Bhbm
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 714
- 210
Hali ya hewa ni cool,maombolezo na nyuso zenye simanzi,
wabunge wengi wamefika,viongozi mbalimbali wamefika.
Mkuu wa kaya mpaka sasa wanasema atafika kwa Choppa.
Tunaendelea kuwaweka watu kwenye nafasi zao,tukiendelea kusubiri.
Asante sana mama yetu mpenzi kwa taarifa muhimu hasa kwa siye tulio mbali na tukio. Mungu awabariki sana kwa moyo wenu wa kujitoa.