njano

View attachment 3613988

Lakini hii ya Messi ambayo ilistahili kuwa kadi nyekundu haikuwa hata yellow card

View attachment 3613990

Unaelewa mechi ya jana kati ya Ubelgiji na Iran, Nathan Ngoy alipewa kadi nyekundu kwa kosa la kumchezea faulo mchezaji wa mwisho aliyekuwa anaenda kufunga gali?

View attachment 3613998

Unaelewa scenario kama hii iliyokea World Cup 2022 lakini iliamuliwa tofauti?

Unajua kwanini?

Kwasababu ingetoleaa kadi nyekundu Argentina ingekuwa down kwa mchezaji mmoja dhidi ya France ambayo ilikuwa inaenda kupata mkwaju wa penalti. Hivyo isingekuwa rahisi kwa Argentina kuweza kuchukua ubingwa.

View attachment 3614000
Mimi sijasapoti tukio alilofanya kwamba ni sahihi ila nimesema advantage anayoipata Messi Hana record chafu za kucheza rafu ndio maana hiyo bahati ya kuadhibiwa inamkaa mbali lakini sio kwamba nimaamuzi ya Fifa ni mareferee wenyewe wanakariri. Kuna mchezaji kiungo wa zamani wa QPR ya ligi kuu ya uingereza anaitwa Joey Barton alikuwa anasifika Kama midfider ambaye anaongoza kwa kucheza rafu mbaya yaani huyu mchezaji kipindi chake alikuwa amalizi game bila kadi kutokana na sifa yake hiyo ilipelekea mpaka wakati mwingine anapewa red card ambazo hazikustahili au sometimes kadi za njano ambazo hazikupaswa refaree kutoa.
 
Jana wachezaji watatu wamefunga brace.

Lakini stori kubwa mtandaoni ni Messi na Ronaldo.

Ronaldo hata hausiki, imagine hata on target moja hana lakini bado yupo kwenye headlines.

Haaland nani anamuongelea?

Mbappe je (ukinitoa mimi nani mwingine anaongelea magoli ya Mbappe?)

See?
I can see it bro
 
Mimi sijasapoti tukio alilofanya kwamba ni sahihi ila nimesema advantage anayoipata Messi Hana record chafu za kucheza rafu ndio maana hiyo bahati ya kuadhibiwa inamkaa mbali Kuna mchezaji kiungo wa zamani wa QPR ya ligi kuu ya uingereza anaitwa Joey Barton alikuwa anasifika Kama midfider ambaye anaongoza kwa kucheza rafu mbaya yaani huyu mchezaji kipindi chake alikuwa amalizi game bila kadi kutokana na sifa yake hiyo ilipelekea mpaka wakati mwingine anapewa red card ambazo hazikustahili au sometimes kadi za njano ambazo hazikupaswa refaree kutoa.
Ofsa, mi na wewe wote tunajua mtu ambaye hana rekodi chafu ni yule mtu ambaye hajawahi kuwa na rafu.

Nikimuangalia Messi simuoni kama ni mtu ambaye hana rekodi za rafu kwasababu tayari ana rafu. Nawewe umekiri kuwa zile ni rafu.

Ila rafu zake haziingii kwenye rekodi kwasababu zinapewa Immunity kwa kigezo cha kwamba hana historia.

Historia itatokeaje ikiwa watu wanamkingia kifua kwenye rafu ambazo zilikuwa ziingie kwenye rekodi?
 
Wewe umeharibu kwa kusema Fifa inambeba Messi kwenye maamuzi wakati ni suala la referees
 
Kama ni hivyo basi Ronaldo is more overrated than Messi.
Ronaldo haimbwi sana kama andunje, andunje anaimbwa sana na kingine Ronaldo ana ufalme wake UEFA champions league ila haongelewi sana kama huyu andunje, na pia bahati mbaya kwake hakutokea katika ile traditional football powerhouse kama Messi especially kwenye timu ya taifa
 
Back
Top Bottom