Endapo wachezaji wawili au zaidi watafunga idadi sawa ya mabao kwenye Kombe la Dunia, mshindi wa Golden Boot (Mfungaji Bora) hupatikana kwa vigezo vifuatavyo, kwa mpangilio huu:
Aliyetoa pasi nyingi za mabao (assists) ndiye hushinda. Idadi ya assists huhesabiwa na kikosi cha uchambuzi cha FIFA...
Dah huyu jamaa anaandika historia mapema sana.
Baada ya mechi ya jana dhidi ya Senegal, Kylian Mbappe amekuwa rasmi mfungaji bora wa muda wote wa timu ya taifa ya France baada ya kufikisha mabao 58 na kumpita Olivier Giroud aliyekuwa na mabao 57.
Mbappe alipiga mabao mawili kwenye ushindi wa...
Hii timu huwa inanishangaza sana. Jana Fredy Michael kawa mfungaji bora wa Ligi kuu Zambia licha ya kutokuwepo huko kwa miezi kadhaa.
Saido mwaka jaba aliibuka mfungaji bora NBC PL akagawana zawadi na Mayele. Msimu huu ndiye kinara wa magoli Simba SC.
Soma Pia: Usajili wa Simba tangu 2019...
Habari Wapenda Soka Na Wasiopenda Soka.
Ligi imetamatika kwa viungo wachezeshaji wakiwa bora katika kufunga magoli pamoja na kutengeneza nafasi nyingi za magoili.
Stephan Aziz Ki akiwa ndio mfungaji Bora wa msimu wa ligi kuu ya NBC 2023/2024 kwa magoli 21 pamoja na assist 8, Akifatiwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.