Hypothesis haipingwi kwa vijembe!Una akili duni sana ndo nashangaa JK anavyowatetea eti mkumbukwe!!
Nyinyi ndo mtatuvusha wabongo kwa fikra hizi?
Hypothesis haipingwi kwa vijembe!Una akili duni sana ndo nashangaa JK anavyowatetea eti mkumbukwe!!
Nyinyi ndo mtatuvusha wabongo kwa fikra hizi?
Imagine unaingia ofisini kukutana na washauri wako na kitu cha kwanza wanafanya kukuonyesha wewe ni mjinga, kwamba maamuzi fulani uliyofanya ni ya kijinga na badala yake ungefanya hivi au vile. Unareact vipi??
Hiyo ndio sababu ni ngumu kuchukua au kufata ushauri wa watu dizaini ya The Boss They always want to make you feel stupid, sio aina ya kukupa afya kiakili kuwa around them hata wakiwa na mawazo sahihi!!
Uzuri sasa hivi kila mtu anaimba wimbo wa Hapa Kazi Tu bila kufungua macho na kujadili nini kinatakiwa kufanyika.
Viongozi wetu wote hawajui Tanzania inataka nini?
Haha watu wanaimba hapa kazi tu ila hawasemi kazi zipi na hawajiulizi kazi hizo zina tija au mradi kazi tu?
Nimemsikia Magu akisema eti huko vijijini watu wanacheza pool table hawalimi akatoa agizo viongozi wasimamie watu walime kusiwe na njaa!!!
Kauli hii ilinistua mno na kujiuliza hivi huyu anajua hasa nini anachopaswa kufanya na nini ni kikwazo? Ni kweli vijijini wanacheza pool? Si huko vijijini watu wanalima vilimo visivyo na tija?
Watu wanafanya kazi ila hazina tija je serikali yake imejipangaje kuleta tija?
Watu wanapiga kazi tena sana ila tija hakuna!! Kama MTU analima eka 10 anapata junia 5 utamlaumu?
Ndio maana hawa watu wanakurupuka hovyo!!!
Fact ni kuwa mapato yamepungua!Vijembe vipo wapi? Ungekuwa na akili usingejibu utumbo ule....
Siku zote miezi ya 11,12, huwa ni mwisho Wa grace period za kodi kabla ya mwaka MPYA....Fact ni kuwa mapato yamepungua!
Kila mtu anakuja na sababu anazohisi zimepunguza mapato huwezi kupinga sababu ya mwenzio bila ya ku prove scientifically ile ya kwako unayoamini ni strong
Fact ni kuwa mapato yamepungua!
Kila mtu anakuja na sababu anazohisi zimepunguza mapato huwezi kupinga sababu ya mwenzio bila ya ku prove scientifically ile ya kwako unayoamini ni strong
Haha na hivi kapewa sifa watamkomajeee....Sasa utaona Paul Makonda akipiga marufuku pool mjini...
yote kum please ...
I am sure wapo watu around him wenye mawazo bora
awasikilize tu....
nilishangaa Marekani Rais ana washauri wa uchumi..halafu makamu wa Rais nae ana washauri wa uchumi'
na waziri wa uchumi nae ana washauri wa uchumi
kumbuka Rais na makamu sio watendaji wa moja kwa moja kwa masuala ya uchumi
lakini wana washauri....ili wasiweze kuibuka tu na mawazo yao yasiyopimwa kitaalamu...
Kama yule Wa Muhjmbili!!! Badala ya kumpa nyenzo na maarifa unatimua then anakuja mwingine inabidi aanze upya kuizoea kaziMiaka mitano inaweza kupita kama utani anakimbia kimbia na kufukuza watu then asifanye kitu alafu wabongo tulivyo mtu akifukuzwa kazi tunafurahi impact yake itakuja kuonekana baadae ya fukuza fukuza
kipi bora kwa sasa , kuimarisha huduma za afya katika kila wilaya au daraja la coco beach?.Ili kupunguza msongomano wa wagonjwa muhimbili ni kuimarisha hospitali za wilaya na mikoa wajawazito watapungua sana kwenda Muhimbili.Yaonekana Rais anajua matatizo ya Dar peke yake maana kila kitu dar sasa ni wakati wa kutembelea mikoani ili ayaone matatizo ya huko.
subili kuitwa nyumbu
Kama yule Wa Muhjmbili!!! Badala ya kumpa nyenzo na maarifa unatimua then anakuja mwingine inabidi aanze upya kuizoea kazi
Hakuna anaejua baada ya miaka mitano kutakuwa na bajeti hizi
usisahau sehemu ya pesa hizi ni misaada na hakuna gurantee misaada itakuwepo milele
kama kuna namna ya kumshauri tumshauri sasa na ndo tunachofanya
Kumuelewa Magufuli Na Utawala Wake Kwa UJUMLA Unahitaji Kutulia Na Wala Usiwe Na Papara! Soon Mtamuelewa TU[/QUOT
we nae ni lile kundi la akina KIDUMU CHAMA CHA....... maana unajijaza matumain bila hata kureason
Daraja la kigamboni bilioni 200
daraja la furahisha mwanza bilioni 200 (nakaribisha masahisho)
daraja la coco beach-bilioni 200 zimetengwa
barabara ya dar-chalinze-zaidi ya trilioni 1.3(dollar milioni 500)
mabasi yaendayo kasi -zaidi ya bilioni 200
flyover ya ubungo bilioni 100
Iwapo serikali ingeamua kujenga treni za umeme
badala ya mabasi yaendayo kasi ingetumia dollar milion 430
kwa km 32...yaani karibu Dar yote ingekuwa unapanda treni dakika 10
uko popote pale hata kigamboni treni ingefika kupitia Mbagala..
hii ni link ya Ethiopia inaelezea gharama za treni hizo na tayari wenzetu wanatumia..
Ethiopia gets first sub-Saharan Africa metro - CNN.com
na kama hizo bilioni zingetumika kujenga vyuo vikuu
UDOM gharama zake ilikuwa kiasi cha bilioni 25....