Mbappe sasa ndiye mfungaji bora wa muda wote Ufaransa

Mwaka wa La Pulga huu...,😃😃😃.

Messi World Cup 2026...

Scars
Because FIFA got his back
1781947668448.png

1781947118788.png
 
Hili tukio linahusu nini
Kwenye hili kombe FIFA imeweka sheria mpya kwamba wachezaji hawatakiwi kuziba mdomo wanapoongea.

Hii ni baada ya kilichotokea kwenye game ya Madrid na Benfica ambapo dogo Prestian ilisemekana alimtolea Vini maneno ya kibaguzi.

1781988483003.jpeg

FIFA wakaweka zuio kuwa sheria hiyo itaanza ramsi kutumika kwenye kombe la dunia, na mchezaji atayekutwa kwenye tukio hilo atapewa straight red card.
Screenshot_20260620-234931~2.jpg

Na jana Miguel Almiron alikutwa kwenye hilo tukio na akawa mchezaji wa kwanza kupewa kadi nyekundu kwa kosa hilo.

1781988444548.jpeg

Lakini mechi ya juzi aliyocheza Argentina, Messi pia aliziba mdomo lakini hakuna adhabu yeyote aliyopewa.
Screenshot_20260620-232351.png

Hii inazidi kuongeza wasiwasi kuwa kuna sheria haiwagusi kabisa baadhi ya wachezaji ambao wanasemwa kuwa ni vipenzi wa FIFA.

Na hii inakuja baada ya matukio kadhaa ikiwemo lile tukio la Messi kumkanyaga mchezaji wa Algeria bila refa kumpa hata kadi ya njano.
FB_IMG_1781683127794.jpg
FB_IMG_1781683200002.jpg
FB_IMG_1781686584191.jpg
 
Kwenye hili kombe FIFA imeweka sheria mpya kwamba wachezaji hawatakiwi kuziba mdomo wanapoongea.

Hii ni baada ya kilichotokea kwenye game ya Madrid na Benfica ambapo dogo Prestian ilisemekana alimtolea Vini maneno ya kibaguzi.

View attachment 3612108

FIFA wakaweka zuio kuwa sheria hiyo itaanza ramsi kutumika kwenye kombe la dunia, na mchezaji atayekutwa kwenye tukio hilo atapewa straight red card.
View attachment 3612115
Na jana Miguel Almiron alikutwa kwenye hilo tukio na akawa mchezaji wa kwanza kupewa kadi nyekundu kwa kosa hilo.

View attachment 3612107
Lakini mechi ya juzi aliyocheza Argentina, Messi pia aliziba mdomo lakini hakuna adhabu yeyote aliyopewa.
View attachment 3612110
Hii inazidi kuongeza wasiwasi kuwa kuna sheria haiwagusi kabisa baadhi ya wachezaji ambao wanasemwa kuwa ni vipenzi wa FIFA.

Na hii inakuja baada ya matukio kadhaa ikiwemo lile tukio la Messi kumkanyaga mchezaji wa Algeria bila refa kumpa hata kadi ya njano.View attachment 3612111View attachment 3612112View attachment 3612113
Sasa migo huoni kama La Pulga amefunika mdomo wakati anaongea na teammate na sio mpinzani?
 
Back
Top Bottom