Bulaya001
JF-Expert Member
- Dec 21, 2018
- 6,136
- 6,922
Suriya ndg yng upo?[emoji870]Shule ni je?
Ikiingia text kwa simu, utajibu au hoto jbu.
Kama mm lazima nitajibu, kuepusha hayo naenda church na kitabu.
Suriya ndg yng upo?[emoji870]Shule ni je?
Ikiingia text kwa simu, utajibu au hoto jbu.
Kama mm lazima nitajibu, kuepusha hayo naenda church na kitabu.
Suriya ndg yng upo?[emoji870]
ni kwel, but cku iz nmekuw mchovu huko kwa jukwaa la MMUNipo kaka za siku mingi??
Umepotea best...
ni kwel, but cku iz nmekuw mchovu huko kwa jukwaa la MMU
Ni kama kusali ukiwa umefumba macho hakuna ulazima wa kufumba macho ila sasa tunacho hofia unaweza kuona kitu mbele kikakufanya uache kusali uanze kuangalia na kufikilia mengine
Sipingi unachosema, ila technology ni upanga unaokata kuwili. Ikitumika kihalali inamtukuza Mungu, (kama Bible app, unakuwa na access na Biblia Takatifu 24/7)ikitumika kiharamu ni dhambi.Mkuu hizo nisheria ndogo ndogo tu, kama zinakukwaza acha kwenda kanisani.
Kama unavomuona mtumishi huko mbele hajavaa nguo za maandishi yasio husiana na ibada, na wew hutakiw kuwa na vitu vingi vya kuweza kudraw attention za watu.
Beba kitabu cha Mungu, hicho hakina mapungufu.
Simu inaweza kuwa na vitu ambavyo vinavunja sheria za Mungu.
Hujakamilika ndio maana kwa ibada kunakua na toba
Wabongo wengi hawana ustaarabu wa kutumia hizi smartphones na tablets na ndio maana unakuta mtu yuko ibadani anachat whatsapp.NINA MWAKA MMOJA NOW NIMENUNUA IPAD KWA AJILI YA KANISANI SIJUTII NAFUTAHIA KULIKO KUTEMBEA NA MKOBA UMEJAA MIVITABU MINGI
Ila hata ww umepotea sn ama, upo busy na ile job yako?Nipo kaka za siku mingi??
Umepotea best...
Labda kanisa la kijijini huko, mimi kanisani kwangu mchungaji mwenyewe anasoma bible kwenye TabletWakuu,
Nimeona nilete hili hapa kwa mjadala mpana. Naona kuna wachungaji, mapadre na watumishi wa Mungu mbalimbali wakiponda waamini wanaotumia Bible App kwenye ibada badala ya bible yenyewe.
Je ni mchakato wa mabadiliko ambao pengine hawajauelewa lakini nguvu ya teknolojia inawaacha nyuma?
Kuna ubaya gani mtu kutumia Bible app kwenye ibada tofauti na kutumia Bible? Binafsi naona inarahisisha sana usomaji na kufatilia ibada vizuri.
Inawezekana kanisa linahofia kushuka kwa mauzo ya kitabu hicho ambacho ndicho kinachoongoza kwa kununuliwa zaidi duniani?
Kwa mtazamo wangu, Kanisa liwekeze kwenye kuweka version zao za Bible kwenye App ili kuepusha waamini kupakua matangopori ili kupotosha maana kila mtu anajiwekea tu. Kwa mfano kupata Catholic bible swahili version kwenye app ni tatizo hivyo Wakatoliki wengi wanapakua version ya vitabu 66.
Kama matumizi ya Bible App si sahihi ni vizuri tukapigwa shule badala ya makatazo yasiyojengewa hoja vizuri na sometimes inaweza kuwa ni kushindana na wakati tu.
Naamini nitapata shule hapa ili nibadili fikra zangu juu ya matumizi ya Bible App kwenye ibada. Wahenga walisema, wakati ni ukuta! Nani alijua siku moja tutakuwa na Pope Instagram? Teknolojia ni mbaya ikitumika vibaya lakini ni kitu chema sana kikitumika vizuri.
Sipingi unachosema, ila technology ni upanga unaokata kuwili. Ikitumika kihalali inamtukuza Mungu, (kama Bible app, unakuwa na access na Biblia Takatifu 24/7)ikitumika kiharamu ni dhambi.
Kutazama/kuhifadhi picha za ngono kwenye tablet/smartphone yako ni kutumia technology vibaya na ni chukizo mbele za Mungu.
Ila hata ww umepotea sn ama, upo busy na ile job yako?
Wale mnaofanya tafiti kwaajili ya kazi za kanisa pitieni huku.
Duh! As long mwanadamu abakie kama kusudio la Mungu linavyotaka otherwise ni kama akili za akina NimrodTafiti zinaonyesha kwamba kadri muda unavyozidi kwenda itafikia wakati hata hizi bible app za kwenye simu zitakua outdated, tutakua tunapandikizwa micro chip zenye bible ndani yake, hii itatufanya tu-memorize torati yote. Ni swala na muda tu!