Mazishi ya Mh. Regia Mtema huko Ifakara (updates)

Tunashukuru kwa uwakilishi wenu,kama inawezekana kuweka picha kidogo tutashukuru.Asanteni sana wadau.
Mtendeeni haki huyu kamanda wetu.
 
pamoja sana, tunafatilia kwa kila sekunde ipitayo......................
 
Regia tunakusindikiza kwa mara ya mwisho leo,
moyoni nabubujikwa machozi,kumbuka mama yale tuliyozungumza na kuyawekea mikakati.

Regia nani atanisaidia kuyasimamia yale tuliyoyaongea,nisaidie mama,nitafanya,lakini wewe ndiye yalikuwa maono yako,nisaidie huko uliko.

Dr anakulilia,watoto wangu nyumbani wanakulilia,hata dada aliyekuwa anakuhudumia anakulilia.

Tulikupenda.
 
So sad!r.i.p sista Regia
 
Imekuwa ni kazi ya usiku kucha, baada ya ratiba nzima ya mazishi kubadilika, awali tulikuwa tutoe salamu zetu za mwisho nyumbani then twende kanisani baadae mazishi.

Lakini baada ya kuona umati mkubwa wa watu, tufanya maamuzi usiku wa saa nane kuwa mambo yote yafanyike kwenye open space, ili kila mtu shiriki vema.

Hivyo imekuwa ni kazi ya usiku kucha kuhamisha mahema viti na mapmbo mpaka mda huu.

Tumemaliza na ratiba itaanza mda si mrefu.

Thanks for the updates Mama wa kwanza, na poleni sana RIP dada Regia.

Yule bwana Pepe aliyeimba wimbo wa slaa anaweza,anaimba nyimbo maalumu sasa da inasikitisha sana.
 
Regia tunakusindikiza kwa mara ya mwisho leo,
moyoni nabubujikwa machozi,kumbuka mama yale tuliyozungumza na kuyawekea mikakati.

Regia nani atanisaidia kuyasimamia yale tuliyoyaongea,nisaidie mama,nitafanya,lakini wewe ndiye yalikuwa maono yako,nisaidie huko uliko.

Dr anakulilia,watoto wangu nyumbani wanakulilia,hata dada aliyekuwa anakuhudumia anakulilia.

Tulikupenda.

Pole sana dada Josephine, tulimpenda sana dada yetu Regia. Hata hivyo Mwenyezi Mungu akampenda zaidi, yeye ndie aliye mtoa kwetu pia ni yeye kamtwaa kutoka kwetu yatupasa kumshukuru kwa kila jambo. Ampumzishe kwa amani dada yetu.
 
Josephine, unafikiri ni sababu za kiusalama au ni mbali sana kwa mkuu wa kaya kufika kwa usafiri wa magari? nauliza tu
 
Ahsante Josephine kwa taarifa hakika ni machozi hata sisi ambao tuko mbali na eneo la tukio. Jikaze dada, tupe taarifa usitulize.
 
Wimbo maaluum wa Regia unazidi kuwasogeza watu karibu,

ni wimbo wenye maneno yanayomliza mtu,

naona baadhi ya wabunge nyuso zimebadilika gafla.
 
Kaza moyo Josephine! hii ni njia mamy! wote tupo safarini!

Rest in Peace Regia.
 
Back
Top Bottom