Matumizi ya Bible App Kanisani na mitazamo hasi

Shida siyo hiyo Bible app iliyopo kwenye simu...

Shida ni kwamba zaidi ya bible app kuna mautumbo na mauchafu kibao umetunza kwenye simu yako...

Katikati ya ibada mara notification hizo za mambo ya ajabu...

Cc: mahondaw
Mbona hili halieleweki! Ukiweka flight mode hupati any notifications bana!
 
Ila itafika miaka ijayo watafanikiwa kuweka documents zoote za kwenye makaratasi zitakuwa kwenye softcopy, hapo watahakikisha hakuna hata bible moja ya karatasi iliyosalia, sasa hapo rahisi hata kufanya marekebisho kwenye mistari kwa ku-update app, au wakaziondoa na app zote, kuhakikisha the new generation haitakuwa na biblia, hapo ndo jay z anasemaga "life starts when church ends"
 
mtu akipandwa pepo sogea na simatphone yako yenye APP ya biblia uanze kukemea huku unamwekea sim kichwani uone utamu wa YESU
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Inawezekana hata mapadre na wachungaji wengi wanafikiri kama michango mingi humu inavyosema kuwa unaweza kupata notifications! Labda tunapaswa kuwaelewesha ili wasiwe na hofu na hizi technology.
 
Mbona hili halieleweki! Ukiweka flight mode hupati any notifications bana!

Bado haisaidii... ila hard copy ipo clean haina mambo mengi...

Labda uwe na simu ya kawaida kwa ajili ya mambi yako, na Tablet au IPad kwa ajili ya kujisomea tuu...

Cc: mahondaw
 
kwa kweli hongera kwa swali zuri ni hoja nzito hii kuliko wengine wanavyozani. kwanza kabisa kutumia simu ni sahihi kabisa kwani hiyo App ni biashara iliyozinduliwa na kanisa kwa ajili ya kuwasaidia wakristo wote kupata vitabu vya nyimbo na mahubiri mbali mbali kwa kupitia simu zao. na pia lengo lao kubwa ni kuinua uchumi wa kanisa kwani wameona kwamba washarika wote wakitumia njia hiyo itasaidi kanisa kukua kiuchumi. pia itawarahisishia washarika kuwa na vitabu vyao popote wanapoenda kwa mfano umetoka kazini unaenda msibani sidhani kama utarudi nyumbani kufuata kitabu bali utafungua simu yako na kuitumia. pia ukienda kanisani kama kwenu hakuna vitabu vingi vya nyimbo basi utatumia simu yako. nimalize tu kwa kusema kwamba technologia inakua hivyo simu zetu ni lazima tutumie kanisani. asante
 
Ila itafika miaka ijayo watafanikiwa kuweka documents zoote za kwenye makaratasi zitakuwa kwenye softcopy, hapo watahakikisha hakuna hata bible moja ya karatasi iliyosalia, sasa hapo rahisi hata kufanya marekebisho kwenye mistari kwa ku-update app, au wakaziondoa na app zote, kuhakikisha the new generation haitakuwa na biblia, hapo ndo jay z anasemaga "life starts when church ends"
Kanisa lina original manuscripts za vitabu vya Biblia hivyo issue ni kanisa kuwa na app zao ili kuzuia uchakachuaji.
 
Ila itafika miaka ijayo watafanikiwa kuweka documents zoote za kwenye makaratasi zitakuwa kwenye softcopy, hapo watahakikisha hakuna hata bible moja ya karatasi iliyosalia, sasa hapo rahisi hata kufanya marekebisho kwenye mistari kwa ku-update app, au wakaziondoa na app zote, kuhakikisha the new generation haitakuwa na biblia, hapo ndo jay z anasemaga "life starts when church ends"
Mhhhh sidhani kaama na uwepo wa Mungu utakuwepo
 
kwa kweli hongera kwa swali zuri ni hoja nzito hii kuliko wengine wanavyozani. kwanza kabisa kutumia simu ni sahihi kabisa kwani hiyo App ni biashara iliyozinduliwa na kanisa kwa ajili ya kuwasaidia wakristo wote kupata vitabu vya nyimbo na mahubiri mbali mbali kwa kupitia simu zao. na pia lengo lao kubwa ni kuinua uchumi wa kanisa kwani wameona kwamba washarika wote wakitumia njia hiyo itasaidi kanisa kukua kiuchumi. pia itawarahisishia washarika kuwa na vitabu vyao popote wanapoenda kwa mfano umetoka kazini unaenda msibani sidhani kama utarudi nyumbani kufuata kitabu bali utafungua simu yako na kuitumia. pia ukienda kanisani kama kwenu hakuna vitabu vingi vya nyimbo basi utatumia simu yako. nimalize tu kwa kusema kwamba technologia inakua hivyo simu zetu ni lazima tutumie kanisani. asante
Asante saaaana. Kanisa liji suit na teknolojia tu.
 
Kuna respect fulani tunayo kwenye Biblia hardcopy ambayo kwenye simu haipo. Simu ina distractions nyingi sana huwezi kuwa na utulivu kiasi hiko na sio wote na wakati wote mtu utaweka airplane mode kuna kujisahau pia.

Pia tuwaze hizi app ziko nyingi sana tunajuaje kama app unayotumia ni maandiko sahihi what if imechakachuliwa[emoji276][emoji17][emoji17] maana shetani hayuko mbali. Nyingine zina viswahili sijui vya google ukisoma tabu tupu.

Kwangu mimi bible ya simu inanisaidia pale sina access na Bible yangu ya kawaida ila siwezi kwenda nayo kanisani.
Ni mtazamo tu!
 
Yes na hata sasa hawa developers wa hizi app hatuwafahamu hatujui imani zao maana wengine wapo ki biashara zaidi je wakiondoa mistari au wakabadilisha maneno maana ubaya wa Biblia ukibadili neno moja tuu umebadili kitu kikubwa sanaa.
Ila itafika miaka ijayo watafanikiwa kuweka documents zoote za kwenye makaratasi zitakuwa kwenye softcopy, hapo watahakikisha hakuna hata bible moja ya karatasi iliyosalia, sasa hapo rahisi hata kufanya marekebisho kwenye mistari kwa ku-update app, au wakaziondoa na app zote, kuhakikisha the new generation haitakuwa na biblia, hapo ndo jay z anasemaga "life starts when church ends"
 
Wale mnaofanya tafiti kwaajili ya kazi za kanisa pitieni huku.
 
Yes na hata sasa hawa developers wa hizi app hatuwafahamu hatujui imani zao maana wengine wapo ki biashara zaidi je wakiondoa mistari au wakabadilisha maneno maana ubaya wa Biblia ukibadili neno moja tuu umebadili kitu kikubwa sanaa.
Hiyo ni hatari kubwa na kanisa limelala kwenye hili eneo.
 
message ikiingia unajibu........ushapoteza concetration
Pia Unaweza ukawa na hio biblia hardcopy , ukatamani mtu kanisani au ukakumbuka rejesho vikoba ukapoteza concentration.

Mi naona kikubwa ni kuepuka dhambi.........mengine haya ni ya kutumia hekima.

Kanisani tunasali na watoto wakati mwingine au vijana wa umri flani ambao hawapaswi kumiliki simu.....hawa huwa wanajifunza mengi kutoka kwetu .
Ni kazi sana kuanza kumshawishi mwanao asome biblia ya karatasi wakati wewe anakuona unasoma kwenye simu.
Na bado simu unamkataza kumiliki.
 
Back
Top Bottom