Acha kufunga watu midomo, tuko watanzania more than 45 mill , wote hawa wana akili na mawazo chanya, ndiyo maana mashule,vyuo vinaimarishwa ili wasome na kuelimika na hatimaye wawe na mchango kwenye ujenzi wa nchi yao.sawa hata angeamua kufanya hayo pia ungekuja hapa na wazo tofauti na hayo ,sijui unatakaje mkuu ili nafsi yako iridhike,ifike hatua wandugu tuone kuwa kuna haja ya kuacha kwanza yafanyike alafu ndiyo tuje na mapendekezo,kuliko hii ya kujifanya kila mtu anamaono
Same goal different approach..tatizo liko wapi??!Mbio bila ya kujua uendako ni kama kukimbilia maangamizini!!
mikurupuko- Daraja la kigamboni bilioni 200
- Daraja la furahisha mwanza bilioni 200 (nakaribisha masahisho)
- Daraja la Coco Beach-bilioni 200 zimetengwa
- Barabara ya Dar-Chalinze-zaidi ya trilioni 1.3(dollar milioni 500)
- Mabasi yaendayo kasi -zaidi ya bilioni 200
- Flyover ya Ubungo bilioni 100
Iwapo serikali ingeamua kujenga treni za umeme badala ya mabasi yaendayo kasi ingetumia dollar milion 430 kwa km 32...yaani karibu Dar yote ingekuwa unapanda treni dakika 10 uko popote pale hata Kigamboni treni ingefika kupitia Mbagala.
Hii ni link ya Ethiopia inaelezea gharama za treni hizo na tayari wenzetu wanatumia..
Ethiopia gets first sub-Saharan Africa metro - CNN.com
Na kama hizo bilioni zingetumika kujenga vyuo vikuu UDOM gharama zake ilikuwa kiasi cha bilioni 25.
Binafsi naichukia hii Lugha ya tuwape Muda CCM iko madarakani tangu UHURU muda wa vipi sasa wanaotaka tuwapeKujadili trend kwa three data point ni kupoteza muda. mpeni muda angalau tuwe na miezi 6 hadi 12 ndio tujadili trend.
Mkuu umemlaumu jamaa kuleta uzi wa kiUKAWA naww umepita mlemle kujadili Hoja kiCCM umeishia kulaumu ilitakiwa uweke uhalisia kama hao waETHIOPIA wamefanyaje wanatumia umeme kiasi gani nk...maana umesema umeishi huko so kuna mengi unayajua hebu Share nasisi uzoefu wakoUmeongelea gharama za tramways za ethiopia huo umeme wa kuziendesha unao? hivi unajua kiasi gani cha umeme kinatumika kuendesha hizo tramways? umeenda na kuandika hadi kiasi cha Km zinawozewa kujengwa kwa fedha chini ya dollar 500 hiyo tramway ikijengwa dar unadhani mji dar imepangika kuaccomodate hiyo mproject au kutakuwa na migarama kibao ya kufidia watu kupisha ujenzi? Hata ethiopia hawakukimbilia tu kwenye ujenzi wa tramway mabarabara yao yako safi mi nimekaa ADDIS ABABA kwa miaka sasa: lakini pia fanya tafiti kuhusu kiasi cha umeme ambacho Ethiopia inategemea kuzalisha siku wa hivi karibuni kwa kifupi huzi wako ni wa kiukawa zaidi hauko kitaalam hata kidogo
Hao Dona's unajua watarudishaje pesa zao?Pengine husomi magazeti. Sehemu kubwa ya pesa hizo ni misaada toka Japan ambayo iko tied na specific projects. TZ inatakiwa kuchangia 10-20% za gharama hizo na hivyo haiwezekani ku-divert pesa hizo kwa kitu kingine.
- Daraja la kigamboni bilioni 200
- Daraja la furahisha mwanza bilioni 200 (nakaribisha masahisho)
- Daraja la Coco Beach-bilioni 200 zimetengwa
- Barabara ya Dar-Chalinze-zaidi ya trilioni 1.3(dollar milioni 500)
- Mabasi yaendayo kasi -zaidi ya bilioni 200
- Flyover ya Ubungo bilioni 100
Iwapo serikali ingeamua kujenga treni za umeme badala ya mabasi yaendayo kasi ingetumia dollar milion 430 kwa km 32...yaani karibu Dar yote ingekuwa unapanda treni dakika 10 uko popote pale hata Kigamboni treni ingefika kupitia Mbagala.
Hii ni link ya Ethiopia inaelezea gharama za treni hizo na tayari wenzetu wanatumia..
Ethiopia gets first sub-Saharan Africa metro - CNN.com
Na kama hizo bilioni zingetumika kujenga vyuo vikuu UDOM gharama zake ilikuwa kiasi cha bilioni 25.
Vizungu unavyoandika uliwahi kunipeleka Ingilishi kozi?Same goal different approach..tatizo liko wapi??!
Watz hawana jema hata mojaHawa wanaochangia hii thread ni watanzania au wanyarwanda? Too negative
Daraja la Busisi kiuchumi ni feasible mara 100 kulinganisha na hili la coco. Yaani ni sawa na kumshawishi mtu kumnunulia perfume ya Calvin-Klein kichupa kidogo kwa sh. 400,000/- wakati mtu huyo huyo hana hata uhakika wa mlo mmoja, uhakika wa pa kulala na nguo zake zina matobo huku akinukia perfume ya malaki!- Daraja la Coco Beach-bilioni 200 zimetengwa
Na kwa kuongezea hapo ni kwamba kuongoza nchi si kama mijadala ya humu JF, humu kuna watu hata kuongoza familia zao wameshindwa lakini utakuta kimbele mbele kukosoa, na kama wana mipango mizuri kwanini wasimsaidie magu, kwa tz ilipofikia eti walitaka babu apewe nchi hata bira aibu-sasa ndo wangemponda sana wakati wao ndo wamempa ulaji, wtz ni watu wa ajabu sana, ndo maana hata Raisi alisema tumerogwa na nini?sawa hata angeamua kufanya hayo pia ungekuja hapa na wazo tofauti na hayo ,sijui unatakaje mkuu ili nafsi yako iridhike,ifike hatua wandugu tuone kuwa kuna haja ya kuacha kwanza yafanyike alafu ndiyo tuje na mapendekezo,kuliko hii ya kujifanya kila mtu anamaono
Athante na hongera kwa kuelewa= lami
Huu mfuatano utashuka mpaka 0.85Trillion then utaanza kupanda taratibu ila kwa uhakika. Asitegemee mapato kuongezeka ilihali huku akipunguza sana matumizi ya kawaida ya Serikali ambayo ndo chachu kuu ya mzunguko wa pesa katika uchumi.Alipoanza Makusanyo yalikuwa Trilioni 1.3, Mwenzi uliyofuatia yalifika Trilioni 1.5 na yakafika Trilioni 1.0.. Swali la msingi mfuatano huu (trend) una maanisha nini?
Washauri hawana tatizo ila nadhani tatizo liko kwa mshauriwa. Si umesekia mwenyewe anasema kusoma hotuba ya kuandikiwa atakuwa anasoma hotuba isiyo yake hivyo akaiweka kando. Sasa akiboronga mshauri ana kosa gani hapo?Ni nani washauri wake?