Mazishi ya Mh. Regia Mtema huko Ifakara (updates)

Imekuwa ni kazi ya usiku kucha, baada ya ratiba nzima ya mazishi kubadilika, awali tulikuwa tutoe salamu zetu za mwisho nyumbani then twende kanisani baadae mazishi.

Lakini baada ya kuona umati mkubwa wa watu, tufanya maamuzi usiku wa saa nane kuwa mambo yote yafanyike kwenye open space, ili kila mtu shiriki vema.

Hivyo imekuwa ni kazi ya usiku kucha kuhamisha mahema viti na mapmbo mpaka mda huu.

Tumemaliza na ratiba itaanza mda si mrefu.
Jamani, kuna kitu au vitu mimi kiasi nashindwa kuvielewa hasa juu ya mambo yanayosemwa na watu mbalimbali juu ya Marehemu wetu Regia.

Nikisikiliza hayo maneno na sifa zinazotolewa juu yake na nikiangalia umri alofariki nao, kiasi fulani nashawishika kusema MANENO KAMA PENGO LAKE HALIZIBIKI AU HATATOKEA MTU KAMA HUYU, naona kama zinasemwa kwa UNAFIKI TU, given the young age of her, ni lipi/yapi hasa aloyafanya kiasi cha kupata hii attention yote.

Ni wangapi wema zaidi ya Regia wamefariki na hawakupata attention yoyote??? Nafikiri kuna haja ya jamii yetu kujiangalia kwa undani je tunayoyafanya kweli yana maananisha hicho kilichopo moyoni mwetu au ni ile tu watu waseme na yeye alisema???
 
Mwenyekiti wangu amemaliza,
Jua limewaka.

Salamu za CCM zinatolewa na Steven Wasira (Mhe)
 
kwa hakika hii inatufundisha mengi na hasa wale waliokuwa na mawazo kuwa ukilimbikiza mali nyingi na ubinafsi mwingineo wa kupitiliza ndio unaheshimika katika jamii lakini dada Regia, a simple but humble by nature anagusa nyonyo zetu sote bila hayo!
Kikubwa hapa tumuenzi kwa kufuata yale aliyoyaamini na hasa kuchukia UFISADI.
Umati huu wa watu toka kila kona nchi unadhihirisha jinsi dada Regia alivyokua kipenzi cha watu!
Kwa kweli nafarijika sana kuona ni namna gani Dada Regia aligusa maisha ya watu. Tangu taarifa ya kifo chake kutolewa, wananchi wengi sana wamejitokeza kumtakia pumziko la amani. Naamini hata familia yake inafarijika kwa maisha ya binti yao, kwani kwa umati unaojitokeza kumsindikiza tangu kule Tabata, Karimjee na sasa huko Ifakara, ni wazi kuwa Regia alikuwa ni kipenzi cha wengi. Huenda hata huko alikopumzika haamini anayoyaona huku duniani jinsi watu walivyompenda.

Tuzidi kumuombea kwa Mwenyezi Mungu ampumzishe kwa amani na kumpatia raha ya milele. Amevipiga vita vilivyo vema na kuvimaliza, anastahili pumziko.

Ulale vema Dada Regia, tutakukumbuka.
 
Nimeshindwa kuandika kilichoendelea,Nalia kwa uchungu nimeshindwa kujizuia.

.
Kaza buti mkuu, sasa kama wewe ukilia sisi itakuwa je? Lakini kiukweli inauma sana! Ni kweli Regia amethubutu kutuacha kwelii? Wacha tu, kazi ya Bwana Mungu wetu haina makosa!!
.
 
Hu msiba ni wa aina yake, nilipocikia kwa mara ya kwanza sikuamini, na kwa mara ya kwanza ktk historia yangu nilitoka machozi kwa kuona msiba kwenye TV. Kwa mara ya kwanza mke wangu si mwanasiasa ametoa coment kuwa "nimepata hasira, yani nimechukia kweli" ni msiba uliogusa wengi, mwenye macho haambiwi ona, taa ya ukombozi raia waTZ wanajua iliko. Dada Regia, ulikuwa na nafasi ktk moyo wangu. Punzika kwa amani! Dada Jocephine asante kwa kutuletea matukio yanayojiri huko. Job Wel done mama yetu!
 
JK atafika kwa barabara na ataingia anymoment from now!.

Alikuwa anze safari saa 2, baadaye tukaambiwa safari ni saa 3 hatimaye safari ikaanza saa 4!.

Si mnajua tena mambo ya uchovu!. Watu wa moro nao ni wakarimu sana!, karibia wafanane na Tanga!
Mkuu, unasikia rahaaa kuongozana na JK.....hahahahaaa!!! wewe bana!!!
hajui muda huyo, si unajua jamaa zetu hawa? wewe usingehangaika kutoka Dar alfajiri!! Safari njema mkuu, angalieni barabara mbaya hiyo, kona na madaraja kibao tu!
:focus:
 
Mola ni muumba wetu sote, tuache kuhukumiana ktk mambo yasiyoonekana; Bwana amefanya njia kwa Regia na tumeona tunapaswa kuishi vipi ili tuheshimike miongoni mwetu.

Mungu atupe nini kudhihirisha nguvu zake?

Mkuu nimetafsiri tu alichokuwa anamaanisha jamaa.
Otherwise mi niko upande wako.
 
Mkuu, unasikia rahaaa kuongozana na JK.....hahahahaaa!!! wewe bana!!!
hajui muda huyo, si unajua jamaa zetu hawa? wewe usingehangaika kutoka Dar alfajiri!! Safari njema mkuu, angalieni barabara mbaya hiyo, kona na madaraja kibao tu!
:focus:

Halafu barabara yenyewe ni nyembamba kupita kiasi,
Ukipita Mang'ula tu unaanza barabara ya vumbi ambayo ina mahandaki ya kutisha!
 
Mkuu, unasikia rahaaa kuongozana na JK.....hahahahaaa!!! wewe bana!!!
hajui muda huyo, si unajua jamaa zetu hawa? wewe usingehangaika kutoka Dar alfajiri!! Safari njema mkuu, angalieni barabara mbaya hiyo, kona na madaraja kibao tu!
:focus:


hayupo katika msafara wa jk.....:focus:
 
Ndugu zetu mlioko Ifakara natambua kwamba mko kwenye wakati mgumu katika kipindi hiki kwakuwa mnatambua kwamba baada ya hapo hamtamuona mpendwa Regia.

Tungeomba mjitahidi hivyo hivyo katika hali ya majonzi tuliyonayo sote walau kutufahamisha kinachojiri huko tuko pamoja nanyi kuona kwamba tunashiriki shughuli hii ya kumpumzisha mwenzetu.

Mtu akiandika kwamba zitto anaongea ama mbowe anaongea bila kutufahamisha japo kwa ufupi sana kaongea nini mnakuwa mnatutenga wapendwa twendeni pamoja ili tumalize pamoja kama tulivyoanza pamoja.

Poleni kwa wale nitakaokuwa nimewakwaza, lakini ningeomba ombi langui mjitahidi kulizingatia kadri inavyowezekana.
 
Jamani, kuna kitu au vitu mimi kiasi nashindwa kuvielewa hasa juu ya mambo yanayosemwa na watu mbalimbali juu ya Marehemu wetu Regia.

Nikisikiliza hayo maneno na sifa zinazotolewa juu yake na nikiangalia umri alofariki nao, kiasi fulani nashawishika kusema MANENO KAMA PENGO LAKE HALIZIBIKI AU HATATOKEA MTU KAMA HUYU, naona kama zinasemwa kwa UNAFIKI TU, given the young age of her, ni lipi/yapi hasa aloyafanya kiasi cha kupata hii attention yote. Ni wangapi wema zaidi ya Regia wamefariki na hawakupata attention yoyote???

Nafikiri kuna haja ya jamii yetu kujiangalia kwa undani je tunayoyafanya kweli yana maananisha hicho kilichopo moyoni mwetu au ni ile tu watu waseme na yeye alisema???
Watu wengine bana, wachawi kweli........jiulize wewe, kwanini wengine wanapata attention na wengine hawapati!! driving force ni nini?
 
Jamani, kuna kitu au vitu mimi kiasi nashindwa kuvielewa hasa juu ya mambo yanayosemwa na watu mbalimbali juu ya Marehemu wetu Regia. Nikisikiliza hayo maneno na sifa zinazotolewa juu yake na nikiangalia umri alofariki nao, kiasi fulani nashawishika kusema MANENO KAMA PENGO LAKE HALIZIBIKI AU HATATOKEA MTU KAMA HUYU, naona kama zinasemwa kwa UNAFIKI TU, given the young age of her, ni lipi/yapi hasa aloyafanya kiasi cha kupata hii attention yote. Ni wangapi wema zaidi ya Regia wamefariki na hawakupata attention yoyote??? Nafikiri kuna haja ya jamii yetu kujiangalia kwa undani je tunayoyafanya kweli yana maananisha hicho kilichopo moyoni mwetu au ni ile tu watu waseme na yeye alisema???

....Umekwenda na laptop chooni..!?
 
Hapana bwana, watu wa Moro tuko "slow" sana...at least hayati Regia ameonesha kuwa hata sisi tunaweza kuwa ngangari...

Hapana Mkuu hatuko slow bali ni waaminifu sana; hilo lilionwa na JKN aka invest miongoni mwetu ila uaminifu wetu kwa system umetufanya tuonekane ni wanyonge tusiopenda kwetu, ikitokea tu tunataka tusimame tunahukumiwa eti ni watu wapenda maneno sana; Mkoa huu una vichwa, una adili na hazina zote na ndio maana si Nyerere, Mwinyi,Mkapa, Kikwete na hata CDM hawakuacha kukumbatia products zetu ktk siasa na uchumi.

Naamini ktk kujipambanua na kusimama ktk mstari usiyopindapinda ktk kuuweka mkoa huu juu na hatimaye kuzalisha mkoa mpya kilombero.

Natamani kuona 2015 vyama vyote vilete wagombea Ulanga-Kilombero wa aina na maadili ya Regia, huo ndio utakuwa ukombozi wetu na salama yetu.
 
Back
Top Bottom