Maumivu ya moyo....!!!

Maumivu ya moyo....!!!

Mimi kilichonichosha hapa ni rafiki na mtu uliyekuwa unamchukulia as a good friend /broher.

Jamani wasichana /wadada acheni kufanya hivi.
I am not supporting immorality behaviours but, its better if she would have done with a guy who is not a friend of her boyfriend.

Its pathetic.
Af tukisema wanawake washenzi mnadai ME tunalalamika sana. This is so dissapointing thing ukifanyiwa na mtu unayemjali kwa kila hali. Binafsi sipendagi usiri wa kufichiana simu! Never!!! Maana ndipo ushenzi wote unapoanzia
 
Eti mtu kakomaa bora usingegusa simu khaa, we live in denial jamani khaa, . So its ok mtu kukufanyia ushenzi wote huo as long as haujui? Mungu ndo kaamua kumuexpose huyo mdada through simu yake, mtu anabaki "usishikage simu", mmh ngoja tuendelee kudumu kwenye mahusiano huku moyoni tunateketea
yani acha kabisa...hali ni mbaya nowadays!
hata kujidai unae mpenzi mwaminifu siku hizi hakuna.ni mashaka tupu.
mimi hapa nlipo natamani nikionana nae siku natamani niweze kupekua kule..
ana pattern kali ...password mpaka kwenye nokia tochi..
 
Haha sasa kwenye Nokia torch anaficha game la nyoka au (kidding)? It's owkey kuweka password kwa ajili ya usalama, na sio kuniwekea mimi password. Maana shurti nizijue
 
Kila sku huwa nasisitiza tusichunguze cm za wanawake! Ila pole sana mkuu
Sasa usichunguze ili ufuge ushenzi kama huo??? Ukija kutiwa ukimwi utamlaumu nani? Swala la usalama wako ni jukumu lako kujihakikishia upo salama no one to blame. Kama upo tayari kuishi kwa matumaini kisa unaogopa kuacha mwanamke endelea.
 
Pia katika maisha ndugu zangu msisahau kwamba HAKUNA BINADAMU ANAEWEZA KUKUPA RAHA,SIKU ZOTE RAHA UNAJIPA MWEMYEWE,,just jiulize unaweza kuelezea ladha ya chakula unachokula ili nami nikisikie?? Kama haiwezekan hakika huwez kupata raha kwa watu zaid yako wewe mwenyewe..
 
H
yani acha kabisa...hali ni mbaya nowadays!
hata kujidai unae mpenzi mwaminifu siku hizi hakuna.ni mashaka tupu.
mimi hapa nlipo natamani nikionana nae siku natamani niweze kupekua kule..
ana pattern kali ...password mpaka kwenye nokia tochi..
Hahaha et pattern kali!!!
Make sure hakuna privacy katika mahusiano yenu hasa kitu kama simu. Dissapointments kills people softly yani, unakaa unaplan vitu ukijua mko pamoja mwisho wa siku kumbe jitu linakuinjoy hujui...

Umekaa tu kiuaminifu unajikuta upo suprised tu kumbe uko na mnafiki longtime mipango inafanyika kwa simu. Nitahack hata mawasiliano kama umenijazia passwords staki upuuzi! Siaminigi maneno ya mdomoni tu.
 
Pia katika maisha ndugu zangu msisahau kwamba HAKUNA BINADAMU ANAEWEZA KUKUPA RAHA,SIKU ZOTE RAHA UNAJIPA MWEMYEWE,,just jiulize unaweza kuelezea ladha ya chakula unachokula ili nami nikisikie?? Kama haiwezekan hakika huwez kupata raha kwa watu zaid yako wewe mwenyewe..
Hiki kitu nilijifunza taratibu sahivi nmeelewa kabisa.
 
H

Hahaha et pattern kali!!!
Make sure hakuna privacy katika mahusiano yenu hasa kitu kama simu. Dissapointments kills people softly yani, unakaa unaplan vitu ukijua mko pamoja mwisho wa siku kumbe jitu linakuinjoy hujui...

Umekaa tu kiuaminifu unajikuta upo suprised tu kumbe uko na mnafiki longtime mipango inafanyika kwa simu. Nitahack hata mawasiliano kama umenijazia passwords staki upuuzi! Siaminigi maneno ya mdomoni tu.
hadi nimeogopa ujue..mda mwingine nawaza ni bora uwe peke ako tu..
 
Yani nimesoma post nyingi sana. Lakini alie weza kukaa chini na ku SOLVE LAKE NI DIAMOND PEKEE. baada ya IVAN mzazi mwenza kufaliki dunia. Kwa iyo ana mpinzani kwa ZARI. Anae julikana tena. ww PIGA chini uyo FASTA SANAAAA.kumbuka ww mpinzani wako yu HAI. Ukiendelea nae basi nao wataendelea kuiba tena n tena
 
Back
Top Bottom