Mazishi ya Mh. Regia Mtema huko Ifakara (updates)

Mazishi ya Mh. Regia Mtema huko Ifakara (updates)

Mzee Mmoja wa makamo amekiri Ifakara haikuwahi kuona umati mkubwa wa watu kama leo tangu ulimwengu ulipoumbwa na Mungu!.

...and you expect people to believe what you have just written.

i think it's time you went back to the drawing board and take a good stock of yourself, son.

in the meantime, acha tuendelee kuomboleza kutoweka ghafla kwa mshumaa (Regia RIP) uliotuzimikia huku tukiwa katikati ya giza totoro.
 
WanaJF mlioko kwenye mazishi, Mungu awabariki sana kwa kutujulisha kinachoendelea huko, tunashuru sana
 
Usiajali Dada nawasiliana na wataalamu wangu pale jangwani wataizuia hiyo mvuwa hata kwa mwaka mzima kama wana Kilombero watapenda hivyo.
Yale mafuriko ya Jangwani mtaalam alikuwa yupo Rufiji kwa mke mkubwa.

Mkuu umenichekesha sana.
Baada ya yale mafuriko Idara ya hali ya hewa walidai kuwa ingekuja mvua nyingine kubwa kuliko ile kipindi chamwaka mpya kwa siku 3 mfululizo. Cha ajabu imeishia kwenye mawingu kila siku na leo pia. Kuna jamaa yangu akadai maprofesa wa pale jangwani wameshaidhibiti from source.
 
Na ningependa kutumia fursa hii kumuandikia ujumbe wa wazi hapa hapa Dr Slaa kwamba wasitake kumzeesha John Mnyika, yule ni mbunge wa Ubungo na ana majukumu mazito kwa wapika kura wake, Chadema ina vijana lukuki kwenye vyuo vikuu vyote sioni kuna ugumu gani wa kumpa ajila kijana alie Graduate University kwenye mass media na PR! NARUDIA KUSEMA TENA UBABABAISHAJI HAUKUBARIKI KAMWE.

Mkuu sio kila mwenye degree anaweza kufanya kazi ipasavyo. Qualification za kufanya CHADEMA sio vyeti
vyako tu..pia inahitajika uzalendo wa Taifa,kujituma wakati mwingne kujitolea kufanya kazi bila malipo,utii wa sera za chama na menine mengi tu. CHADEMA hatutaki mafisadi,vihiyo,vibaraka na wote wanaoendana na hayo. Mh. Mnyika hawezi kuzeeshwa na majukumu aliyopewa...kwani anaaminika nayaweza, anamekuwa akiyaweza siku zote. CHADEMA pia inalea vijana wasomi kushika nafasi hizo..muda ukifika watapokea vijiti lkn kwa sasa wanafundwa kwanza.
 
Wakati wa sadaka na manyunyu ya mvua.

Naona hata mbigu inamshuhudia Regia Mtema.

Mara Nyingi nimeshuhudia hali ya hewa ya namna hii kwa watu waliokuwa na utu hapa duniani
.

Ni kweli kama nilivyosema kwenye post #243.
 
Hapa Ifakara leo, karibu kila kitu kimesimama kumuaga Regia. Uwanja uko mbele ya mahakama, kituo cha polisi na ofisi za serikali, milango iko wazi watumishi wamejisimamia nje wakiangalia.
 
Mkuu wa kaya vipi amefika ? Mbona matukio mengi yanampita.
 
lakini katika Moro yote (mkoa mzima), nadhani hawa kwa sasa ndo wanaongoza kwa kujua nini wanakitaka, nini wafanye na washirikiane na nani ili kupata wanachokita...huko kwingine (kukiwemo na kwako) kunahitaji nguvu ya ziada. Nadhani kazi aliyofanya Regia (RIP) itasaidia kuongeza nguvu ya kuleta mabadiliko katika Morogoro yote.

Bila shaka kamanda Regia ameonyesha na kufungua njia kwa wanamorogoro, hasa kwa huo ukanda wa kusini Kilombero-Ulanga.

Natarajia huko mbele ya safari mkoa wa morogoro utakuwa mbele katika kuchagua mabadiliko ya kweli na ya kujiletea maendeleo.

Kamanda Regia ama kwa hakika amewaunganisha wana moro na watanzania wote katika kipindi hiki kifupi.
 
Hapa Ifakara leo, karibu kila kitu kimesimama kumuaga Regia. Uwanja uko mbele ya mahakama, kituo cha polisi na ofisi za serikali, milango iko wazi watumishi wamejisimamia nje wakiangalia.

weka picha zao hapa.
Maana hao ndo vibaraka wakubwa.
Leo hawana maguruneti?
 
Mkuu umenichekesha sana.
Baada ya yale mafuriko Idara ya hali ya hewa walidai kuwa ingekuja mvua nyingine kubwa kuliko ile kipindi chamwaka mpya kwa siku 3 mfululizo. Cha ajabu imeishia kwenye mawingu kila siku na leo pia. Kuna jamaa yangu akadai maprofesa wa pale jangwani wameshaidhibiti from source.
unajuwa tena msibani hapakosi watani, maana tukilia sana na huyu Jakaya alivyotuachia ufukara basi inakuwa ni maumivu mara mbili, na usisahau huu ni mwezi wa school fees.
 
First Lady nashukuru kwa updates hizi maana zinatufanya nasi kushiriki nanyi mliotuwakilisha kwa namna moja au nyingine.
 
Salaam wana JF, poleni sana kwa majonzi ya kuondokewa na mpendwa wetu, tupo pamoja ktk wakati huu mgumu.
R.I.P kamanda Regia.
 
Ni kwanini umeyaruhusu.....eee Mungu Mwenyezi...
Yatusononeshe moyoni... kwa nini umeruhusu..
Ona haya machozi... Tanzama tunavyo liiiia
Twajiuliza sana moyoni ..ni kwa nini uliyaruhusu,

Nikumbukapo asubuhi hiyoo.... asubuhi ya huzuni nyingiii
Ulipokubali bwana... kwamba mwenzetu apumzike
Najiuliza moyoni.... kwa nini Bwana Mwenyezi
Umeruhusu tusononeshwe kiasi hiki

Mlipuko ni ghafla....mlipovamiwa na mauti
Bwana ulimruhusu Regia aige dunia........


RIP Regia
We love you

Jibu la mawazo yetu yote anayo MUNGU,sio siri roho inaniuma,
 
Mkuu umenichekesha sana.
Baada ya yale mafuriko Idara ya hali ya hewa walidai kuwa ingekuja mvua nyingine kubwa kuliko ile kipindi chamwaka mpya kwa siku 3 mfululizo. Cha ajabu imeishia kwenye mawingu kila siku na leo pia. Kuna jamaa yangu akadai maprofesa wa pale jangwani wameshaidhibiti from source.
Unajuwa tena msibani hapakosi watani, maana tukilia sana na huu ufukara aliotuachia huyu JK yaani inakuwa ni maumivu na kilio mara mbili, na usisahau huu ni mwezi wa school fees.
 
RIP dada Regia. Umetuacha na majonzi tele. Mwenyezi Mungu aiweke Roho yako mahala pepa peponi. AMEN.
 
Back
Top Bottom