Maumivu!

Maumivu!

Siku mke wangu alivyoniambia ananiacha karibu nianguke..hata misiba haijawahi kuniangusha chini..i think kama alivyosema hapo juu ukiachia kufiwa ni kuumizwa kwenye mapenzi...mmh mhh mhh

Ulimfanya nini?
 
Kibuti ! Kibuti !
Kinaongoza ligi ! Semea uwe hakijakupata! Mzaha tupa kulee!
NA HASA MAUMIVU YA KIBUTI , HUKUINGIA MAUNGONI PALE IKUTOKEAPO UMDHANIE NDIYE KUMBE SIYE ! NA YULE WA SIYE AKAWA NDIYE !!

Alikuambush mkuu? Kusoma alama za nyakati muhimu kaka.
 
mapenzi yanauma kuliko kindoda sijawahi ila jamaa alijitwika kufuli kichwani
hapa bado sijaelewa, yeye anaumia kwa kufumaniwa kivipi. yaani atamkosa huyo alie fumaniwa nae au atamkosa yule aliemfumania?
 
Katika maisha ,kuna wakati wa raha na uzuni pia,,kufiwa ni jambo ambalo hua linamuumiza kila mtu pindi yanapomkuta.
Je ni jambo gani lingine(ukiondoa kufiwa) ambalo limeshawahi kukuumiza saaaaaana na hutaeza kulisahau??
yako mengi sana ambayo yametuumiza, lakini suala la kusema hutasahau, ni kujiwekea makumbukumbu yasio natija kwa ubongo zetu.
kukumbuka vile vingi vizuri, sahau yale mabaya machache.
 
Back
Top Bottom