Hakuna kinachoumiza km kusalitiwa na uliemwamin na kumpenda kwa dhati!thx god my Rejao ni mwaminifu sn!
Asante sana kwa kuniamini my beloved one. Mimi siwezi kukusaliti kabsaaa.Hakuna kinachoumiza km kusalitiwa na uliemwamin na kumpenda kwa dhati!thx god my Rejao ni mwaminifu sn!
Mambo gani tena haya mama mkwe!!!Usilolijua ni kama usiku wa giza.
Asante sana kwa kuniamini my beloved one. Mimi siwezi kukusaliti kabsaaa.
Hahahah...umeona eee..lol!
kufumaniwa nyie acheni jamani aaaah iseeee hapana.bora ufumanie wallah tena!
Heeeeeeeee nafwa kabisaaa maana huwa nachanganyikiwa tuu kwa msiba na ugonjwa itakuwa hiyoo?hivi kuachwa inauma eeh,?CV yangu ndogo katika hili, najua kuacha tu so far!
vipi kukutana na barua ya kuachishwa/kupunguzwa kazi ambayo ndio ilikua inakupa pumzi hapa mjini?
vip ukiwa na mchumba wako umpendaye...kwa muda mrefu then mkataka kupima HIV ili mfunge ndoa, unakuta ana/una ngwengwe?