Matumizi ya Magufuli, tuyajadili

Matumizi ya Magufuli, tuyajadili

I like him for one thing. ..to change this place and favoritism for good....after 10 years somebody with the vision will come. China had Mao...Singapore had Lee...Rwanda Kagame. ...we have lost many decades for the so called leaders with people to advise them. And these advisers have created the mess that we see. JPM this is your turn. Nakuunga mkono. Walaji wa kwenye siasa wana haha kuonyesha si lolote ila wanafahamika
 
Alipoanza Makusanyo yalikuwa Trilioni 1.3, Mwenzi uliyofuatia yalifika Trilioni 1.5 na yakafika Trilioni 1.0.. Swali la msingi mfuatano huu (trend) una maanisha nini?

Inamaanisha Wakwepa kodi baada ya kubanwa kulipa kodi wamefilisika hivyo hawaagizi tena mizigo
 
Kama hadi gazeti tu linawafanya waingie kazini
ni kama vile hawana 'master plan'
so wanaenda na matukio.....

Hawakuwa na masterplan na masuala ya mafuta kabisa nahisi
Hapa ndipo na majungu huingia...

Nimemsikia Jana ameshahukumu kuwa mafuta yamepotea wakati wamewasimamisha wale viongozi kwa uchunguzi sasa najiuliza wanachunguza nini wakati gazeti limeshawaambia yote na wakaamini?

Suala la flow meters ni kweli halikua na ufanisi kwa hali ya sasa maana kulikua na kesi nyingi mno za kufeli pale presha ya meli inapokuwa kubwa na msongamano Mkubwa Wa wateja...

Nimeshangaa wameajiaminisha lini kuwa mafuta yalikua yakiibiwa kwa mfumo Wa deep stick? Nina hakika hata waliofunga hizo flow meters kabla ya PM kwenda waliogopa tu kwakuwa hawa jamaa hawaambiliki!!!

Sasa habari ya mjini ni kuwa tumeibiwa mafuta for 5 years!!!

Na hilo gazeti ndo limeiandama sana familia ya kikwete na hatari iliyopo ni hilo gazeti kuanza tumiwa na wabaya Wa watu ktk kukomoana coz tayari limepata turufu toka kwa Rais.....
 
Inamaanisha Wakwepa kodi baada ya kubanwa kulipa kodi wamefilisika hivyo hawaagizi tena mizigo
Msekwa kalieleza vizuri sana kwenye mahojiano yake yeye akiwa na Sumaye leo Azam Tv. Msekwa kasema vyanzo vya makusanyo ya Kodi havijaongezeka, kwa hiyo walipolipa madeni wamerudi kwenye uhalisia wa kodi wanazotakiwa walipe.
 
Hapa ndipo na majungu huingia...

Nimemsikia Jana ameshahukumu kuwa mafuta yamepotea wakati wamewasimamisha wale viongozi kwa uchunguzi sasa najiuliza wanachunguza nini wakati gazeti limeshawaambia yote na wakaamini?

Suala la flow meters ni kweli halikua na ufanisi kwa hali ya sasa maana kulikua na kesi nyingi mno za kufeli pale presha ya meli inapokuwa kubwa na msongamano Mkubwa Wa wateja...

Nimeshangaa wameajiaminisha lini kuwa mafuta yalikua yakiibiwa kwa mfumo Wa deep stick? Nina hakika hata waliofunga hizo flow meters kabla ya PM kwenda waliogopa tu kwakuwa hawa jamaa hawaambiliki!!!

Sasa habari ya mjini ni kuwa tumeibiwa mafuta for 5 years!!!

Na hilo gazeti ndo limeiandama sana familia ya kikwete na hatari iliyopo ni hilo gazeti kuanza tumiwa na wabaya Wa watu ktk kukomoana coz tayari limepata turufu toka kwa Rais.....

Busara asingelisifia hilo gazeti moja kwa moja
angechukua taarifa na kuzifanyia utafiti
Tayari hilo gazeti limeshagomba na JK na familia yake waziwazi
ni kama analitetea kiaina....mtu mwingine anaweza kudhani hilo gazeti
linapewa taarifa na TeamMagufuli....limdhalilishe JK kusudi...
anazidi kutengeneza maadui wasio na lazima
mambo yasipo nyooka atamhitaji JK kwenye uchaguzi ujao
wa fix matokeo...
 
Jamani Rais ana wa shauri wengi sana wenye utaalam kwenye issue iliyopo mezani kwa wakati huo tusijifanye wajuaji sana hapa. Hivi unapoweka train morogoro road alafu sehemu zingine za mji hamna ndio utakuwa umesolve tatizo gani, kwa mji kama dar es salaam tatizo ni msongamano wa magari sio msongamano wa abiria na hicho ndio tunachokishudia sasa hivi mchana daladala nyingi zimepaki au zinatembea hazina watu kabisa lakini foleni Tazara, ubungo chang'ombe ,Magomeni na Morocco ni kubwa sana,nafikiri mngeanza kusoma problem statement na implication of doing nothing kwenye proposal ya hii project ndio mje hapa msifanye watu hawana akili. Nyinyi mnafikiri gharama ni kujenga au kununua train tu, Je gharama za uendeshaji na matengenezo kama wangeamua kujenga mifumo ya reli mnazijua, ACHENI BWANA HIZO ON AIR CALCULATION ZENU ZA AJABU AJABU
Simple calculation isiyohitaji kwenda chuo kikuu cha UDOM, Nyerere alishawaambia hamieni Dodoma mkamuona mjinga leo hii mnatumia billions of money kujenga vidarajadaraja mshenzi na vijibarabara vya hapa na pale visivyomsaidia huyu mtanzania mwenye hali ya chini.

Nenda Dodoma au mkoa jirani piga master plan ya mkoa mzima, forecast 50-100 yrs mbele weka vitu pale hizo jam za dar mnabaki nazo wazaramo hapo
 
kupanga na kuchagua
tukianza kuorodhesha matatizo tuliokuwa nayo, hakuna la kwanza wala la mwisho
kikubwa no utekelezaji tu
 
Miaka mitano inaweza kupita kama utani anakimbia kimbia na kufukuza watu then asifanye kitu alafu wabongo tulivyo mtu akifukuzwa kazi tunafurahi impact yake itakuja kuonekana baadae ya fukuza fukuza
 
Watanzania ni watu wanaojua kupiga domo sana ,ukifanya A wanalalamika kwa nini hujafanya D kibaya zaidi kuna watu tayari wanamuona JK alikuwa kiongozi mzuri kuliko JPM
 
Daraja la kigamboni bilioni 200
daraja la furahisha mwanza bilioni 200 (nakaribisha masahisho)
daraja la coco beach-bilioni 200 zimetengwa
barabara ya dar-chalinze-zaidi ya trilioni 1.3(dollar milioni 500)
mabasi yaendayo kasi -zaidi ya bilioni 200
flyover ya ubungo bilioni 100

Iwapo serikali ingeamua kujenga treni za umeme
badala ya mabasi yaendayo kasi ingetumia dollar milion 430
kwa km 32...yaani karibu Dar yote ingekuwa unapanda treni dakika 10
uko popote pale hata kigamboni treni ingefika kupitia Mbagala..
hii ni link ya Ethiopia inaelezea gharama za treni hizo na tayari wenzetu wanatumia..
Ethiopia gets first sub-Saharan Africa metro - CNN.com

na kama hizo bilioni zingetumika kujenga vyuo vikuu
UDOM gharama zake ilikuwa kiasi cha bilioni 25....
mi naona hizo pesa zingetumika zaid kuboresha vijiji maana huko ndiko kwenye uzalishaji mkubwa nahisi ahadi yake ya ufufuaji wa viwanda na ujenzi wa viwanda ungefanikiwa kwa kiasi kikubwa kwa sababu tungetegemea kila kitu chetu kuanzia malighafi zote
 
Busara asingelisifia hilo gazeti moja kwa moja
angechukua taarifa na kuzifanyia utafiti
Tayari hilo gazeti limeshagomba na JK na familia yake waziwazi
ni kama analitetea kiaina....mtu mwingine anaweza kudhani hilo gazeti
linapewa taarifa na TeamMagufuli....limdhalilishe JK kusudi...
anazidi kutengeneza maadui wasio na lazima
mambo yasipo nyooka atamhitaji JK kwenye uchaguzi ujao
wa fix matokeo...
Msoga boy ktk fitina na ghilba yupo fiti sana!! Sasa Magu wacha aingie kichwa kichwa!!

Tulishasema awali hapa Magu ameingizwa na Mkapa na kitendo cha kushinda ndo lilikuwa pigo na anguko kuu kwa JK...

Mkapa ana kinyongo sana na JK kwa jinsi alivyotendewa Mara tu JK alipoingia madarakani... Kitendo cha heshima yake kuchafuka sana kilimuumiza mno (rejea mambo ya kiwira etc)

Sasa ni zamu yao kujibu mapigo!! Na kuna fununu Jamhuri wanapewa habari kutoka jungu kuu!!!

What I see ni kwamba very soon utaanza upya ule msunguano Wa pande kuu hasimu utakaopoteza dira kabisa serikali ya JPM!!!

Huu unaweza kuwa mwanzo Wa kujiratibu kwa mitandao ndani ya CCM!!!
 
Hili swali najiuliza kila siku
hata wapambe wake kama Barbarosa wanapinga haya matumizi

Imagine unaingia ofisini kukutana na washauri wako na kitu cha kwanza wanafanya kukuonyesha wewe ni mjinga, kwamba maamuzi fulani uliyofanya ni ya kijinga na badala yake ungefanya hivi au vile. Unareact vipi??
Hiyo ndio sababu ni ngumu kuchukua au kufata ushauri wa watu dizaini ya The Boss They always want to make you feel stupid, sio aina ya kukupa afya kiakili kuwa around them hata wakiwa na mawazo sahihi!!
 
Ni huyu aliyekua akishinikiza kwenye vikao vya bajeti wizara yake ipewe hela nyjngi kwani nyingine hazina umuhimu!!!

Watu wenye akili wameshaanza kuchoka na huyu bwana....

Rais sio nyapara ndio maana hadi Leo tusio mashabiki hatujui ni ipi vision ya serikali yake....
Hivi in kweli hauoni alichofanya Magufuli? Magufuli hana maono mapya! Nchi yetu ilikuwa na maono ( Kuwa nchi ya uchumi wa kati ifikapo 2025), lakini hakukuwepo na utashi wa dhati wa kuelekea huko? Magufuli ameanza safari ya dhati ya kuelekea huko! Inabidi MTU aamue kwa dhati kujitoa ufahamu ili ashindwe kuona nia ya dhati ya Magufuli ya kushughulikia ufisadi ambao ndio kikwazo cha dhati kuelekea kwenye maono ya Taifa letu!
 
Inamaanisha Wakwepa kodi baada ya kubanwa kulipa kodi wamefilisika hivyo hawaagizi tena mizigo
Una akili duni sana ndo nashangaa JK anavyowatetea eti mkumbukwe!!

Nyinyi ndo mtatuvusha wabongo kwa fikra hizi?
 
Kama hadi gazeti tu linawafanya waingie kazini
ni kama vile hawana 'master plan'
so wanaenda na matukio.....

Hawakuwa na masterplan na masuala ya mafuta kabisa nahisi
Mkuu TB, shida ninayoiona hapa huyu bwana hajatulia na kuweka vipaumbele kwa phase
Yes 'master plan', anashindwa hata na simba au chui kwenye kundi la swala anajichagulia mmoja
bila kufukuzia tu bila mpangilio
 
Watanzania
Hawa wanaochangia hii thread ni watanzania au wanyarwanda? Too negative

Watanzania wenye ghubu, wao walishasema na kutabiri Magufuli hawezi na hafai, wanaishi na wataendelea kuishi kuprove maono yao kwa namna zote unazojua na usizojua. Ni wahanga wa fikra zao wenyewe!!
 
Back
Top Bottom