Matumizi ya Magufuli, tuyajadili

Matumizi ya Magufuli, tuyajadili

Alipoanza Makusanyo yalikuwa Trilioni 1.3, Mwenzi uliyofuatia yalifika Trilioni 1.5 na yakafika Trilioni 1.0.. Swali la msingi mfuatano huu (trend) una maanisha nini?
Allen lazima tuelewe kuna kuna impact ya majipu. Kama macontainer and co yaliingiza mabillion kadhaa hatutarajii yatengeneze trend ya mapato kwa Sababu ongezeko lilitikana na hayo majipu hayatowi mchango ule ule mwezi ulio fuata. Rejea hituba ya waziri akisema makusanyo yaliongezeka yakihusisha majipu pia ila Kama nawe ni jipu naamini tunaongea lugha tofauti
 
Mpaka sasa tunajiuliza nini kipaumbele cha serikali hii ya awamu ya Tano? Jibu "Hapa ni papala tu..."
Hii ni kuiga tu kwa kuwa Mkumbo aliongelea hilo la vision basi na wewe unarukia humo. Hebu sikiliza hotuba yake hasa ya jana (ila na nyingine pia) utasikia mara kadhaa akisema hii ndio serikali ya awamu ya tano tunayotaka. Sasa hiyo ndiyo maana ya vision wazee. Unachokinuia kuwa. Na mikakati anaeleza kila wakati kuanzia na kuondoa ufisadi. Ni bora hoja yenu iwe hamfurahishwi na hiyo vision lakini sio kusema hamjui vision yake.
 
Allen lazima tuelewe kuna kuna impact ya majipu. Kama macontainer and co yaliingiza mabillion kadhaa hatutarajii yatengeneze trend ya mapato kwa Sababu ongezeko lilitikana na hayo majipu hayatowi mchango ule ule mwezi ulio fuata. Rejea hituba ya waziri akisema makusanyo yaliongezeka yakihusisha majipu pia ila Kama nawe ni jipu naamini tunaongea lugha tofauti
Kujadili trend kwa three data point ni kupoteza muda. mpeni muda angalau tuwe na miezi 6 hadi 12 ndio tujadili trend.
 
..wanafikiri kutaja/kutumia mapesa yote hayo kwenye miradi ya maendeleo ni sifa....zingekua zinapatikana kama wanavyopanga basi.....lakini ukweli ni kwamba hizo pesa ni kwenye makaratasi tu...tuliyaona sana haya kwenye utawala wa mkwere...mi hizo naziita propaganda...btw ..wale makandarasi nchi nzima waliokuwa wanadai mapesa tele wamelipwa???...kabla ya kuja na ma figure makubwa makubwa ya mipesa ki propaganda....
 
Daraja la kigamboni bilioni 200
daraja la furahisha mwanza bilioni 200 (nakaribisha masahisho)
daraja la coco beach-bilioni 200 zimetengwa
barabara ya dar-chalinze-zaidi ya trilioni 1.3(dollar milioni 500)
mabasi yaendayo kasi -zaidi ya bilioni 200
flyover ya ubungo bilioni 100

Iwapo serikali ingeamua kujenga treni za umeme
badala ya mabasi yaendayo kasi ingetumia dollar milion 430
kwa km 32...yaani karibu Dar yote ingekuwa unapanda treni dakika 10
uko popote pale hata kigamboni treni ingefika kupitia Mbagala..
hii ni link ya Ethiopia inaelezea gharama za treni hizo na tayari wenzetu wanatumia..
Ethiopia gets first sub-Saharan Africa metro - CNN.com

na kama hizo bilioni zingetumika kujenga vyuo vikuu
UDOM gharama zake ilikuwa kiasi cha bilioni 25....
Umeongelea gharama za tramways za ethiopia huo umeme wa kuziendesha unao? hivi unajua kiasi gani cha umeme kinatumika kuendesha hizo tramways? umeenda na kuandika hadi kiasi cha Km zinawozewa kujengwa kwa fedha chini ya dollar 500 hiyo tramway ikijengwa dar unadhani mji dar imepangika kuaccomodate hiyo mproject au kutakuwa na migarama kibao ya kufidia watu kupisha ujenzi? Hata ethiopia hawakukimbilia tu kwenye ujenzi wa tramway mabarabara yao yako safi mi nimekaa ADDIS ABABA kwa miaka sasa: lakini pia fanya tafiti kuhusu kiasi cha umeme ambacho Ethiopia inategemea kuzalisha siku wa hivi karibuni kwa kifupi huzi wako ni wa kiukawa zaidi hauko kitaalam hata kidogo
 
sawa hata angeamua kufanya hayo pia ungekuja hapa na wazo tofauti na hayo ,sijui unatakaje mkuu ili nafsi yako iridhike,ifike hatua wandugu tuone kuwa kuna haja ya kuacha kwanza yafanyike alafu ndiyo tuje na mapendekezo,kuliko hii ya kujifanya kila mtu anamaono

Nakuunga mkono ndugu. Fedha nyingi zinapotea kwenye majadiliano na vikao visivyoisha mpaka siku wakiamua kufanya jambo zishachotwa nusu na utekelezaji haujaanza. Mwishowe huwa ni wa kulipua lipua, siku mbili mradi umekufa, tunaanza tena moja. Ule msemo wake "uchunguzi unaendelea, tupo kwenye mchakato" mambo hayakamiliki. Mwacheni Rais atekeleze aliyoyaahidi.
Tumepata viongozi wangapi wamefanya kama haya anayotaka kuyafanya. Basi ilimradi HAKUNA JEMA KWA WATANZANIA. Kazi tunayo watanzania.

NAJIVUNIA NA RAIS WANGU, NAJIVUNIA NA NCHI YANGU.
 
Hashauriki...!!
Amezikuta hizo plans. Sio zake. Ingawa zote ziliratibiwa na wizara yake kabla hajawa Rais, lakini Interest ya kiongozi wa nchi kwa wakati huo inatangulia kisha interest ya Waziri mwenye dhamana hufuata. Ukumbuke kuwa implementation ya miradi yote hiyo ilishakula mabilioni kibao ya walipa kodi. Kui-abandon na kuanza upya michakato ya treni za umeme na Vyuo vikuu ni sawa na kutumia mabilioni mengine mengi tu unnecessarily. Kikubwa hapa ni mambo yale 10 yaliyomshinda kwa mujibu wa Zitto Kabwe
 
Kumuelewa Magufuli Na Utawala Wake Kwa UJUMLA Unahitaji Kutulia Na Wala Usiwe Na Papara! Soon Mtamuelewa TU
Slow but sure...mi kunawakati nikitazama series of events naona kuna siku atamtumbua Mkwere. Lakini all in all, akitaka asitumie nguvu kubwa, afanye review ya mikataba ya Madini, gesi na Mafuta haraka
 
Tumpe muda kidogo naona yupo mwelekeo tunaotaka wengi
 
Umeongelea gharama za tramways za ethiopia huo umeme wa kuziendesha unao? hivi unajua kiasi gani cha umeme kinatumika kuendesha hizo tramways? umeenda na kuandika hadi kiasi cha Km zinawozewa kujengwa kwa fedha chini ya dollar 500 hiyo tramway ikijengwa dar unadhani mji dar imepangika kuaccomodate hiyo mproject au kutakuwa na migarama kibao ya kufidia watu kupisha ujenzi? Hata ethiopia hawakukimbilia tu kwenye ujenzi wa tramway mabarabara yao yako safi mi nimekaa ADDIS ABABA kwa miaka sasa: lakini pia fanya tafiti kuhusu kiasi cha umeme ambacho Ethiopia inategemea kuzalisha siku wa hivi karibuni kwa kifupi huzi wako ni wa kiukawa zaidi hauko kitaalam hata kidogo
Yaani jamaa anapinga juujuu tu .... shhedah sana.
 
Mpaka sasa tunajiuliza nini kipaumbele cha serikali hii ya awamu ya Tano? Jibu "Hapa ni papala tu..."
Kuna clip moja niliiona nikasikia uchungu kiasi cha kufa. Anatoa maagiizo kwa watumishi wa serikali kutekekeza Sera za chama. As if serikali haina au haikua dira.
Basi
 
mimi naona angeachana na madaraja yasiyo na tija hasa lile la coco ambalo naona kama anasa na urembo. Sioni element za kumsaidia masikini kwenye huu mradi.

Kwanza nchi lazima ikue holistically sio dsm tu. Priority ingekuwa ni kuunganisha mikoa yote na wilaya zote kwa rami.Hapo kutahamasisha maendeleo ya kweli.
Ahame na serikali yake yote pamoja na Ikulu wahamie dodoma.

Badala ya barabara SITA za Dar Challinze, Ingetengenezwa reli na treni express DSM moro, ninauhakika asilimia zaidi ya 40 ya wakazi wa dsm wangehamia Moro.
sina uhakika ila naona hizo barabara sita zitasababisha bottleneck effect.

= lami
 
Kila kitu kwa mipango jamani. Treni ya umeme bila umeme wa uhakika ni majanga tupu. Hayo uliyotaja yote yanamgusa kwa faida mwananchi hivyo hakuna ubaya. Hata Rome haikujengwa kwa siku moja
 
Tukubali tu kwamba mkuu hana vision, kitu ambacho ameiambukiza serikali nzima. Style ya utendaji sasa hivi inafanana utadhani wizara zote zinaongozwa na mtu mmoja. Style ya uongozi imekua kama style ya nyweke huko Korea ya Kaskazini.
Sasa wote tumesikia Makonda akisifiwa, tutarajie viongozi wakijifunza kutukana na kuropoka hovyo huku wakitumia vyombo vya dola kusukuma yatakayo.
Na tufikapo mwezi August au kabla ya hapo sijui wale 46 watakuwa wanaongea nini!!
 
Hatuwez ifanya dar kuwa metro city ? mashirika ya umma kama NSSF na the likes yanaingia odious debt kubwa sana kufanya hii mirad over priced huwa nawaza hata hawa mameneja anao wasimamisha kaz sio kwa uzur ila anatafuta wapigaji wa mfumo wake washike nyadhifa
 
Huyu hashauriki kumbuka juzi washauri wake walimwambia usiende akagoma
Akaenda kuhutubia muda aliopaswa kula tembe...ila kwa kuwa Hapa Ni Kazi Tu!! Daktari wake naye akaamua kuendelea na kazi hivyo akampelekea tembe hukohuko jukwaani.
 
Kuna hili daraja la Coco beach mpaka Agha Khan. Do we really need this...now!? Hii ni anasa. Bilioni 200 si nafuu akajenge barabara za ndani ndani huko zisaidie wananchi masikini (Bonyokwa - Segerea; Mbezi to Segerea)
wewe unawaza wenzio wamefanya Tafiti na kujua hasara inayo patikana. Dar inachangia asilimia 80 ya mapato
 
Back
Top Bottom